Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu mtoto anamnyanyasa sana dias View attachment 1824224

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Questions were asked of the 22-year-old midway through his first season at Stamford Bridge and whether value could be found by the Blues in a £70 million ($97m) deal.

The highly rated forward silenced his doubters in style, particularly in UEFA Championship final against Manchester City, and has now re-written the record books with his country at Euro 2020.

Havertz put in lively performance during a heavyweight clash with Portugal on Saturday.

His presence led to Ruben Dias putting through his own net after Cristiano Ronaldo had broken the deadlock in a thrilling tie at the Allianz Arena.

He was then involved in a second own goal minutes later when posing problems inside the box and grabbed Germany's third himself six minutes into the second half.

Robin Gosens provided the assist for Havertz as he was left with the simplest of tasks of bundling home from close range.

In the process, a piece of European Championship history was made.

"22 - Aged 22 years and 8 days old, Kai Havertz is Germany's youngest ever goalscorer in a European Championship game, and youngest at any major tournament (World Cup/Euros) since Thomas Müller against Uruguay at the 2010 World Cup (20y 300d). Talent."
1624171342731.png
 
Kuna mwandishi mmoja ameandika kuwa mchezaji mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani Klaus Fischer kadai kuwa Havertz hafurahishwi kucheza kama False no. 9
Hiyo interview mimi sikupata kuiona ila nahisi huyo journalist hajui Kijerumani na mhusika aliongea Kijerumani

Ndipo mwenzake akamjibu hapa hivi
Completely out of context. He referred to the classic 9 role not the false 9 in the interview. Quite appalling and disgraceful journalism.
 
Wewe boyaa inamaana hujamuona pepe mpaka umutaje dias
Dias ndie kajifunga na kwa sababu ya Havertz, period

Maelezo

Goli la Kwanza Havertz alikuwa uso kwa uso na Dias akisubiri kuuweka kimiani, Dias akapanik na bila kutegemea akajikuta kauweka kimiani

Goli la la 3 Kai kafunga mwenyewe

Mpishi Havertz kampasia Kimich ambaye naye alijaribu kumrudishia Havertz lakini ulikuwa mkubwa kwake ndiposa Gosen akauwahi mpira na kufunga.
 
Chelsea make N'Golo Kante decision as Thomas Tuchel closes in on key signing ahead of new season​

N'Golo Kante will be offered a new Chelsea contract in the coming months in a bid to tie his long-term future to the Blues
By Fabrizio Romano
 
Jamani nafasi ya Kocha mkuu Spurs bado iko wazi, pelekeni maombi ya kazi ya umeneja huko kwa majirani zetu
 
Kuelekea msimu ujao kwa maono yangu hawa ndio wachezaji tunaopaswa kusajili, ili kutetea ubingwa wa UEFA na kufukuzia ubingwa wa elp.

Tukianza na Straika, Ivan Toney (25) kutoka Brentford, Pedro Goncalves (22) kutoka Sporting na Andre Silva (25) kutoka Frankfurt. Hao Straika ni hatari sana na wanabalaa sana, kama ww ni mpenzi na mfuatiliaji wa mpira wa miguu basi utakuwa unakubaliana na mm ama kufahamu moto wao. Sasa katika hao watatu tuchukue mmoja ama wawili. Hapo sijamtaja Haaland maana usajili wake ni wa pesa ndefu sana.

Upande wa beki, Robert Atkinson (22) kutoka Oxford United, huyu dogo ata asipo pata nafasi ya kucheza lakin anafaa sana kusajiliwa ata kwa matumizi ya baadae. Dogo ni beki mzuri sana, tukimsajili huyu tunampelekea academy ili akapate uzoefu zaidi kisha atakuwa anapata nafasi moja moja kwenye timu kubwa. Jules Kounde (22) kutoka Sevilla, Achraf Hakimi (22) kutoka Inter na Alessandro Bastoni (22) kutoka Inter. Hizo beki ndio zinatufaa kabisa.

Kiungo mkabaji, Joshua Kimmich (26) kutoka Bayern Munchen, hapa bila kupepesa macho inabidi huyu mwamba tujilipue na tumsajili kama kweli tunataka ubingwa wa EPL na kutetea ubingwa wa UEFA. Uzuri wa Kimmich anacheza nafasi zaidi ya moja hivyo atatufaa sana hapa inabidi tujilipue kweli bila masikhara.

Hayo ndio maono yangu kuelekea msimu ujao, uchaguzi nilio ufanya kwanza nimelenga ubora kisha umri wa mchezaji.

NYUMBU na Ase8 ruksa kupeleka mapendekezo yangu kwenye bodi yenu maana nimewafanyia usikauti murua kabisa.

Papaa Gx.
 
Tammy Abraham alifunga magoli 26 huko Championship alipokuja Chelsea na mbwembwe nyingi kafurukuta goli 15 msimu wake wa kwanza EPL kisha akazima injini katikati ya ligi
Timo Werner kafunga goli 28 Bundesliga kaja huku kafurukuta akafunga goli kama 4 hivi mwanzoni mwa ligi kisha akazima injini

Tukitaka ubingwa wa EPL na ikiwezekana kutetea UEFA ni lazima tumsajili Haaland au Mbape au Kane. Strikers waliojidhibitisha kuwa ni all weather and all time goals machine
Hawa wa kuja na kuzima injini tutaendelea kupigania top 4
  1. Haaland amejidhibitisha kuwa Goal machine kwenye ligi 3
  2. Mbape kajidhibitisha mfungaji consistence kwenye ligi 2
  3. Kane hivyo hivyo
 
🤣🤣🤣🤣 Team Bora hadi sasa ni ITALY, FRANCE, GERMAN na PORTUGAL zingine ni zakutafuta kwa tochi
Italy sawa
France sawa
Portugal walivyonyanyaswa na German duh
Belgium bado ni timu bora duniani kuliko zote, form ya Lukaku itawabeba ila form ya Eden Hazard itawaangusha
 
Wales wafungwa huku mashabiki wakishangilia kwa kufuzu 16 bora
 
Bado siku 10 tumlete Hakimi darajani kwa sababu Inter wanashida ya Ngawira. Tutatoa £56.1m plus RLC au Alonso
 
Leicester City wamemchukua Patson Daka kutoka Red Bull Salzburg kwa £23 million tu
Chelsea na Liverpool nao walimtaka ila hawakuwa serious

Daka ana miaka 22 tu na kafunga goli 27 kwenye mechi 28 msimu uliopita. Atakuwa replacement nzuri ya James Vardy ambaye kwa sasa amefikisha miaka 35
Hii tabia ya Chelsea ya kupambana na watu wa bei ghali saa nyingine inatuingiza mjini vibaya.
Mwaka ule Haaland aliuza €20 million tu December 2019 na sasa baada ya msimu mmoja na nusu tu Dortmund wana muuza €180-200 million
 
Italy sawa
France sawa
Portugal walivyonyanyaswa na German duh
Belgium bado ni timu bora duniani kuliko zote, form ya Lukaku itawabeba ila form ya Eden Hazard itawaangusha
Belgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my words
 
Belgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my words
Ubishi tuache hapa nenda kabeti. Hapo ndio mwisho wa ubishi
 
Belgium hata nusu fainal haitafika kama atakutana na moja ya hizi team yaani ITALY, GERMAN, PORTUGAL au FRANCE Mark my words
Kutofika Nusu fainal;i haina maana sio wazuri
Wako Italy, Wako Ujerumani, Wako Ufaransa, Wako Uingereza, Wako Sweden wako Waholanzi nk
 
Tajiri anafanya shopping maeneo yanayoendana na hadhi yake. Ataingia kwenye mall's na sio manzese sokoni au samunge.

Bidhaa ya Haaland imefika MALL, Roman ameiona sasa.
Ndg, utajiri mwingine ni ubadhirifu
Anaweza akauzwa Billy mil 25 akaedna kuletwa wa umri huo huo tena mwenye low quality kwa mil 50-70
Chelsea wamtafute kiongozi wa scout calibre ya Michael Emenalo ili tuweze kutumia rasilimali vizuri tuwasajili wachezaji kama enzi za akina Didie Drogba
 
Kutofika Nusu fainal;i haina maana sio wazuri
Wako Italy, Wako Ujerumani, Wako Ufaransa, Wako Uingereza, Wako Sweden wako Waholanzi nk
We jamaa utakuwa unaendeshwa na mahaba kuliko facts hiv kweli Uingereza, Uholanzi na Sweden unaweza kuziweka kwenye level moja na ITALY, GERMAN, PORTUGAL na FRANCE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom