Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu inazidi kuua vipaji vya wachezaji ,hovyo kabisa ..
Pain Killer hii umeona?
Kante amemlambisha Nyasi Gundogan hatari
IMG-20210616-WA0001.jpg
 
Game zetu 6 za mwanzo ukitoa crystal palace hizi nyingine ni ngumu,
Hofu yangu ni hawa wachezaj wanaoshiriki uero sidhan kama watakuwa washapata mda wa kupumzika

Yote kwa yote chini ya tuchel hizi game tutacheza kwa utulivu,na kupata matokeo
Naona 14 pts hapo, 4 wins na 2 draw

Yote kwa yote tunahitaj kutafuta wachezaj sahihi katika dirisha hili, tunahitaj kuwa kikos kipana zaidi

Kabla ya kucheza na crystal palce tutakuwa tumecheza na villareal hii game inabid tushinde maana katika super cup 3 za mwisho kushiriki tumefungwa zote(atl,bayern,liver)

Ktbffh
 
Chelsea wasifanye uzembe kumruhusu Rudiger aondoke kwenye Dirisha la kiangazi mwakani
Pia wasimruhusu Christensen aswap kule Inter or wherever
Rudiger ni fighter na ni mzalendo hata akiwa nje ya uwanja anahamasisha ushindi, ni winner oriented guy
Kabisa Mkuu
 
Game zetu 6 za mwanzo ukitoa crystal palace hizi nyingine ni ngumu,
Hofu yangu ni hawa wachezaj wanaoshiriki uero sidhan kama watakuwa washapata mda wa kupumzika

Yote kwa yote chini ya tuchel hizi game tutacheza kwa utulivu,na kupata matokeo
Naona 14 pts hapo, 4 wins na 2 draw

Yote kwa yote tunahitaj kutafuta wachezaj sahihi katika dirisha hili, tunahitaj kuwa kikos kipana zaidi

Kabla ya kucheza na crystal palce tutakuwa tumecheza na villareal hii game inabid tushinde maana katika super cup 3 za mwisho kushiriki tumefungwa zote(atl,bayern,liver)

Ktbffh
Hyo y wachezaji kupumzika sio Chelsea Tu na vilabu vingine pia
 
Acha uoga mkuu, uefa uero inafika tamati Julai, 13 na ligi kuu Uingereza inaanza Agosti, 14 hapo kuna kama mwezi. Wachezaji watakuwa wamepata mapumziko ya kutosha.

Kumbuka team itahitaji kwenda pre season, so baadhi ya wachezaj watahitajika kureport mapema kabla na wale wanoshiriki watachelewa huku ikitegemea na team zao za taifa hatua zitakazofika
 
Ila tutamkosa Mendy kwa takriban mwezi mzima kwa sababu ya Afcon
 
Tumeshampoteza Tomori, baadaye tutakuja kumnunua kwa mil 70 hadi 100 kama tunavyomwinda Lukaku sasa hivi
 
Ata hizo timu za taifa sio zote zitafika Julai, 13 wiki ijayo tu zinaanza kujiengua moja moja.
Kumbuka team itahitaji kwenda pre season, so baadhi ya wachezaj watahitajika kureport mapema kabla na wale wanoshiriki watachelewa huku ikitegemea na team zao za taifa hatua zitakazofika
 
Mashindano ya Afcon yana ratiba ya kipumbavu sana. Kila baada ya miaka miwili kua hayo mashindano wakati wenzao ni kuanzia miaka mitatu
Ila tutamkosa Mendy kwa takriban mwezi mzima kwa sababu ya Afcon
 
Aisee inakuwaje wametupangia vigogo mfuatano?

August:- Arse8 next Mechi Liverkuku

Sept:- Tote next mechi Man city

Nov:- Leicester next mechi Nyumbu

Jan:- Liverkuku, Man city na Totte
Round ya kwanza tutapiga wote hao.. Round pili baadhi ya mechi tutasuluhu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom