lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Kila kocha ana vitu fulani vilivyojificha anaangalia kwa mchezaji hata kama kiwango chake kikiwa chini huwa anamng'ang'ania ila akivikosa hivyo vitu visivyoendana na mfumo wake huwa anamuweka nja ya plan yake. Ziyech ni mchezaji mzuri sana ila hayuko offensive na agressive sanaZiyech alianza vizuri chini ya Lampard..
Kama unakumbuka alipoga krosi flani matata sana chilwell akapiga goli..
Kilichomshusha kidogo ni majeruhi aliyopata, pia kariba ya washambuliaji wetu. Jamaa hua anawapa pasi za upendo sana, umaliziaji ndo shida..
Kwa TT pia hajafeli kama tunavyoaminishwa,, angalia gemu alizocheza kwa TT kaperform vizuri kabisa.
Itakua chelsea hawamtaki kwa sasa kwasababu ya wingi wa viungo na mawinga..
Competition imekua kubwa sana sehemu izo mbili
Pia kocha mojawapo ya vitu anaangalia ni jinsi gani mchezaji anaweka kwenye vitendo falsafa yake ya uchezaji
Mfano hata kama hapewi muda wa kutosha hata kama kwa wakati fulani TT alikasirishana naye, Odoi ni mfano wa wachezaji ambao TT anawategemea sana kwa baadaye na ndio maana hata ile ofa ya Bayern Munich Odoi kaitolea nje, kasema anataka kubaki darajani kupigania nafasi chini ya TT
Hakimi na Hakim wako rigid sana kwenye flexibility na hawataendana na style ya TT na ndio maana hata Hakimi hana hamu ya kuja Chelsea
Premier League final day fixtures: