Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukiingia kwenye Uzi wa Chelsea utagundua kuwa Wengi wao waliopo kwenye ule Uzi ni U25 na zao la Banayao Mourinho aliyeianzisha Chelsea mwaka 2005.

Yani wamekaa wanajazana ujinga eti wawasajili SANCHO, KANE, HALAAND na LUKAKU.

Hivi wanashindwa kujua kwamba thamani ya hawa Wachezaji wote ni zaidi ya £400M+ na wage bills yao ya mwaka unalipa mishahara ya Chelsea nzima na pia watafungiwa kusajili kwa kukiuka Financial Fair Play Regulations (FFP)?

Wale watoto wakiacha ujinga wataweza kujifunza mengi sana kutoka kwa wakubwa zao.

Mashabiki wa chelsea tuweke kumbukumbu zetu vizuri, huyu ni mmoja wa mashabiki wa livakideri waliowahi kumnukuu kocha wao Kloppe kwamba kabla ya usajili inabidi utumie akili hiyo ikiwa ni neno kwenda kwa lampard kipindi kile tupo hoi.
 
Nyie timu kubwa UK mliochukua EPL, CARABAO na UCL final em mchukueni
Mshaua kipaji cha ziyech sasa mnataka mhamie kwa haaland ...

Tatizo ni kuwa haaland anatosha kwenye mfumo wa TT ,sio mnakimbilia perfomance ya dortmund na kudhani atakuja kuwapa goli 20+ epl ...

Kama mnahela bora mchukue kane ,kwanza anaijua epl ,ila haaland mtakuja kumkataa hapa jukwaani msimu ukianza .!

ila kwa jicho la mbali ,sioni mkifanikiwa kwa Haaland na kane wote kwa pamoja ..

Nyie pamabaneni na kina tammy ,giroud basi
 
PEP kabla ya mechi na Chelsea
"because they have 3 central defenders closes the 2 holding midfielders rotating the pockets closes there the structure the 5 and the 2 players so so close and the distances are so close and at the same time they are so wide with the wingbacks"
 
Pep ni master ,ni vile tu alikuwa overthinking ,yaan ingekuwa darasani basi kasoma hadi madesa ya advance wakati anaingia kufanya mtihani wa necta form two ....
 
Mshaua kipaji cha ziyech sasa mnataka mhamie kwa haaland ...

Tatizo ni kuwa haaland anatosha kwenye mfumo wa TT ,sio mnakimbilia perfomance ya dortmund na kudhani atakuja kuwapa goli 20+ epl ...

Kama mnahela bora mchukue kane ,kwanza anaijua epl ,ila haaland mtakuja kumkataa hapa jukwaani msimu ukianza .!

ila kwa jicho la mbali ,sioni mkifanikiwa kwa Haaland na kane wote kwa pamoja ..

Nyie pamabaneni na kina tammy ,giroud basi
Pia tupambane na Kai Havertz wetu au siyo.?
 
Mnasema bora kucheza bila striker wkt Giroud yupo bench, Ufaransa huko anapewa nafas anacheka tu na nyavu. Amebakiza goli 4 tu awe mfungaji w muda wote ufaransa. Huku mnamdharau.
 
Haaland nimetokea kumchukia tokea alivyosema ataki kuja chelsea ni timu ndogo anatakwenda man city. Kubwa jinga lile si waachane nalo, litakuja kuflop tu.
KUMEKUCHA - HAALAND MWENYEWE ANAITAKA CHELSEA KWA UDI NA UVUMBA
Taarifa za ndani na za karibu na mchezaji zinadai kuwa Haaland yuko radhi asubiri msimu ujao wakati kipengele cha yeye kuuzwa kwa Euro mil 68 itakapoanza kufanya kazi
Taarifa zaidi zinadai kuwa Haaland aliuzwa Dortmund kwa kama njia ya kwenda Chelsea.

Haaland wants Chelsea and will wait one year if necessary

According to the Daily Telegraph, Haaland is sold on the idea of joining Chelsea, who are currently seeking a way to finance the operation. If they can't, the Dortmund star is willing to wait a year.​

The race is on among Europe’s top clubs to sign Erling Haaland and Champions League winners Chelsea are determined to win it. Blues owner Roman Abrahimovic is ready to go all out to add the Ballon d’Or contender to coach Thomas Tuchel’s squad.

According to press reports in England, the London club has already made contact with the player’s representative, super agent Mina Raiola, while the player himself is said to be in favour of a move to Stamford Bridge.

Haaland: Dortmund keen to stop Chelsea advances​

Standing in the way, however, is his current club Borussia Dortmund, who have tried to put a halt to the operation by reportedly demanding an astronomical fee for the 20-year-old forward.

The German outfit has set his price at €180 million, a figure aimed at putting him beyond the reach of all interested parties so as to retain his services for one more season. English press reports claim that Chelsea are seeking ways to finance the operation, as Abramovich does not want to risk waiting until next summer when competition could heat up among the likes of Real Madrid, Barcelona, Manchester City or Manchester United.

Haaland sold on Chelsea move​

Abramovich wants to sign Haaland at all costs and the Daily Telegraph reports that the Norwegian is sold on the idea of joining Chelsea. If Chelsea can’t find a way to finance the transfer this summer, they will be ready to do so next year, according to the British newspaper, which claims that the Norwegian star is, in turn, ready to wait a year to join the Blues if necessary.

Dortmund has officially stated that it is not willing to consider selling Haaland in this summer’s transfer window, while the player himself has also explained that he would respect his contract with the German club this year.

But despite the intentions of both Haaland and Dortmund, Chelsea are confident they can still make the move happen this summer. Abramovich wants to take advantage of the attraction and prestige the club now holds as the current European champions, which he believes puts the Stamford Bridge outfit at an advantage over the competition in the race to sign Haaland.

View attachment 1812727
 
Mchezaji mkubwa kama Kai Havertz unamuonaje hasa kwenye ile UCL final
Kai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
...

Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...

Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
 
Mashabiki wa chelsea tuweke kumbukumbu zetu vizuri, huyu ni mmoja wa mashabiki wa livakideri waliowahi kumnukuu kocha wao Kloppe kwamba kabla ya usajili inabidi utumie akili hiyo ikiwa ni neno kwenda kwa lampard kipindi kile tupo hoi.
Wapuuzi wengi waliongea shit hata Mourihno nilimshangaa Sana ..Sasa wameona matokeo wa usajili wetu.
 
Nyie kama man utd tu mnajivunua kutufunga ...

ila soka lipo kwa ze cityzen ,kama unataka burudani la mpira angalia our best manager and team man city ....

Hii chelsea inacheza local football ,..

Msifikili kuna star yeyote wa mpira anavutiwa na chelsea ,kubeba CL kwa kubahatisha sio kigezo cha kumpata mtu kama haaland ,...

Timu bahili kama mchaga wa kishumundu ,mnataka kumleta haaland ??

Hamna uwezo hata wa kumlipa ,nyie madogo mbona mnalegeza ubongo

Pain killer nahisi bado una ugulia maumivi abu cheki hii haya matokeo pumbavu sana wewe

Hii ndiyo chelsea bhana

d27391de-60d3-485d-ad5e-e84d7b3e819a.jpg
 
Pain killer nahisi bado una ugulia maumivi abu cheki hii haya matokeo pumbavu sana wewe

Hii ndiyo chelsea bhana

View attachment 1813018
Sisi hatuna shida ,as long as we play good football ,trophies its bonus ...

Nyie kama mnakamia makombe ni nyie ,sisi tunarelax , CL is their to stay tutachukua hata 2050...

Tunachotaka ni burudani la tiktak football from our best manager pep ...

This is our city we go ...

Tunacheza mpira kama play station
 
Mnasema bora kucheza bila striker wkt Giroud yupo bench, Ufaransa huko anapewa nafas anacheka tu na nyavu. Amebakiza goli 4 tu awe mfungaji w muda wote ufaransa. Huku mnamdharau.
Mzee angalia na wapinzani anaocheka nao nyavu ...yeye ni finisher mzuri Sawa Ila km unataka kombe la EPL huwezi mtegemea wkt wenzako unakuta wamemsajili kane

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusema Giroud sio striker wa 20+ goals, ili uchukue EPL unahitaji striker wa 20+ goals, wingas wa 10+ goals plus 10+ assists na atatcking MF wa 10+ Assists
Bila hizo conditions EPL itaendelea kubaki kwa City
 
Kai anaukubwa gani na wewe ,mbona unataka kumvimbisha kichwa
...

Hao madogo wa chelsea sijui kai ,werner ,mount bado sana ,mpaka waoneshe ubabe pale epl wachukue PL ndio tutaanza kudiscus ukubwa wao ...

Sio kagoli kamoja tu ka kubahatisha then unataka tumpe ukubwa ....
Wewe level yako ya ushabiki ni ya Simba na Yanga, iletagi hoja wala hujibu hoja.....nikelele tu kama tu. Acha watu walete taarifa na uchambuzi, utalejea badaye ligi ikianza mwezi wa nane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom