Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi tuhakikishe tunaendelea kusajili ili kumpa kocha option za kutosha ..wale wengine huko walibeza usajili wetu na kuona vikosi vyao viko vizuri lakini wameona kazi imefanyika na matunda yamepatikana. Uzuri tuna boss ambaye anapenda mpira na haoni shida kutoa pound M kadhaa kwa ajili ya usajili.

Sisi ni klabu kubwa, sisi hatuhitaji kujenga timu sijui nini.. Kila msimu tuna wastani wa kuingia fainali.

Sisi tunahitaji makombe tu, mambo ya kujenga timu tuwaachie arse8 na manure na Yale makuku ..TT na bodi nzima wanapaswa kufanya kazi zaidi ili Ku prove wrong wakulungwa
#CFC
 
Kacheza mechi 44 msimu huu ana goals 34 assist 10 alafu nyinyi mnambeza kwenye Taifa lake la belgium yeye ndio Top scorer hadi sasa huo uwalali wa kumponda mnatoa wapi?
Halafu wengi hawamfuatilii na kumuona jinsi anavyofunga
 

Olivier Giroud’s stunning bicycle kick against Atletico Madrid has been selected as one of the top strikes in this season’s Champions League and you can now vote for it as the Goal of the Tournament.​

1622771844220.png
 

Ona Chelsea imesheheni wachezaji wengi kwenye hii timu ya UEFA ya msimu huu wa 21 lakini kwenye washambuliaji hatuna hata mmoja​

Tuna jumla ya wachezaji saba kati ya 23

Champions League Squad of the Season - 2020/21​

Goalkeepers
Thibaut Courtois (Real Madrid)
Ederson (Man City)
Edouard Mendy (Chelsea)

Defenders
Cesar Azpilicueta (Chelsea)
Ruben Dias (Man City)
Marquinhos (PSG)
Antonio Rudiger (Chelsea)
Ben Chilwell (Chelsea)
David Alaba (Bayern)

Midfielders
Jorginho (Chelsea)
Mason Mount (Chelsea)
N'Golo Kante (Chelsea)
Kevin De Bruyne (Man City)
Ilkay Gundogan (Man City)
Luka Modric (Real Madrid)
Sergio Oliveira (Porto)
Phil Foden (Man City)

Forwards
Erling Haaland (Dortmund)
Kylian Mbappe (PSG)
Robert Lewandowski (Bayern)
Karim Benzema (Real Madrid)
Neymar (PSG)
Lionel Messi (Barcelona)
 
Andre Silva wa Eintracht Frankfurt mbona hazungumzwi wakati yeye kamzidi Haaland kwenye ufungaji?
Silva kafunga 28 wakati Haaland kafunga 27 msimu uliopita
 
Thomas Tuchel "TT" kashaongeza mkataba mpya wa miaka miwili mbele baada ya kufanya vizuri kwa kuchukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Hii ni tofauti na mkataba wa awali aliousaini wa Mwaka mmoja na nusu(miezi 18) mara tu Lampard alipotimuliwa Stamford Bridge mwaka huu mwezi wa 2.
 
Thomas Tuchel "TT" kashaongeza mkataba mpya wa miaka miwili mbele baada ya kufanya vizuri kwa kuchukua UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Hii ni tofauti na mkataba wa awali aliousaini wa Mwaka mmoja na nusu(miezi 18) mara tu Lampard alipotimuliwa Stamford Bridge mwaka huu mwezi wa 2.
Taarifa nzuri iyo kwa washabiki na wapenzi kwaclub ya Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom