lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Alonso kwa maoni yangu atakuwa partner mzuri wa Chilwell asiuzwe, angalau msimu huu kwa sababu priority kubwa ni CB, MF na StrikerWachezaji wengi mikataba yao inaisha mwezi ujao JULY:-
1. Batshuayi
2. Drinking water
3. Bakayoko
4. Barkley
5. Loftus Cheek
6. Giroud
Wachezaji wakuuzwa:-
7. Tomori
8. Abraham
9. Ermason
10. Alonso 50/50
11. Zouma 50/50



aisee mimi na wasiwasi huyu jamaa anatua Stanford bridge, sioni tukiweza kumsajili Haaland/ Kane