lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,699
- 25,913
Havertz sio natural striker ni kama werner. Natural strikers ni Giroud na Tammy AbrahamTuvuteni picha Lukaku ndio huyo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
-----Werner- Lukaku- Mount--------
Chilwell- Joginho - Kante- James
------Rudger - Thiago - Azipu -----
Dah Harvetz ni bora kuliko Lukaku. Lile goli Kai alilofunga UCL angekuwa Lukaku pale angembabua kipa usoni.
Lukaku ni natural no. 9, form yake ilikuwa mbovu Man U kwa sababu kule hawana team work kama ilivyo Chelsea hasa baada ya TT kuja
Ubinafsi ukiondolewa kule mbele Lukaku anaweza funga goli 15-20 kwa msimu
Kama Lukaku hafai basi tumzuie Tammy asiende kwa sababu anaweza kutupa magoli kama ya Lukaku
Ila Havertz hataweza kuwa mfungaji wa kutegemewa hata kama kafunga goli zuri juzi
Labda mkosi ukimuisha Werner anaweza fikisha goli 20 ila hatakuwa namba 9, akifunga akiwa winga kama akina Sterling wa City
Tuiache management wafanye klazi yao, Gamble ya Lukaku inaweza lipa, ofcourse alisha cheza EPL na Everton na Man U kwa hiyo hatahitaji muda wa kuzoea