Huyu Blackman si kipa?? Kwanini anauzwa?Orodha ya wachezaji ambao Chelsea wamedhibitisha hawatakuwepo msimu ujao darajani
- Jamal Blackman
- Izzy Brown
- Declan Frith
- Danilo Pantic
- Willy Caballero
- Marco van Ginkel
- Jack Wakely
Umri wa kepa unaujua aende tuHuyu Blackman si kipa?? Kwanini anauzwa?
Tupe habari za ndani nakuamini Sana kijana nilikuvulia kofia kwenye suala lile usajili wa Kai havertNasikia Haaland ni suala la muda tu
Tupe habari za ndani nakuamini Sana kijana nilikuvulia kofia kwenye suala lile usajili wa Kai havert







Umeshafuta aibu na sasa umejitutumuia kuja tena na porojoHamna hela za kumsajili haaland ,
Haaland mwenyewe kashasema
Kwa hiyo pesa hakuna haja ya kuwapa Abraham tunamwitaji Abraham awe kama backup wetuChelsea imefungua milango kumsajili Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland dili ambalo linakadiriwa kufikia Pound za Uingeleza 170m (Billion 558 za Kitanzania) Pia kuna uwezekano wa Chelsea kumtoa Tammy Abraham kama sehemu ya dili hilo.
Wana Chelsea mnasemaje kwa ujio huu hapa darajani? toa maoni yako.
Ni kweli ukiangalia umri wake bado anaweza kuja kuwa potential baadaye - mi naona kama anahitaji nafasi zaidi ya kucheza wamtoe kwa mkopo badala ya kuwa sehemu ya dili la Haaland.Kwa hiyo pesa hakuna haja ya kuwapa Abraham tunamwitaji Abraham awe kama backup wetu
Absolutely 👏Ni kweli ukiangalia umri wake bado anaweza kuja kuwa potential baadaye - mi naona kama anahitaji nafasi zaidi ya kucheza wamtoe kwa mkopo badala ya kuwa sehemu ya dili la Haaland.
Mzee Abraham ni out of favour Kwa sasa...na Kwa kuwa giroud kaongeza mkataba...na pia kuna tetesi za kocha kumhitaji Yule dogo Armando broja ambaye alikuwa anakipiga Kwa mkopo uholanzi ni dhahiri nafasi yake ni finyu kikosiniKwa hiyo pesa hakuna haja ya kuwapa Abraham tunamwitaji Abraham awe kama backup wetu
Ushapona maradhi yako ya kuwewseka? Baàda ya kukuvua kanga ?Hamna hela za kumsajili haaland ,
Haaland mwenyewe kashasema
Aje tuChelsea imefungua milango kumsajili Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland dili ambalo linakadiriwa kufikia Pound za Uingeleza 170m (Billion 558 za Kitanzania) Pia kuna uwezekano wa Chelsea kumtoa Tammy Abraham kama sehemu ya dili hilo.
Wana Chelsea mnasemaje kwa ujio huu hapa darajani? toa maoni yako.
Hebu cheki mavitu yake hapa
Kuweweseka nini ....Ushapona maradhi yako ya kuwewseka? Baàda ya kukuvua kanga ?