Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20210604_222630.jpg

Kuliko kununua viloba.
 
Andre Silva wa Eintracht Frankfurt mbona hazungumzwi wakati yeye kamzidi Haaland kwenye ufungaji?
Silva kafunga 28 wakati Haaland kafunga 27 msimu uliopita
Mmh hawa one season wonder sio wa kukimbilia la sivyo unakula za USO Tu kama Luka jovic Kwa real Madrid....Mzee ukimfuatilia vizuri kabla ya kutua eintracht Frankfurt alikuwa pia Sevilla na AC Milan na huko alistruggle Sana ...at least a maintain tena Kwa misimu mingine....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kama yule Piateki sijui jina nimelipatia alikuwa Ac milani raia wa Poland alianza vizuri mpaka wengine wakasema Lewandoski mpya Leo yuko wapi?
 
Mmh hawa one season wonder sio wa kukimbilia la sivyo unakula za USO Tu kama Luka jovic Kwa real Madrid....Mzee ukimfuatilia vizuri kabla ya kutua eintracht Frankfurt alikuwa pia Sevilla na AC Milan na huko alistruggle Sana ...at least a maintain tena Kwa misimu mingine....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Liverpool ndio wamelenga huyo wa mil30/40 tu
 
Kwann tusiwapiku Aston Villa kwenye usajili wa Buendia kutoka Norwich. Naona Villa ndio wanaongoza kwenye mbio za kumsajili maana zile takataka za London zimeshindwa kabisa ata kuongeza paundi milioni 5. Ase8 wanatia aibu sana yaani mchezaji mzuri kama yule wanataka kweli kumuachia hivi hivi aende villa, poor Ase8
 
Kumuongezea mkataba GIROUD kuna faida mbili:-

1. Tunahitaji mabao yake muhimu kwa point 3 muhimu, magoli yake yalitufikisha EUROPA Fainali 2019, magoli yake yametuvusha hatua ya makundi UEFA mwaka huu.

2. Giroud ni hot sokoni Ac Milan na vilabu vingi vilikuwa vanamtaka bahati mbaya wangemchukua bure.

Kumuongezea Mkataba wa mwaka 1 tunaweza kupiga pesa ya kumuuza dirisha la January kuliko kuondoka bure dirisha hili.
Mkataba umeongezwa kibiashara zaidi kwa sababu kwa mfumo wa TT Giroud na Tammy hawatapata nafasi sana, Unless kuna mashine ya magoli mpya itasajiliwa TT ataendelea kuwatumia Werner na Havertz kwenye false no.9
Giroud na Tammy labda watatumiwa kwenye UEFA hatua za mwanzoni na FA na Karabao
 
Kwann tusiwapiku Aston Villa kwenye usajili wa Buendia kutoka Norwich. Naona Villa ndio wanaongoza kwenye mbio za kumsajili maana zile takataka za London zimeshindwa kabisa ata kuongeza paundi milioni 5. Ase8 wanatia aibu sana yaani mchezaji mzuri kama yule wanataka kweli kumuachia hivi hivi aende villa, poor Ase8
Aston villa wameshamsajili
 
Wakuu, nahisi kwenye hii super cup kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo kutokana na masharti ya corona mfano Mendy au hapa itakuwaje.?

Itachezwa Ireland ambayo pia ni UK
 
Wakuu, nahisi kwenye hii super cup kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo kutokana na masharti ya corona mfano Mendy au hapa itakuwaje.?

Itachezwa Ireland ambayo pia ni UK
Hii SUPER CUP inapigwa lini hii game? Wale Villareal inatakiwa tuwapige za kutosha.
 
Tony Conte akataa mkataba wa Spurs baada ya Spurs kushindwa kutekeleza mahitaji yake
  1. Aje na wafanyakazi zaidi ya wanne
  2. Mshahara uongezwe kwa Euro milioni 3
  3. Uwekezaji mkubwa zaidi na
  4. Hitaji la Spurs kushinda makombe haraka kama alivyofanya Chelsea
1622973234711.png
 
THE BLUES tembeeni kifua mbele.View attachment 1810551
Unakuta nyumbu zinakuja kutamba Kwa rekodi ya makombe Yao waliochukua miaka ya nyuma...imagine kombe limechukuliwa 1967 wakati siasa za ujamaa nchi njaa tupu hakuna hata TV ...utapata wapi muda WA kufuatilia... Ila Una kuta kitoto kidogo leo kinavimba kweli na nyumbu zao au liverfyuku bila kusahau shenali

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Giroud hakutaka kurenew mkataba ni Chelsea walifanya kitu kinaitwa Trigering the contract extension tena ilifanyika mwezi wa nne (Aprili) halafu wakatangaza majuzi

Giroud akihojiwa kwenye press conference katoa hisia kuwa bado ana mpango wa kuhamia AC Milan

Chelsea wako tayari kukatiza huo mkataba ili aende Milan kama watapewa ofa kidogo
1623005141324.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom