Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni sana mashabiki wa Chelsea. Kikubwa tuwe na imani na klabu yetu, ata kama tuko hovyo tusionyeshe udhaifu wetu kwa maadui.
Maadui ndo nani hao? Tunaitwa wapinzani na upinzani si uadui. Juzi kuna demu wa Chelsea alinipa yote yote kote kote yaani. Tupo pamoja.
 
Following their victory in the Champions League final on Saturday, Chelsea can now begin preparing for next season and manager Thomas Tuchel is keen to build on their success.

Tuchel is set to sign a new deal with the Blues and he is also looking to strengthen the squad in the summer transfer window.

According to a report from the Telegraph, several names are on Tuchel's wish list, with the 47-year-old keen to bring in a new striker.

The report states that Chelsea have already registered their interest in Inter Milan star Romelu Lukaku and Tottenham Hotspur goalscorer Harry Kane.

Tuchel is also said to be after a new midfielder, with AS Monaco 's Aurelien Tchouameni being considered as an alternative to Declan Rice.


Borussia Monchengladbach's Jonas Hofmann is also on Chelsea's radar, with the club keen to bring another wide player as cover for Hakim Ziyech.

Ziyech is due to play for Morocco at the African Cup of Nations and could be unavailable for up to a month next season.
 
Lukaku Ana maajabu gani mkuu? Maana tayari tuna Tammy na Werner ..apo labda aletwe Halland tu mwenye uhakika wa kukupa Holi za kutosha kwa msimu.
Tammy huyo NI out of favour tiyari kwenye kikosi cha tuchel...msimu ujao huenda akaenda crystal palace au westham ....Lukaku wa misimu miwili iliyopita inter alikuwa ana kasheshe sana ana takwimu nzuri Sana za ufungaji na assist Labda utueleze unavyoona kwann asije Lukaku au kisa alifeli man u?
 
Diet diet diet, aina ya vyakula wanavyopikiwa wachezaji Italia, ni vyakula vinavyotunza mwili, kuimarisha na sio kunenepesha.

Ndio maana kule Lukaku alipungua uzito na ndio maana wachezaji wa ligi ya Italia wanacheza mpaka umri mkubwa sana.

Sasa Lukaku akitua London kwenye mapochopocho akanenepa kama akiwa Man u (kimbao mbao kawa tukunyema) sura yetu tutaiweka wapi [emoji41]

Kiuchezaji Lukaku anakosa magoli mengi sana ya wazi, THE BLUES tunatengeneza chance nyingi sana za kufunga magoli tunahitaji serious finisher like Harry Kane, Haaland au Lewandoski.
Kwan hawezi kuwa na chef wa kiitaly huko london......?Mkuu ujue hata Ronaldo kule serie A anaongoza kukosa magoli mengi lkn ndo top scorer ....mi naimani akija yeyote Sawa Tu maana among top strikers top 5 wote hao tunaowahitaji hawakosi naona Kwa sahv Lukaku anafaa kuja tu
 
Adama traore seriously??
Naona report anamhitaji Kwa ajili ya kumchezesha mainly nafasi ya right wing back huenda akafaa kutokana na pace yake....lkn hizi zingine n tetesi za magazeti na vyombo vya habari huko ulaya
 
Declan Rice achukue nafasi ya nani?

Lukaku hapana, kama tukimkosa Haaland, Kane, Lewandoski bora tuendelee kutumia wachezaji wetu wa sasa

Adama Traore hapana hizo nguvu zake azipeleke bundasliga.
Ktk kujenga timu pana usiseme Declan Rice atakuja kuchukua nafasi ya nani. Sisi sio Arsenal au Westham. Tunahitaji kujenga timu ya kushindana na Man City. Timu ambayo timu A au B inaweza kubeba makombe makubwa, Pesa ipo kwa hiyo wewe relax tu!

Lukaku ni mfungaji clinical na kwa kutumia nguvu zake analazimisha kufunga
Adama ni wingback mzuri ambaye atafanya pair nzuri sana na Reece James
Tukiwakosa akina Robert au Kane tumchukue Lukaku
Haaland achane nae yeye anataka timu kubwa, kashasema Chelsea ni timu ndogo
Anataka kwenda Man U, RM, Barca nk
 
Ktk kujenga timu pana usiseme Declan Rice atakuja kuchukua nafasi ya nani. Sisi sio Arsenal au Westham. Tunahitaji kujenga timu ya kushindana na Man City. Timu ambayo timu A au B inaweza kubeba makombe makubwa, Pesa ipo kwa hiyo wewe relax tu!

Lukaku ni mfungaji clinical na kwa kutumia nguvu zake analazimisha kufunga
Adama ni wingback mzuri ambaye atafanya pair nzuri sana na Reece James
Tukiwakosa akina Robert au Kane tumchukue Lukaku
Haaland achane nae yeye anataka timu kubwa, kashasema Chelsea ni timu ndogo
Anataka kwenda Man U, RM, Barca nk
Chelsea ni team ndogo kwa vigezo vipi...?
 
City wanataka kumnunua Kane

Jesus+70m Euro = Harry Kane
 
Tumuondoe Harry Kane kwenye equation
Taarifa zinadai kuwa Kane ni mpenzi mkubwa sana wa Spurs na hataweza kusajiliwa na wapinzani (Rival) wao wa London kwa sababu hataweza kuisaliti timu yake na washabiki wake
Taarifa zinadai zaidi kuwa Kane alishagusia kuwa anweza kwenda Man City alipoulizwa kwamba ni mchezaji gani anayeweza kumsaidia afunge magoli mengi, jibu alisema ni KDB tu.

Na Haaland naye alishaitoa Chelsea kwenye ndoto zake endapo ataihama Dortmund
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom