Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona uzi umechangamka kweli kweli, Safi, the blues is the color
 
Tammy huyo NI out of favour tiyari kwenye kikosi cha tuchel...msimu ujao huenda akaenda crystal palace au westham ....Lukaku wa misimu miwili iliyopita inter alikuwa ana kasheshe sana ana takwimu nzuri Sana za ufungaji na assist Labda utueleze unavyoona kwann asije Lukaku au kisa alifeli man u?
Lukaku Naona presha ya ligi itamshinda ..ni Bora Mara kumi clab ipambane kumvuta Halland ..huu sio wakati wa kujaribu Tena ..lazima tuhakikisha tunampata mtu Kama Salah au Kane anaeweza kukupa Holi 20+ kwenye ligi
 
Mchezaji bora wa dunia mwaka jana nadhani haikuwepo, mwaka huu ipo na goal.com wameweka rates zao

1: Ngolo Kante

13: Mount
 
Ole for 3 years: We are making progress
Tuchel in 6 months: UCL champs
 
Usajili wa Kane kuja Chelsea ni kitu kisicho wezekana achaneni na hayo mawazo ya kupata saini yake. Levy hawezi kuwauzia Kane mkumbuke kuwa Spurs na Chelsea wana uhasama mkubwa mno.

Kama Chelsea wanahitaji straika basi wafanye usajili wa Andre Silva, Andre Silva ni kijana mdogo mwenye uwezo mzuri wa kufunga. Pia naona akiendana na mfumo wa Tuchel.

Achaneni na kina Halaand, Lewandowski na Lukaku ni sajili ngumu kufanyika
 
Wewe haupo serious adre silva? Kama ni hiv si Bora tu ubaki na Tammy Abraham
 
City wanataka kumnunua Kane

Jesus+70m Euro = Harry Kane
Wachezaji hawakubali swap na pesa ni udhalilishaji,swap ya mchezaji kwa mchezaji sawa,Hii ngoma ngumu city au team yoyote inayomtaka kane,halland kwa mwaka huu waandae euro 100+ na Barca ,madrid hawana cash ,utd ,psg,chelsea wanao uwezo kutoa mpunga ,city hawajawahi kufanya jaribio kubwa hata la pound 80 ,tuangalie watafanya nini
 
Mwenyewe nmejiuliza ila nikakausha
Kwenye maelezo yangu hapo juu ilitakiwa logic ifanye kazi zaidi as part of communication
Logical equation ni
a) 10mX24
b) 10m/24

Jibu ni B
Huwezi pata mapato ya mil 95 halafu utumie mil 240, never
 
Kwenye maelezo yangu hapo juu ilitakiwa logic ifanye kazi zaidi as part of communication
Logical equation ni
a) 10mX24
b) 10m/24

Jibu ni B
Huwezi pata mapato ya mil 95 halafu utumie mil 240, never
Nmekuelewa mzee wangu
 
TT TACTICAL ANALYSIS VS CITY
  1. Kuzuia mashambulizi ya pembeni ambayo city au PEP anapenda kutumia kwa kuwatumia RB na LB na mawinga katika kushambulia. Chilwell kambana sana Mahrez na Walker wasipandishe mipira kabisa. James kawazuia Stearling na Zinchenko wasipandepia
  2. Kante aliandaliwa kwa ajili ya clearance na recoveries za uwanja mzima kama alivyofanya dhidi ya ya RM
  3. Werner katumiwa kuisumbua na kuipasua defenve ili kutoa space kule mbele na goli la Havertz ni matokeo ya huo mpango. Mount alipopata mpira mabeki wa city hasa Dias akili yao walielekeza kwa Werner wakamuachia Havertz linafasi kubwa katikati. Udhibitisho wa huo mpango, Werner alikuwa akicheza pembeni zaidi yaani kulia na kishoto na kila anayepata mpira walikuwa wakimtafuta zaidi Werner
  4. Mabeki wao kazi yao kubwa ilikuwa kufanya clearance na walifanikiwa sana akina Azpi, Silva baadaye Christensen na Rudiger. Kwa kazi nzuri ile kipa Mendy hakuwa na kazi kubwa juzi ya kufanya isipokuwa lile jaribia bubu alilotaka kufanya Aguero la kumpasia Jesu mpira wa juu kumpita Mendy

1622530344402.png
 
Usajili wa Kane kuja Chelsea ni kitu kisicho wezekana achaneni na hayo mawazo ya kupata saini yake. Levy hawezi kuwauzia Kane mkumbuke kuwa Spurs na Chelsea wana uhasama mkubwa mno.

Kama Chelsea wanahitaji straika basi wafanye usajili wa Andre Silva, Andre Silva ni kijana mdogo mwenye uwezo mzuri wa kufunga. Pia naona akiendana na mfumo wa Tuchel.

Achaneni na kina Halaand, Lewandowski na Lukaku ni sajili ngumu kufanyika
Sema Hawa wachezaji wa kuwika msimu mmoja nao sio wa kukimbilia ...tujifunze Kwa real Madrid na Luka jovic
 
Ma fans wa asernal wamecharuka bada yq adim kupost wanabeba FA 2015 wakimatag Oliver G naona wanapanick vibayq
 
Erling Haaland interview ya Ijumaa kabla ya finali za UCL:

“ I’ve a contract with BVB so I’ll be respectful... us getting Champions League spot secured was so important “

Erling Haaland interview baada ya finali za UCL:

“ I have not made decision, I will go on Vacation then report for pre season “

Hii ina maana sasa na Chelsea iko kwenye equation tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom