Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1622323503446.png
 
Hii game leo City wameonekana kama hawajui kucheza
PEP ajifunze mbinu kwa TT
Chelsea ilitakiwa ishinde sio chini ya goli 3 leo
Wamecheza mpira wenye malengo, wao walikaa na mpira sana lakini walicheza kama watoto wa matambara
Chelsea ikipata mpira pasi za uhakika na za hatari
Mason Mount na 22yo tayari kawa Legend wa Chelsea akiendelea itakuwa balaa
lembu nilikuwambia hao man city utawakataa ebu pita Tena comment yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom