Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Just wondering if there is a repainting of Chelsea going on! Niko, Drogz, Kalou, Bosi, Bruma, Lukaku, now on pipeline Malu, Essien, Sturridge, Kakuta...... surviving are Mikel, Ramirez, Ash, Betrand and well Moses!

Essien not so soon..unajua msimu huu tuna mechi nyingi needing ol th players we can afford...
 
Champions league winners 0 european cup winners 3

:biggrin1: and its half time poleni yaani atletico madrid wanawafanyizia hivi ingekua barca je ingekuaje? 😄
 
Champions league winners 0 european cup winners 3

:biggrin1: and its half time poleni yaani atletico madrid wanawafanyizia hivi
ingekua barca je ingekuaje?

Nadhani nawe unaikumbuka dhahma ya Atletico Bilbao walichoifanya United hizi club za spain ni mwiba mchungu...POLE YAO leo hamna Drogba thats why
 
Ni pale tu baada ya wachezaji hawa kuondoka ndio tunasikia ubovu wao, lakini kabla ya hapo utasikia nyimbo za sifa kutoka kwa Arsenal fans = DESPERATION, ANGER, JEALOUS...you name it.


1. Fabregas = Sio mzuri kama anavyodhani, atakaa benchi Barcelona, kiwango chake kimeshuka hatumtaki.
2. Nasri = Greedy, One season wonder, atakaa benchi Man City
3. Van Persie = Injury prone, Mzee, Greedy, One season wonder, atasugua benchi ManU.
4. Song = Hajui kukaba, kasababisha beki yetu inaonekana mbaya, Lazy, bad attitude, benchi linamsubiri Barcelona
5. Walcott = Very incosistent, too predictable, unskillful, greedy, mbio tu hajui mpira, benchi linamsubiri kokote aendako isipokuwa Arsenal.


Who's next?



Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Di Mateo aka Kinyonga or if you like Chameleon .... .. nachikia leo mnachungulia tu thread yenu baada ya kula mkung'uto khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee reality check!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
article-2196550-14C70928000005DC-921_634x408.jpg


Party time: Atletico Madrid's players celebrate
with the trophy at the end of the UEFA Super Cup



article-2196550-14C6B817000005DC-680_634x485.jpg


Stunner: Falcao curls home his and Athletico Madrid's
second goal against Chelsick

 
article-2196550-14C6CA5A000005DC-561_634x362.jpg


Overun: Falcao scores again as Chelsick fall apart
in the Super Cup in Monaco



article-2196550-14C6D472000005DC-831_634x388.jpg


Helpless: Chelsick players stand in disbelief
as Atletico Madrid run riot in Monaco



Jamaa walifikiri wanacheza kwenye cow shed ....
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kulikuwa na varangati gani hapa?! Maana naona vumbi tu linatimka! Nasikia timu moja ya kawaida kutoka ile 'league ya timu mbili' imewafanyizia wenyeji, poleni sana, ndo maisha hayo!!!
 
article-2196550-14C6CE67000005DC-40_634x411.jpg


Hat-trick here: Falcao celebrates grabbing
his third goal as Athletico Madrid stun Chelsick

Mungiki Brother
leo yuko Invisible wanamuota huyu kijana
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



article-2196550-14C6F5B6000005DC-611_634x437.jpg


Gloss: Miranda adds a fourth for the Spanish side
as Chelsick fall apart again

Check -mate khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
unaniumiza weye . .... .....


 
  • Thanks
Reactions: Mbu
falcao_1576271a.jpg


HAT-TRICK HERO ... Radamel Falcao


chelsea_1576277a.jpg

FEELING BLUE ... Fern Tor the res, skipper Fran Lamps and John Obi Mikel
reflect on a disappointing night

Pensioners khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


super_1576279a.jpg


JUST SUPER ... Atletico Madrid celebrate with the trophy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom