Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakika kwa Eden Hazard, Chelsea imelamba dume...jamaa ni mkali sana..na hapo lazima Torres afunge sana magoli....

Huyo bwana mdogo sijui kwanini Man U tulimwachia aende darajani..aarrrgghhh.

£32million price tag sio sindimba.Na kapu lenu lilivyokuwa na matobo,haliwezi kubeba vitu vizito kama hivyo bro litachanika.
 
Hiyo kasumba mubaya sana, yaani mchezaji mpaka akipige Madrid,Barca or Man U ndio anakuwa wa ukweli, wangapi wanapiga vitu vya ukweli hawapo hizo timu.Acha meneno mbovu mbovu. Kama hivyo siwange chukua CL kila msimu,mbona wana mbwela bwela tu (Madrid mpaka sasa ana point 1,Man U pnt 3, chelsea 9).. Time will tell.

exactly time will tell..kua na point 9 sasa hivi haimaanishi kitu...madrid wame drop points juzi basi its still early days..kumbuka hata swansea everton they're still unbeaten..tulizeni boli
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
£32million price tag sio sindimba.Na kapu lenu lilivyokuwa na matobo,haliwezi kubeba vitu vizito kama hivyo bro litachanika.

Pheeeewww.
Man U is the most valuable SPORTS TEAM in the world. The club's value is worth $2.24 billion.
Manchester United Again The World's Most Valuable Soccer Team - Forbes

Mind you that, the club's gross debt is decreasing annually - now the debt stands at £423.3m - according to the latest financial reports.
BBC News - Manchester United boosts revenues and cuts its debt
Manchester United's net debt up by £26m as income falls nearly 6% | Football | guardian.co.uk

So think again, if the club couldn't afford to buy Hazard for such a change.
 
wala usipoteze mda kuwaleza watu humu ndani...mijitu humu ni mibishi ka nini...
 
wala usipoteze mda kuwaleza watu humu ndani...mijitu humu ni mibishi ka nini...

Wala usimpe kichwa..hizo hela sio fungu la kununua wachezaji aliloidhinishiwa fagasoni...kwaiyo usijifanye uwezo mnao...HAMNA.
Fedha aliyo pewa di mateo kununua wachezaj ni nyingi kuliko man useless....msijifanye mnajua sana apa.
 
Sasa chelsea hela wanatumia za abromavich sio za kwao..maana deni la chelsea ni kubwa leo hii abromavich akiondoka chelsea club inakufa...hela man utd wanazotumia si za glazers ni za man utd football club...kaeni kimya nyie
 
[h=1]Didier Drogba and Nicolas Anelka may leave Shenhua in shareholders row[/h]• Zhu Jun owns 28.5% but was promised larger stake
• Chairman has put in required investment but no action taken

Didier-Drogba-joined-Shan-008.jpg

Didier Drogba joined Shanghai Shenhua from Chelsea this summer, six months after Nicolas Anelka. Photograph: Peter Parks/AFP/Getty Images

The former Chelsea strikers Didier Drogba and Nicolas Anelka could be sold by China's Shanghai Shenhua due to an escalating equity stake row among shareholders, the local media have reported.

The chairman, Zhu Jun, who holds a 28.5% stake, would pay his share of the club's daily costs only if his demands for greater control were met, according to the China Daily.

Zhu currently controls the Chinese Super League club along with five state-owned enterprises after becoming a shareholder in 2007. The agreement was that if he invested the equivalent of £15m over two years, his stake would increase to more than 70%, the newspaper reported.

The Oriental Sports Daily reported that Zhu had ploughed more than £60m into the club in the past five and a half years, while the state-owned companies had spent nothing.
The transfer of shares stalled in 2009 and again last year, a source told the Oriental.

"It is annoying and has had a bad effect on many of our tasks," a club official said. "The biggest problem is that the operation and financing work of the club cannot be carried out normally. The equity stakes issue has become the biggest bottleneck for the development of Shenhua."

If unresolved, Zhu, who has been signing all the cheques, could decide to cough up only 28.5% of the club's expenditure, potentially affecting player salaries.

The Colombian Giovanni Moreno missed the match against Shandong Luneng at the weekend amid speculation Shenhua had fallen short in transfer fee payments to Argentina's Racing Club.

The futures of Drogba and Anelka could be in the balance if Shenhua fail to make their salary payments. Both are reportedly paid more than $300,000 a week.

Despite investing heavily in big-name foreign players, Shenhua are 10th in the 16-team Chinese Super League on 27 points from 23 matches. The leaders, Guangzhou Evergrande, have 47 points.
 
BAK sasa wataenda wapi? warudi kwao tu wakaendeleze soka lao...call it giving back to the community!
 
Last edited by a moderator:
Sasa chelsea hela wanatumia za abromavich sio za kwao..maana deni la chelsea ni kubwa leo hii abromavich akiondoka chelsea club inakufa...hela man utd wanazotumia si za glazers ni za man utd football club...kaeni kimya nyie

Waeleze hawa mkuu.. wajifunze what happened in malaga
 
Tumewazoea nyie mambo yakichanganya anabaki Peasant peke yake

:biggrin1: Ndio walivyo hao....fans wa humu si wameanza kusupport chelsea kuanzia kipindi cha abromavich baada ya kuanza kushinda ligi kabla ya hapo wote walikua arsenal...
 
:biggrin1: Ndio walivyo hao....fans wa humu si wameanza kusupport chelsea kuanzia kipindi cha abromavich baada ya kuanza kushinda ligi kabla ya hapo wote walikua arsenal...

Na wewe umeanza kushabikia Manure baada ya Glazers sio? What a childish argument?!
 
Sasa chelsea hela wanatumia za abromavich sio za kwao..maana deni la chelsea ni kubwa leo hii abromavich akiondoka chelsea club inakufa...hela man utd wanazotumia si za glazers ni za man utd football club...kaeni kimya nyie

Keep on dreaming you buffoon! Chelsea was there and will be there after Roman's long gone.
 
What a bargaining Hazard 21 for £ 32 mil Mondric at the age of 27 Madrid paid £ 35 mil. Hazard is the hot asset in european football!!!!!

Let' see what we can do on Friday. I'd like to bag a first trophy of the season and enjoy a night out.
 
:biggrin1: Ndio walivyo hao....fans wa humu si wameanza kusupport chelsea kuanzia kipindi cha abromavich baada ya kuanza kushinda ligi kabla ya hapo wote walikua arsenal...
Tuombe radhoi, sisi wengine ni Chelsea tangu kabla ya enziza kocha mzhezaji Ruud Gulit
 
Na wewe umeanza kushabikia Manure baada ya Glazers sio? What a childish argument?!

kimewauma eeh?? eti childish argument i only said the truth...glazers walikuwepo wakati wa treble 1999?, sisi tumeanzia mbali....wakati ule club inajiendesha yenyewe hakuna oil money billionaires kama sheikh mansour au abromavich
 
Keep on dreaming you buffoon! Chelsea was there and will be there after Roman's long gone.

oh yeah..if roman removes his money from chelsea how would you afford to pay john terry 200000 pound plus huh...do you know how much money chelsea football club earn annually? and how much you're paying in wages? do the maths :evil:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom