Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Napenda akisepeshe huyu kijana labda ni Usain Bolt no.2 kamepewa offa ya £75000 kamegoma eti anataka £100,000 kwa week? Hii ni joke kwa kiwango gani? Very incosistent,too predictable,unskillful...tena mi sikakubali haka kajamaa...alafu hii inafanana na Luis Nani's situation pale man utd nako eti kalitaka wakapandishie toka £80,000 mpaka £100,000 fergie amemkatalia "kwa kiwango gani? Kameufyata mkia

Ondoa vitoto vinakimbia kimbia tu uwanjani...

Ni pale tu baada ya wachezaji hawa kuondoka ndio tunasikia ubovu wao, lakini kabla ya hapo utasikia nyimbo za sifa kutoka kwa Arsenal fans = DESPERATION, ANGER, JEALOUS...you name it.

1. Fabregas = Sio mzuri kama anavyodhani, atakaa benchi Barcelona, kiwango chake kimeshuka hatumtaki.
2. Nasri = Greedy, One season wonder, atakaa benchi Man City
3. Van Persie = Injury prone, Mzee, Greedy, One season wonder, atasugua benchi ManU.
4. Song = Hajui kukaba, kasababisha beki yetu inaonekana mbaya, Lazy, bad attitude, benchi linamsubiri Barcelona
5. Walcott = Very incosistent, too predictable, unskillful, greedy, mbio tu hajui mpira, benchi linamsubiri kokote aendako isipokuwa Arsenal.

Who's next?
 
Diaby and Ramsey after they impress...WALCOTT wa kawaida binafsi ushabiki pembeni sijawahi KUMKUBALI na huo ndo msimamo wangu...
 
Sema naona tumeuza uza mpaka tunawakatisha moyo waliobaki.

Muhimu hapa kununua tu ,siku zimebaki chache na naona wakina Ben,Chamakh,park,arshavin bado wapo tu hatujawauza

Jirani hapo kwenye nyekundu, uliowataja ndio roho ya timu usitarajie waondoke, japo list yako haijakamilika bila ya Squillaci na Djourou.
 
Diaby and Ramsey after they impress...WALCOTT wa kawaida binafsi ushabiki pembeni sijawahi KUMKUBALI na huo ndo msimamo wangu...

Haya tuachanane na Walcott, hao wengine mbona umekuwa mstari wa mbele kuwaponda baada ya kuondoka? Kwa nini usiseme "thanks for your contribution and good luck huko uendako"? Hiyo ndio sportsmanship. Drogba ni legend pale Darajani, lakini alipoondoka tulimpa baraka zetu zote....lakini ninyi, duh?
 
Kaka kuondoka kwa Drogba ni sawa na alivyoondoka Henry,vieira,cesc,pires,Ljungberg hawa waliondoka vizuri kaka na hawakusema lolote baya on media kwa timu iliyowapa jina

Ashley cole,nasri,Ade hawa waliondoka kwa Mbinde alafu wakawa wanatutukana ma fans na Club kwa Ujumla wake!

RVP kuondoka sikuwa na kinyongo "frankly speaking" Shida sikupenda Aende Manure bora mngemchukua hata nyie na unajua kwanini? MASHABIKI WAO WANACHONGA HAO!! Lakini Rvp ni mchezaji mzuri without a doubt
 
Tatizo la washabiki wa Arsenal wanapenda wao tu ndio watukane wachezaji wao wa zamani, lakini isiwe kinyume cha hapo. If you can't take it, don't give it....simple.
Kwa hiyo umekubali kuwa ulipokuwa unasema hovyo kuhusu RVP ilikuwa WIVU na HASIRA....now I know what kind of person you're.
Vipi kuhusu Song?
 
Transfer clockwatch

Kukiwa kumesalia masaa si chini ya 24 Arsenal inafanya kila jitihada kusajili wachezaji wawili kuziba nafasi ya Alex Song na kupata beki mwingine atakaesaidia upande wa kulia ambako Jenkinson bado hajakomaa na Sagna ni majeruhi.

Kuna wachezaji sita wanatajwa ambao mpaka sasa wawili kati yao ndio wanaonekana watasajiliwa na Arsenal ambao ni:

Mapou Yanga-Mbiwa- Ana miaka 23 na anaweza kucheza upande wowote katika ile "back four". Anachezea Montpellier na anaweza kugharimu kiasi cha paundi milini 7.

Gregory van der Wiel- Ana miaka 24 pia ni beki wa kulia wa Ajax Amsterdam na anaweza pia kuziba sehemu hiyo ya kulia ambako mara nyingi kumekuwa kukitumiwa na washambuaji wa upinzani.

Sehemu ya kiungo ulinzi kunahitaji kuzibwa pengo la Alex Song na kuna wachezaji wafuatao ambao mmoja wao anaweza kununuliwa na Arsenal:

Yan M'vila - Ikiwa Arsenal watamnunua huyu kiungo basi watakuwa wanamsaidia Santiago Cazorla katika kupika mashambulizi. Tatizo ni kwamba Tottenham Hotspurs nao wameingia katika mchuano wa kumtafuta M'vila na hiyo inaweza kuleta matatizo.

Ibrahim Afellay- Huyu ameruhusiwa na Barcelona kwenda kucheza kwa mkpo kwenye timi yoyote ile na Arsenal wanaangali nafasi ya Theo endapo akiuzwa basi Afellay achukuliwe kwa mkopo.

Yohan Kabaye na Cheikh Tiote ambao ni walinzi wa kati wa Newcastle. Newcastle watataka milioni 20 kwa kila mmoja wa wachezaji hao na hiyo ni kwasababu watakuwa hawana muda wa kusajili mchezaji mpya.

In Arsene we trust.
 
kama ulielewa point yangu sikupost hapa kwamba song si mchezaji mbovu sana, na hana lolote it was like this...."Song si mchezaji wa ma fans kupata presha maana pamoja na perfomance yake bado turiruhusu magoli 49 then mini kasema si defensive mildfielder kiivyo kama watu wanavyo overrate maana kama Unajua Toka Aondoke Vieira mwaka 2005 tulipoteana na mpaka alipokuja kuziba pengo hilo Matheu Flamini....na kiukweli katika kiungo ya UKABAJI (kwa maoni yangu) hawajatokea tena watu kama hawa pale....then song kama ali wish kuondoka aende tu kwani still hata angebaki bado Arsenal waliitaji DM kwa nguvu zote wamnunue" na hapa ndio point yangu lakini kiukweli jamaa alitoa assist nnying msimu uliopita kwa RVP ila alikuwa Ana expose defense kwenye counter attacks kwani alikuwa akipanda sana....na mi nilikuwa nayasema haya even before hajaondoka......
 
Transfer clockwatch

Kukiwa kumesalia masaa si chini ya 24 Arsenal inafanya kila jitihada kusajili wachezaji wawili kuziba nafasi ya Alex Song na kupata beki mwingine atakaesaidia upande wa kulia ambako Jenkinson bado hajakomaa na Sagna ni majeruhi.

Kuna wachezaji sita wanatajwa ambao mpaka sasa wawili kati yao ndio wanaonekana watasajiliwa na Arsenal ambao ni:

Mapou Yanga-Mbiwa- Ana miaka 23 na anaweza kucheza upande wowote katika ile "back four". Anachezea Montpellier na anaweza kugharimu kiasi cha paundi milini 7.

Gregory van der Wiel- Ana miaka 24 pia ni beki wa kulia wa Ajax Amsterdam na anaweza pia kuziba sehemu hiyo ya kulia ambako mara nyingi kumekuwa kukitumiwa na washambuaji wa upinzani.

Sehemu ya kiungo ulinzi kunahitaji kuzibwa pengo la Alex Song na kuna wachezaji wafuatao ambao mmoja wao anaweza kununuliwa na Arsenal:

Yan M'vila - Ikiwa Arsenal watamnunua huyu kiungo basi watakuwa wanamsaidia Santiago Cazorla katika kupika mashambulizi. Tatizo ni kwamba Tottenham Hotspurs nao wameingia katika mchuano wa kumtafuta M'vila na hiyo inaweza kuleta matatizo.

Ibrahim Afellay- Huyu ameruhusiwa na Barcelona kwenda kucheza kwa mkpo kwenye timi yoyote ile na Arsenal wanaangali nafasi ya Theo endapo akiuzwa basi Afellay achukuliwe kwa mkopo.

Yohan Kabaye na Cheikh Tiote ambao ni walinzi wa kati wa Newcastle. Newcastle watataka milioni 20 kwa kila mmoja wa wachezaji hao na hiyo ni kwasababu watakuwa hawana muda wa kusajili mchezaji mpya.

In Arsene we trust.

Cheikh Tiote AW ameshasema hatomnunua....na nina wasiwasi na Huyo M'villa...may be hao wengine
 
Theo Walcott amekubaliana na Arsenal kuchezea timu hiyo hadi January ambapo atakuja na jibu kamili kama anakubali kulipwa 75,000K au la.

Hivyo inamaanisha kwamba kuanzia leo atakuwa akikalia benchi.
 
Napenda akisepeshe huyu kijana labda ni Usain Bolt no.2 kamepewa offa ya £75000 kamegoma eti anataka £100,000 kwa week? Hii ni joke kwa kiwango gani? Very incosistent,too predictable,unskillful...tena mi sikakubali haka kajamaa...alafu hii inafanana na Luis Nani's situation pale man utd nako eti kalitaka wakapandishie toka £80,000 mpaka £100,000 fergie amemkatalia "kwa kiwango gani? Kameufyata mkia

Ondoa vitoto vinakimbia kimbia tu uwanjani...

Halafu ana kawaida ya kusahau mpira nyuma, unajiuliza sasa uwanjani anfabya nini kama anaacha mpira nyuma?!
 
sizitaki mbichi hizi sio? Kila player anayeondoka arsenal mnamsagia Alex song, RVP na sasa THEO hao wengine akina podolski mnawatayarishia akina man city mwakani wanawabeba alafu utamsagia pia na yeye...POOL OLD ARSENAL..Nani tumegoma kumpa contract na mbona hatishii kuondoka? tuna ashley young na valencia so hata juzi babu fergie kasema mchezaji ambae hayuko happy mlango uko wazi..mambo ya kubembelezana ya zamani...

Mkuu huyu ulishaambiwa toka jana 23:41, kabla hata habari hii haijatoka kwamba mchango wake hauna tija sana sio suala la kumponda huo ndio ukweli-soma post ya Richard no. 21214
 
Haya tuachanane na Walcott, hao wengine mbona umekuwa mstari wa mbele kuwaponda baada ya kuondoka? Kwa nini usiseme "thanks for your contribution and good luck huko uendako"? Hiyo ndio sportsmanship. Drogba ni legend pale Darajani, lakini alipoondoka tulimpa baraka zetu zote....lakini ninyi, duh?

Henry nae alipoondoka Emirates alipewa baraka zote umesahau? na sanamu yake ipo pale! sasa wewe unataka tuwasifie hawa kina Juda Iskariot?! Msimu uliopita Rooney alitaka kuondoka mbona hamkumfanyia sherehe badala yake mlizunguka nyumba yake na matisho mengi ya kumdhuru?
 
Acha kukurupuka mkuu, Chelsea hatuna mchezaji anayeitwa Rooney.
 
Theo Walcott amekubaliana na Arsenal kuchezea timu hiyo hadi January ambapo atakuja na jibu kamili kama anakubali kulipwa 75,000K au la.

Hivyo inamaanisha kwamba kuanzia leo atakuwa akikalia benchi.
Hii timu ubahiri utatumaliza haki ya mama, yaani watu wanalipwa 120 au 130 K a week hawa jamaa bado wanabembeleza kumlipa 75K. Hii timu yangu kwa hali hii itaendelea kuwa timu ya " we shall do better next season"
 
Ni pale tu baada ya wachezaji hawa kuondoka ndio tunasikia ubovu wao, lakini kabla ya hapo utasikia nyimbo za sifa kutoka kwa Arsenal fans = DESPERATION, ANGER, JEALOUS...you name it.

1. Fabregas = Sio mzuri kama anavyodhani, atakaa benchi Barcelona, kiwango chake kimeshuka hatumtaki.
2. Nasri = Greedy, One season wonder, atakaa benchi Man City
3. Van Persie = Injury prone, Mzee, Greedy, One season wonder, atasugua benchi ManU.
4. Song = Hajui kukaba, kasababisha beki yetu inaonekana mbaya, Lazy, bad attitude, benchi linamsubiri Barcelona
5. Walcott = Very incosistent, too predictable, unskillful, greedy, mbio tu hajui mpira, benchi linamsubiri kokote aendako isipokuwa Arsenal.

Who's next?
Jirani......

Hivi, kwa mfano Walcott angekuwa Chelsea na akataka kuondoka....Ungepinga ama kumlaumu RDM kwa kumuuza Walcott?.......

Kwa mtazamo wako unaona kama Walcott ana mchango wowote kwa Arsenal/England ukilinganisha na A O-Chamberlain?...
 
Mambo ya Wenger daima huwa ni kutenda kama zimamoto, msimu woooooooote alikuwa anauza sura tu, mwishoni ndo anaanza kuhaha!!!
 
Binafsi kuna wachezaji ambao naomba kila siku waondoke Arsenal......

Hawa ni pamoja na Walcott, Diaby, Djourou, Fabianski, Arshavin, Squillaci na Chamakh......Hawana msaada wowote kwa timu......Ni bora wauzwe tu wote na kusajili hata wachezaji wawili ama watatu wa maana....
 
Jirani......

Hivi, kwa mfano Walcott angekuwa Chelsea na akataka kuondoka....Ungepinga ama kumlaumu RDM kwa kumuuza Walcott?.......

Kwa mtazamo wako unaona kama Walcott ana mchango wowote kwa Arsenal/England ukilinganisha na A O-Chamberlain?...

Jirani mambo vipi.
Najua kabisa Walcott kiwango chake kimedumaa, hata mimi ningemwambia aondoke....Tatizo langu ni huu utamaduni unaojitokeza kwa baadhi ya washabiki especially wa Arsenal, wanakuwa wakali kupita kiasi kwa wachezaji walioondoka Arsenal. Utakuta mtu anaongelea mapungufu tu bila kuonyesha kwamba yule mchezaji alitoa mchango wowote alipokuwa Arsenal. Mapungufu haya hayasemwi wakati mchezaji hajaamua kuondoka. Kwanini tusijifunze kusema "ahsante kwa mchango wako kwenye club na tunakutakia mema huko uendako"....huu ndio ustaarabu. Kumbuka mchezji ni binadamu kama walivyo wengine, anazo haki zote za msingi ikiwa ni pamoja na kufanya maamuzi kuhusu career yake.
 
Back
Top Bottom