Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kimewauma eeh?? eti childish argument i only said the truth...glazers walikuwepo wakati wa treble 1999?, sisi tumeanzia mbali....wakati ule club inajiendesha yenyewe hakuna oil money billionaires kama sheikh mansour au abromavich

Kwa hiyo unaona 1999 mbali sana sio?! Bora umekubali umejiunga baada ya treble, that means a GLORY HUNTER....soon you'll shift to Etihad, you shameless loon.
Nimeingia Stamford Brigde nikiwa chini ya miaka 10 kwa mara ya kwanza, sasa niko kwenye 30s. I know what it takes to be in the second division. I hate anything in red, except my own blood....never supported any team in red color....BLUE for life.

KTBFFH
 
Ningetaka kuhama team ningehama wakati arsenal are the inviscibles or ningeenda chelsea wakati akina drobga wameshinda their first cup in 50yrs au ningehamia city bt hizo sio timu za maana... Ur blood is red why support the blues... Nyie ombeni abromavich asife maana wote nyie mtahamia man city
 
Umesema mwenyewe umeanza kushabikia Manure 1999, ina maana kabla ya hapo ulikuwa Liverpool most likely. Au unasema 1999 ndio umeanza kuangalia mpira? Kama umeanza kuangalia mpira 1999 inawezekana ni kwa sababu:
1. haukuwa na access, au...
2. ulikuwa bado hauna mapenzi na football, hivyo ulivamia tu kwenye timu yenye mafanikio na wala sio connection yoyote na club yenyewe, ndio maana unaitwa GLORY HUNTER, au...
3. Bado mtoto mdogo ndio maana hata posts zako nyingi zimejaa utoto sana, NO SUBSTANCE, ni kubishana tu.

Case closed and good luck in your GLORY HUNTING CAREER.
 
Hapa mkuu nakuunga Mkono asilimia 100% jamaa ni Glory hunter...hawezi kunishawishi hajaanzia 1999.."treble season" alafu anajifanya Lawro wa bbc "football analyst" kumbe Glory hunter Lol...!!!
 
Watanzania amkeni upeo wa kufikiria unakua mdogo.. Ulisema nimeanza kusupport man u wakati wa glazers nikakuambia glazers walikuepo 1999 basi mkafikiri nimeanza kusupport man u 1999 mi nimeanza kusupport man u way before that enzi za kina pallister steve bruce mark hughes bt nyie hamjui hiyo.. Wakati wa cantona jaap stam hughes wanashinda ligi where were chelsea? Sawa mlikua ba zola di matteo and so many good players like hasslebank bt u didnt win a premier lg all that time so pls kaeni kimya... Ur talkin too much
 
Glory glory man utd...we r the only team who won the treble PL champions lg and FA cup.. Player haters u better recognise that yeii yeii :happy:
 
Watanzania amkeni upeo wa kufikiria unakua mdogo.. Ulisema nimeanza kusupport man u wakati wa glazers nikakuambia glazers walikuepo 1999 basi mkafikiri nimeanza kusupport man u 1999 mi nimeanza kusupport man u way before that enzi za kina pallister steve bruce mark hughes bt nyie hamjui hiyo.. Wakati wa cantona jaap stam hughes wanashinda ligi where were chelsea? Sawa mlikua ba zola di matteo and so many good players like hasslebank bt u didnt win a premier lg all that time so pls kaeni kimya... Ur talkin too much

Nakwambia kwa mara ya mwisho. Ninasupport Chelsea tangu nikiwa mtoto wa chini ya miaka 10 (mlaumu baba yangu na mazingira niliyokuwa kwa hilo). Nimekwenda Stamford Bridge kuangalia mechi za daraja la pili, kabla hao kina Zola hawajafika England kucheza mpira. I feel connected to Chelsea kama local club, hata kama tulikuwa hatushindi vikombe. Wewe ndio ulikimbilia Manure kwa sababu walikuwa wanashinda vikombe, nothing more! The only thing you see in Manure is trophy cabinet, typical plastic. Unaweza kuniambia kwanini ulichagua Manchester badala ya Oldham Athletic?
 
Peasant nimekukubali..what is the point anyway! mimi nimeanza kushabikia chelsea nadhani 2000 nikiwa form one koz hapo ndo nilipata exposure ya international football..so what! i loved blue...kipindi hicho i think arsenal (highbury) ndo walikua famous sana but i jus ddint love it..ungeniuliza kwann niliipenda Chelsea then wala sina jibu! I jus love it man..whether mtu umeanzia 80s, 90s or whenever kama unaipenda unaipenda tu.....mengine yote mbwembwe na WIVU!

Pili, Abramovich sio Mungu...ajaribu kuondoka aone..do u know how much he profits from running Chelsea??? go do ur research well kid...
 
Last edited by a moderator:

Well said. Huyu jamaa anaongea pumba tu. Anajifanya yeye sio glory hunter wakati kilichomfanya awe shabiki wa Man U ni vikombe, in fact majority ya washabiki walio nje ya England walifuata timu zenye mafanikio ndio maana utaona Tanzania washabiki wengi ni Man u, Liverpool na Arsenal....ndio maana nakuona mtu kama wewe mshabiki wa kweli kwa kufuata hisia zako na wala sio vikombe kwa wakati huo.

KTBFFH
 
Last edited by a moderator:
Ayaaa nilipitiwa nkasahau kucheki..nashukuru Peasant.
Hapo tunapeta tu...na mwaka huu wasipoangalia tutawatimulia vumbi tu....
 
Last edited by a moderator:
Pheeeewww.
Man U is the most valuable SPORTS TEAM in the world. The club's value is worth $2.24 billion.
Manchester United Again The World's Most Valuable Soccer Team - Forbes

Mind you that, the club's gross debt is decreasing annually - now the debt stands at £423.3m - according to the latest financial reports.
BBC News - Manchester United boosts revenues and cuts its debt
Manchester United's net debt up by £26m as income falls nearly 6% | Football | guardian.co.uk

So think again, if the club couldn't afford to buy Hazard for such a change.

Hatukatai Bana, nyie ndio vibopa, no wonder faida yenu inatumika kulipia payroll ya Tampa Bay!
 
Hawajui hilo hao plastic mancs. Hawajui kwanini pamoja nakuwa na mipesa yote hiyo bado wanashindwa kununua wachezaji waliowataka. We love you, Glazers.
 
Problem yao, hawajui Glazer anatumia pesa ya Manu kulipia payroll ya Tampa Bay Buceneers, na vikolombwezo vingine, anamnyang"anya Petro anampa Pauli!
 
Just wondering if there is a repainting of Chelsea going on! Niko, Drogz, Kalou, Bosi, Bruma, Lukaku, now on pipeline Malu, Essien, Sturridge, Kakuta...... surviving are Mikel, Ramirez, Ash, Betrand and well Moses!
 
Hatukatai Bana, nyie ndio vibopa, no wonder faida yenu inatumika kulipia payroll ya Tampa Bay!

mkuu,

mbona tena tumevamiwa na wambeya kwenye Jamvi letu ama wamekosea njia?

Hawajui hilo hao plastic mancs. Hawajui kwanini pamoja nakuwa na mipesa yote hiyo bado wanashindwa kununua wachezaji waliowataka. We love you, Glazers.

Hahahaha, wambeya kibao!

Pensioners at work....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom