Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,570
ubovu wake ni kuikuta timu ya 9 kuirudisha top 4 na fainali ya uefa?Chelsea tuna kocha mbovo haijawahi kutokea
ubovu wake ni kuikuta timu ya 9 kuirudisha top 4 na fainali ya uefa?Chelsea tuna kocha mbovo haijawahi kutokea
Hivi unajua Lionel Messi alifunga goli 50 Mwaka 2012( kwenye ligi) , Lakini goli la Torres ambaye hakuwa na hata goli 10 kwenye ligi lilitosha kuihakikishia chelsea ushindi.Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Man city hawa hapa
- Ilkay GündoganGündogan 17
- Phil FodenFoden 16
- Raheem SterlingSterling 14
- Riyad MahrezMahrez 14
- Gabriel JesusGabriel Jesus 14
- Ferran TorresTorres 13
- Kevin De BruyneDe Bruyne 10
Sasa kama unaangalia takwimu iweje useme tulibahatisha. Takwimu hizi hapa ile game ya EPL vs CityNa tatizo ndio iko hapo kwenye kutengeneza chances nyingi tena nzuri halafu hatuna wafungaji
Mpira wa kisayansi unaangalia takwimu nje ya hapo ni kubahatisha
Anapaswa aletwe striker wa nguvu ili awa-challenge madogo!Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Watu kama nyinyi ingekuwa ni jeshini unapigwa risasi, mwanajeshi gani unaenda vitani huku unaogopa kufa?Wana BLUES wenzangu tujiandae kisaikolojia kupokea kipigo Jumamosi, sioni uwezo wa washambuliaji wetu kufunga magoli.
Labda tuje na mbinu ya kuipelekea match kwenye mikwaju ya penati, na wapigaji wa penati hatuna, Mendy mbovu kwenye kudaka penati.
Tujiandae kumeza kidonge kichungu
Tuombe Mungu bahati iwe upande wetu.
HahaaaWana BLUES wenzangu tujiandae kisaikolojia kupokea kipigo Jumamosi, sioni uwezo wa washambuliaji wetu kufunga magoli.
Labda tuje na mbinu ya kuipelekea match kwenye mikwaju ya penati, na wapigaji wa penati hatuna, Mendy mbovu kwenye kudaka penati.
Tujiandae kumeza kidonge kichungu
Tuombe Mungu bahati iwe upande wetu.

Ni kweli but elewa pia bahati ilikuwa upande wetu! Imagine mechi mbili in a row, semi and final stages wapinzani wa Chelsea walikosa penati 4. Si jambo la kawaida. Halafu penati 2 kati ya hizo zilisababishwa na mtu mmoja ambaye pia ndiye magoli yake yalisababisha ubingwa kwa Chelsea, Didier Drogba (The beast!)Hivi unajua Lionel Messi alifunga goli 50 Mwaka 2012( kwenye ligi) , Lakini goli la Torres ambaye hakuwa na hata goli 10 kwenye ligi lilitosha kuihakikishia chelsea ushindi.
Hizi takwimu zisikutishe, mpira unadunda
Ingekuwa defense na kipa wetu ni tia maji ningekubaliana na hiki ulichoandika hapa.Mbele hakuna mtu wa kumtegemea kufunga,
Kama hujasahau tuna
Katika hao nane unadhani ni nani hao watakaotupa magoli ya kubeba kombe?
- Werner - Papara nyingi golini - mechi 35 za ligi goli 6
- Mount - Ni kiungo zaidi ya mfungaji - mechi 36 za ligi goli 6
- Havertz - Form yake Up and downs- mechi 27 za ligi goli 4
- Pulisic - Form yake bado- mechi 27 za ligi goli 4
- Odoi - Bado hayuko clinical- mechi 23 za ligi goli 2
- Ziyech - form yake bado hairidhishi- mechi 23 za ligi goli 2
- Giroud - akiamka vizuri anafunga ila siku akiamua kup[otea uwanjani hata hutamuona- mechi 17 za ligi goli 4
- Tammy Abraham - mfungaji wa timu ndogo- mechi 22 za ligi goli 6
Man city hawa hapa
- Ilkay GündoganGündogan 17
- Phil FodenFoden 16
- Raheem SterlingSterling 14
- Riyad MahrezMahrez 14
- Gabriel JesusGabriel Jesus 14
- Ferran TorresTorres 13
- Kevin De BruyneDe Bruyne 10
Match ya kwanza ambayo hata kina Debruyne walicheza wala hata hatukubahatisha. Match ya pili labda ndio walitukosakosa.Kushinda tunaweza shinda ila kubahatisha, hata zile mechi mbili wewe unajua moyoni mwako kuwa tulibahatisha na tatizo letu kubwa ni kule mbele tu, tukimpata kane au level ya Kane Chelsea ni bonge la timu
Andaa machozi kama ndugu zako man uKesho tuwapige goli ngapi hahaaa
Man city 3- 1 Chelsea
Wenzio nyumbu hawajaamini mbele ya viralleal we nenda na matokeo yako TuHahaaa
Mpaka hapa
Man city 1-0 Chelsea
Tushawafunga hata uwanjan hatujaingia

Kudadeki kesho tunapress mpaka mtajuta kuingia uwanjan ...Wenzio nyumbu hawajaamini mbele ya viralleal we nenda na matokeo yako Tu![]()
Chelsea hakuna timu pale ...Andaa machozi kama ndugu zako man u

Kwanza mie huwa simuelewi huyu jamaaa ni shabiki wa Chelsea? Au mamruki anaongea sana kma haji manara then mpira hajui anachojua kutoa takwimu za uongoWe jamaa kuanzia leo nimekushusha vyeo.
Tumestruggle Kwa timu za kupaki basi maana kule mbele kufunga Kwa forward zetu ni kipengele....Ila Nyie mnafunguka na kupossess mpira ...mara cjui mna high press mtalia yaan mkifanya hvyo nakuambia mtalia mapemaChelsea hakuna timu pale ...
Villa kajipigia ,..
Kesho tunawasokomeza goli 6,mtajuta kuingia uwanjan
![]()
unless mpaki basi kama kina Aston villa...maana ni mipira ya mbele Kwa timoUtapigwa weweKesho tunapigwa goli swaafi kabisa, hatuna uwezo wa kumpiga city(labda bahati iwe upande wetu)