Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,988
- 9,213
Pullisic anahitaji viboko ili achangamke
Acha uongoMojaaaaa
Alieanzisha hii kitu mpuuzi sanaVar haijawahi kutupenda
Leicester tumeridhika na kombe. Hii ya leo ni majaaliwa litakalotokea litokee
Kao hata sub du shida nni wanao jua????
Sorry I mean kai harvet
Kwasababu james ni mwepesi na ana kasi kukabiliana na VardySijui kwanini Tuchel anamchezesha James back 3 halafu Azplicueta wingback
Hata sijui ngojea wajuzi watujuzeKwa mnao angalia mpira Kante kapatwa na nini?
Nimeona play score katolewa dakika 35![]()
Moja bila. Rudiger ametutanguliza.Updates plz
2 nowMoja bila. Rudiger ametutanguliza.