Rudiger adai ushindi wa jana ni wa kulipiza kisasi kwa ushabiki wa kijinga Daniel Amartey alioufanya kwenye kushangilia ushindi wa FA final, Amartey alirusha chini kibendera cha Chelsea kile makapteni wanabadilishana kabla mechi haijaanza. Rudiger na wenzake almost timu nzima ya Chelsea walikasirika sana wakaapa kulipiza kisasi hiyo jana. ndio maana hata baada ya kuwa wanaongoza Rudiger kidogo amkung'ute Ricardo kwa kumchezea rafu nadhani Mount. Amartey hakuwa uwanjani jmosi na jana lakini sio mstaharabu kabisa hadi refa Dean akamlima kadi ya njani kwa kuingia uwanjani kuchochea ugomvi
Rudiger ana team sprite kwa Chelsea akiendelea kujituma hivo atakua legand wa chelseaRudiger adai ushindi wa jana ni wa kulipiza kisasi kwa ushabiki wa kijinga Daniel Amartey alioufanya kwenye kushangilia ushindi wa FA final, Amartey alirusha chini kibendera cha Chelsea kile makapteni wanabadilishana kabla mechi haijaanza. Rudiger na wenzake almost timu nzima ya Chelsea walikasirika sana wakaapa kulipiza kisasi hiyo jana. ndio maana hata baada ya kuwa wanaongoza Rudiger kidogo amkung'ute Ricardo kwa kumchezea rafu nadhani Mount. Amartey hakuwa uwanjani jmosi na jana lakini sio mstaharabu kabisa hadi refa Dean akamlima kadi ya njani kwa kuingia uwanjani kuchochea ugomvi
Mambo yalikuwa hivi... Die hard Chelsea fan player View attachment 1790916
Liverpool akifungwa leo, Chelsea kaingia top 4 moja kwa moja
Watu weusi wanapenda fujo jamaniMambo yalikuwa hivi... Die hard Chelsea fan player View attachment 1790916
Haya ni mawazo tu ,hayana ukweli wowote ,muda ufikee ..!Leicester City naiona hiyo inakosa UEFA kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya kukaa top 4 kwa muda mrefu nadhani hata kuliko mwaka jana
Kumbe walikuwa wakiwatunzia wenye mali tu
Msimamo wa nafasi ya kwanza hadi 7 itakuwa hivi
- Man United atafungwa na Wolves na kubakia na points 71
- Chelsea atamfunga Aston Villa na kufikisha points 70
- Liverpool atamfunga Crystal Palace na kufikisha points 69
- Leicester City atadroo na Spurs na kufukisha points 67
- Westham atadroo na Southampton na kufikisha point 63
- Everton atamfunga Man City na kufikisha points 62
Mshindi wa kwanza hadi nne watashiriki mashindano ya UEFA na
- Mancity 83pts - Bingwa
- Man United 71pts mshindi wa pili
- Chelsea 70pts mshindi wa tatu
- Liverpool 69pts mshindi wa nne
- Leicester City 67pts mshindi wa tano
- Westham 63pts mshindi wa sita
- Everton 62pts mshindi wa saba
Mshindi wa 5 na 6 watashiriki mashindano ya Europa ngazi ya makundi
Mshindi wa 7 atashiriki Europa ngazi ya mchujo (qualifying stage)
Arsenal na Spurts hawatashiriki mashindano yeyote ya mbuzi mwaka huu labda wajaribu tena mwakani
Mshindi wa 7 atashiriki michuano mipya ya uefa europa conferenceLeicester City naiona hiyo inakosa UEFA kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya kukaa top 4 kwa muda mrefu nadhani hata kuliko mwaka jana
Kumbe walikuwa wakiwatunzia wenye mali tu
Msimamo wa nafasi ya kwanza hadi 7 itakuwa hivi
- Man United atafungwa na Wolves na kubakia na points 71
- Chelsea atamfunga Aston Villa na kufikisha points 70
- Liverpool atamfunga Crystal Palace na kufikisha points 69
- Leicester City atadroo na Spurs na kufukisha points 67
- Westham atadroo na Southampton na kufikisha point 63
- Everton atamfunga Man City na kufikisha points 62
Mshindi wa kwanza hadi nne watashiriki mashindano ya UEFA na
- Mancity 83pts - Bingwa
- Man United 71pts mshindi wa pili
- Chelsea 70pts mshindi wa tatu
- Liverpool 69pts mshindi wa nne
- Leicester City 67pts mshindi wa tano
- Westham 63pts mshindi wa sita
- Everton 62pts mshindi wa saba
Mshindi wa 5 na 6 watashiriki mashindano ya Europa ngazi ya makundi
Mshindi wa 7 atashiriki Europa ngazi ya mchujo (qualifying stage)
Arsenal na Spurs hawatashiriki mashindano yeyote ya mbuzi mwaka huu labda wajaribu tena mwakani
Spars watapambana ili washinde, huku wakisubir westham wapigwe ili wapate nafasi ya 6 washiriki Europa mwakani.Leicester City naiona hiyo inakosa UEFA kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya kukaa top 4 kwa muda mrefu nadhani hata kuliko mwaka jana
Kumbe walikuwa wakiwatunzia wenye mali tu
Msimamo wa nafasi ya kwanza hadi 7 itakuwa hivi
- Man United atafungwa na Wolves na kubakia na points 71
- Chelsea atamfunga Aston Villa na kufikisha points 70
- Liverpool atamfunga Crystal Palace na kufikisha points 69
- Leicester City atadroo na Spurs na kufukisha points 67
- Westham atadroo na Southampton na kufikisha point 63
- Everton atamfunga Man City na kufikisha points 62
Mshindi wa kwanza hadi nne watashiriki mashindano ya UEFA na
- Mancity 83pts - Bingwa
- Man United 71pts mshindi wa pili
- Chelsea 70pts mshindi wa tatu
- Liverpool 69pts mshindi wa nne
- Leicester City 67pts mshindi wa tano
- Westham 63pts mshindi wa sita
- Everton 62pts mshindi wa saba
Mshindi wa 5 na 6 watashiriki mashindano ya Europa ngazi ya makundi
Mshindi wa 7 atashiriki Europa ngazi ya mchujo (qualifying stage)
Arsenal na Spurs hawatashiriki mashindano yeyote ya mbuzi mwaka huu labda wajaribu tena mwakani
Sawa kabisa, wamebadili jina kutoka qualifying kwenda conferenceMshindi wa 7 atashiriki michuano mipya ya uefa europa conference
Mshindi wa 7 atashiriki michuano mipya ya uefa europa conference