Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nawapa taarifa tu kuwa leo mkidraw ,then lecister akashinda na spurs basi top four mtakuwa mmeaga mapema ..

Note ,Liverpool awe ameshinda match zakee zote
 
Nawapa taarifa tu kuwa leo mkidraw ,then lecister akashinda na spurs basi top four mtakuwa mmeaga mapema ..

Note ,Liverpool awe ameshinda match zakee zote
We ni maandazi hujui kitu, sasa chelsea adraw halafu Lecster ashindeje?
 
Spurs, Westham na Liverpool wakishinda mechi zao zote na Chelsea ikafungwa mechi zake zote hata Europa inakosa
God forbid
Kubaki top 4 sisi hiyo ni must. Huyo Lecster hawezi kutoboa kwetu na kwa Tot. Akinusurika kwa mmoja lazima kw mwingine atapgwa.
 
Nawapa taarifa tu kuwa leo mkidraw ,then lecister akashinda na spurs basi top four mtakuwa mmeaga mapema ..

Note ,Liverpool awe ameshinda match zakee zote
Tumekusikia shabiki wa Arsenal,lakini kamwe hatuwezi kuja uko uliko bahati mbaya sana hata futuhi hutashiriki msimu ujao, London ni blue tupu.
 
Mechi sas na washabiki kwa mara ya kwanza
SIS Chelsea tunasema hadharani kwamba tunashinda mechi zote zilizobaki
Asiyependa akameze wembe au akale pilipili kichaa atule mawenge
Leicester city tunampiga na Aston Villa tutampiga hiyo tarehe 23
 
Tumekusikia shabiki wa Arsenal,lakini kamwe hatuwezi kuja uko uliko bahati mbaya sana hata futuhi hutashiriki msimu ujao, London ni blue tupu.
Wewe ni takataka tu nan shabiki wa arsenal ...

Cityzen chairman
 
We unaejua ndio mana nimekuuliza swali kinyeo wewe.
Wewe kenge nimesema lecister game zake mbili ni

Vs Chelsea

Vs spurs

Akitoka draw na Chelsea then akamfunga spurs Tayar uhakika wa top 4 ..

Mbona unakuwa kilaza
 
Wewe kenge nimesema lecister game zake mbili ni

Vs Chelsea

Vs spurs

Akitoka draw na Chelsea then akamfunga spurs Tayar uhakika wa top 4 ..

Mbona unakuwa kilaza
Kilaza mama yako kum. a ww.
 
Hicho kikosi cha leo ndio cha ushindi sasa, leo tunampelekea moto Leicester mpaka atajuta mbwa yule
 
1621364035338.png
 
Sijui kwanini Tuchel anamchezesha James back 3 halafu Azplicueta wingback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom