Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

TT kuhusu Mendy

"Yes, I think we cannot praise him enough because he is doing fantastically because he comes not only from Ligue 1 to the Premier League but from a club that is not used to playing every three days," Tuchel said at his press conference ahead of Arsenal.

"Now he is at a club where there's a match every three or four days. His concentration has remained incredibly high and that's what you have to deliver as a goalkeeper. With the three goalkeepers, in general, there is a fantastic atmosphere.
Nilichopenda Leo ktk hii press conference ya TT ni taarifa ya majeruhi maana kwa kipindi hichi tunawahitaji wachezaji wote wakiwa fiti.

Kesho Kovacic hatocheza ila jumamosi atakuwepo uwanjani Wembley...

Andreas Christiansen kesho hatocheza na Wembley hatocheza. Lkn ktk game ya pili ya Leicester City ya EPL atakuwepo ingawa ktk mchezo wa tarehe 23 na Aston Villa hip ndio itakua uhakika kabisa wa uwepo wa Christiansen.

Naomba kesho tu kusitokee majeruhi tena maana huu ni wakati ambao tunawahitaji wachezaji wooote ili kuwepo na options mbali mbali kwa ajili ya kufanikisha malengo yetu ya kubeba ndoo hizi mbili ya FA na UEFA
 
Kova na Christiansen hakuconfirm straight forward kuwa atakuwepo Wembley ila alisema atakuwepo kati ya Wembley na mchezo unaofuata Stamford Bridge na Leicester City. Yaani kati ya tarehe 15 au 18 May. Kwa hiyo Wembeley bado ni 50/50, uhakika ni 18 May.

"Kova isn't ready for tomorrow. The personal race is on to try to make it to Wembley. Andreas' was better than we feared. We hope he'll be back for one of the two Leicester games. It will be a tough one but the game isn't finished for him hopefully"
 
OK vema kabisa. Ila naomba mpk tarehe 23 kusiwepo kabisa na majeruhi ili tujiandae vzr kuwafunga hawa City kwa Mara tatu
 
Thomas Tuchel ampongeza Franky Lampard kwa kz nzuri aloyokuwa amekwisha kuianza na kuivusha timu ya Chelsea ktk hatua za makundi ya UEFA na Kushinda mechi zote za FA. Imekua rahisi kwake kuendeleza kz aliyo aianzisha Lampard
 
Sisi Leo tunachukua epl tukiwa bar tunakunywa bia na nyama choma ,nyie endeleen kupambania top four na lecister city ...

Mpaka 29 may mtajua nin maana ya ze cityzen kudadeeeeeki
 
Sisi Leo tunachukua epl tukiwa bar tunakunywa bia na nyama choma ,nyie endeleen kupambania top four na lecister city ...

Mpaka 29 may mtajua nin maana ya ze cityzen kudadeeeeeki
Tumeshajihakikishia top four hatupambani na timu yoyote. Kesho tunamaliza biashara na Arsenal tukimfunga tu basi nguvu zitaelekezwa kwa FA final na UEFA
 
"Keep your feet on the ground because if you arrive in a final it means you have won nothing yet. We don't want to be participants in a final, we want to win it. This club isn't about achieving finals, it's about winning finals and football games. This is the target."

Thomas Tuchel
 
Nimecheka sana aisee

Zouma was interviewed by a journalist why Hazard laughed that much after the win for chelsea.

JOURNALIST: "Why did Eden Hazard laughed that much after your win against him in the Champions league 2nd leg?

ZOUMA🗣️: "He asked me where was Willian so I told him that he went to Arsenal to win Champions league with Arteta"
 
Nimecheka sana aisee

Zouma was interviewed by a journalist why Hazard laughed that much after the win for chelsea.

JOURNALIST: "Why did Eden Hazard laughed that much after your win against him in the Champions league 2nd leg?

ZOUMA: "He asked me where was Willian so I told him that he went to Arsenal to win Champions league with Arteta"
Very funny en interesting answer
 
NEXT SEASON LINE UP

-------------------------------------Kane/Havertz-------------------------------------

Werner/Pulisic------------------------------------------------------------ Mount/Ziyech

Chilwell/Alonso------------- Kovacic/Billy----------------- Kante/Jorginho ----------------- James/Odoi

Rudiger/Zouma -------------------- Silva ------------------------Christensen/Azpilicueta

Mendy/Kepa
 
Babu Azpilicueta Jana alichoka sn.

Unajua yeye ndio alikuwa anapanda mbele sn kusaidia mashambulizi kwsbbu upande wake ule wa Hazard haukuwa na madhara sn na Hazard hana kasi km dogo Vini Jr. Kwahiyo alichoka sn kupanda na kushuka. Ben Chilwell alikuwa anapanda mara moja moja sn. Na ndio sbbu Madrid walikuwa walipiga mipira mirefu kwa Vini Jr Ben alikuwa na yeye yupo kuzuia hatari.
Daah azpi anaitwa baby miaka 31 Babu kwenye soka ,

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom