Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel anajua kuwapamba mashabiki wa Chelsea utasikia "Naunda timu itakayoogopwa na wote" kesho yake anapigwa 5 na Westbromwich.

Mara anasema "Hii timu ni ya kuchukua mataji" anaenda kupigwa na Arsenal isiyo stable.

Hziyech22 nilikuambia Liva ilivyokua stable ilichukua ucl, msimu uliofuata ikachukua ligi halafu msimu uliofuata ndiyo ikapigwa 7 na Villa. Thom anasema timu ipo stable ndani ya hiyo wiki anapigwa 5 na Westbromwich.

Pochettino kazi inaelekea kumshinda kule PSG mchukueni huyo.
 
Bahati leo ilikuwa iko upande wenu, tofauti na kupark bus hakun chochote mlichokifanya,

Maana hata goli sio kama mmetengeneza ni error ya jorginho kurudisha kwa kipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom