Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo WestBrom wakifungwa na Arsenal watakuwa wameshuka daraja rasmi, na inavyoonekana wameridhika na hali hiyo
Hivi hawa walitufungaje hayo mabao 5?
 
1620586293921.png
 
West Ham Utd amepigwa na Everton sasa rasmi mbio zake za kutusumbua zimeanza kupungua. Presha imeahamia kwa Leicester City hasa kutokana na Leicester city kuwa na game ngumu zilizobaki. Km Leicester city atafungwa game mbili ktk tatu zilizobaki basi atakuwa katoka ktk top four
 
Thomas Tuchel amebadilisha milio na kauli zake hasa baada ya kufika fainali zote mbili. Awali alikuwa anasema kuhusu kujenga team na kujaribu kushinda kila mechi. Lkn kadri Siku zinavyozidi kwenda anabadilisha kauli na misimamo. Na sasa anasema wazi kabisa kuwa wanahitaji kushinda makombe na si kushiriki fainali tu.

Ma pundits wengi wa soka wameanza kuiona Chelsea kuwa msimu ujao ndio timu pekee itakayoweza kuchukua EPL ikifatiwa na Man City.

Liverpool, Man Utd, Arsenal na Spurs ni timu ambazo hazipewi nafasi kabisa.

Pundits wanasema km Chelsea itaongeza mshambuliaji km Halaand basi ubingwa kwa Chelsea itakuwa ni lazima.
 
Niliwahi kusema huko nyuma kuwa kombe la UEFA na FA yanazagaa zagaa tu yaani hayana mwenyewe msimu huu. Na ni kz kwetu kuyakusanya. Haya sasa tuko fainali ktk makombe yote hayo. Kz kwetu sasa kuyaweka ndani
 
Hii kitu ina weza kujirudia eti

In 2012, Chelsea had a 29 year old Petr Cech, signed from Rennes.
In 2021, Chelsea have 29 year old Mendy, signed from Rennes.

The Spanish Cup final in 2012 was between Barcelona & Bilbao
It was between Barcelona and Bilbao this season.

Thomas Tuchel’s birthday is on the 29th of a month.
Chelsea’s UCL winning manager Roberto Di Matteo’s birthday is on the 29th of a month.

Di Matteo’s birthday is 29th May.
UCL final 2021 is on...29th May.

Lionel Messi missed a penalty in the UCL knockouts in 2012.
Lionel Messi missed a penalty in the UCL knockouts in 2021.

In the October 2011/12 season, Manchester United lost a PL game 6-1 & had a man sent off.
This season, in October, Manchester United lost 6-1 and had a man sent off.

Last time Chelsea played Guardiola in a semi final, Chelsea won the double. The double was the Champions League and the FA Cup in 2012.
Chelsea faced Man City in the FA Cup semi-final this season.

Chelsea captain John Terry was 31 in 2012.
Chelsea captain Azpilicueta is 31 this year.

Terry, Chelsea’s most senior & important CB was injured in the RO16 in 2011/12.
Thiago Silva, Chelsea’s most senior and important CB was injured in the RO16.

In the UCL 2011/12, Drogba scored 6 goals. 2 headers, 3 with his left, 1 with his right.
In UCL 20/21 Giroud has scored 6 goals. 2 headers, 3 with his left, 1 with his right.

The last time Chelsea conceded five at Stamford Bridge? 2011/12 against West Brom.
Chelsea also lost to West Brom with 5 goals this season.

After 14 games Di Matteo, Chelsea’s UCL winning manager had a 71.4% win rate.
Tuchel after 14 games had a 71.4% win rate.
Both were employed mid season.

Chelsea faced a Spanish team, Barcelona in the semi-finals after beating a Portuguese team in the quarter-finals in 2011/12.
Chelsea faced a Spanish team, Real Madrid in the semi-finals after beating a Portuguese team in the quarter-finals.

Chelsea won the UCL in 2012.

Can history repeat itself? [emoji102]
 
Kwa namna Chelsea ilivyo sasaivi. Ili uweze kuifunga ni either uwafunge kwa kupata penati... Au Chelsea wawe pungufu kwa mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.

Lkn Chelsea tayari wameshakuwa makini kwa kutokufanya makosa ya kijinga yatakayopelekea kusababisha penati au mtu kutolewa kwa kadi nyekundu. Tangu game ya Chelsea na WBA iliyopelekea Thiago Silva kutolewa kwa kadi nyekundu na Chelsea kufungwa goli 5. TT amekuwa mkali sn kwa kuwaelekeza wachezaji wake wasifanye makosa na fauls za kijinga yatakayo pelekea matatizo au madhara makubwa ktk timu.

Sasa ili Chelsea uweze kuifunga kwa sasaivi labda zifanyike hujuma tu za waamuzi maana waamuzi na wao wakati mwingine wanaingia uwanjani wakiwa na mipango yao kuwaharibia timu Fulani au kocha Fulani sifa yake.

Kwa Hali km hii kwanini jamani haya makombe yanayo zagaa hovyo tusiyachukue tu km mpk tufungwe hadi iwe kwa hujuma?
 
Hata kma mpo fainal hii team Ni ndogo bado still a Small club
 
Sawa mkuuu hii Chelsea haifungwi ,hakuna mwenye uwezo wa kuifunga Chelsea dunian kote ....

Hata CL na FA mnaenda kuchukua vyote kwa pamoja,hakuna wa kuwagusa ..!
 
Mzee wa kupaniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tukichezaga na Arsenala figisu figusu huwa utokea[emoji23] ngoja tuone siku ya juma tano itakuaje?
 
Sawa mkuuu hii Chelsea haifungwi ,hakuna mwenye uwezo wa kuifunga Chelsea dunian kote ....

Hata CL na FA mnaenda kuchukua vyote kwa pamoja,hakuna wa kuwagusa ..!
Naona sasaivi umeanza kua unaongea kisoka kidogo kuliko pale awali. Ila bado una kitu kimoja ambacho kinakusumbua. Wewe unaona kikosi cha City kilichopangwa na PSG ndio kikosi imara kabisa cha ushindi kwa City. Nataka nikwambie kitu kimoja.

Kila kikosi hakina jipya lolote au ukali wowote. Maana kule mbele unae Mahrezi na Foden na KDB. Hapo kati unae Benado Silva na Gudogani na Fenandinho.

Ktk beki line yako ya watu wanne una Stone, Diaz, Zichenko na Walker. Hichi ni kikosi ambacho unakitegemea kabisa na unaona kabisa kina nguvu ya kuisasambua Chelsea vibaya.

Mimi nataka kukuambia. Nitaomba kila siku tuwe tunawachambua wachezaji wawili wa kila timu tuangalie Positive side zao na negativity zao.

Tukifanya hivyo tutakuja kuona hali halisi ya hicho kikosi chako na ubora wake na udhaifu wake.

Lkn Mimi nakutangulizia hints kidogo. Siku ya fainali Thomas Tuchel ktk timu yake ya Chelsea wachezaji wake ktk upande wa Strikers wawili atawapanga Timo Werner na Kai Haverts... Yaani hawa km hawatopata majeruhi nakwambia Leo hii na hii post uinote kabisa kuwa Chelsea itawapanga hawa wachezaji.

Na moja ya sbbu kwamba kwanini atawapanga hao wachezaji? Kwsbbu atahitaji Heights huko mbele na physical mentality kwa ajili ya kuwasumbua kina Stone na Diaz. Na hii itaondoa utulivu kabisa mpk ktk dimba la kati kwa viungo wa City.

Atapanga hivi na baadae atafanya sub ya kumtupia Pulisic ili sasa ndio awakimbize zaidi...

Ktk dimba la Kati la Chelsea viungo wetu watatu siku hiyo watapokezana kucheza. Kante Jorginho na Kovacic hawa mmoja wao ataanzia benchi...

Badae tuje tuwajadili Mahrez na Foden na KDB alafu tuone watakuwa wanakabwa na kina nani ktk safu ya ulinzi wa Chelsea?

Kumbuka Guadiola anacheza bila striker no 9 hapo kati na hii itawafanya kina Silva, Rudiger na Andy kuwa free na Ku monitor movement zote zinazotokea pembeni kwa kina Foden au Mahrez huku wakiangalia kina Benado Silva, Gudogani wanavyopanda kuja kusaidia mashambulizi. Kumbuka hawa kina Gudogon wakipanda, mid za Chelsea nazo zinashuka kuja kusaidia kukaba sasa sijui mtapita wapi?

Beki zenu za pembeni zikipanda wingback za Chelsea zinatanuka kuzuia movement. Na kina Mahrez, Foden na KDB wanabaki kikabwa man to man na centre three back wa Chelsea..... Yaani nakwambia rafiki yng lazima mkufe tu. Lile sasambu mlio mpelekea PSG kwa kikosi hichi basi nakwambia siku hiyo kocha wako akipanga tu hivi basi mtaoga goli zaidi ya 3 nakwambia.
 
Mzee wa kupaniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawa mpole baada ya kichapo.

Kabaki saizi na hoja moja dhaifu sn.

Yeye kikosi chake imara ni hiki.

Edison

Walker, Stone, Diaz na Zichenko.

Gudogan, Fenandinho, Benado Silva.

Mahrez, KDB na Foden.

Sasa swali la kumuuliza. Hawa washambuliaji wake watatu wana ubora kuwazidi kina Benzima, Vini Jr, Asensio, Hazard?

Swali jingine.

Hao Mid wake watatu ni wazuri sn kuzidi Mid za Madrid kina Casemiro, Modric na Kroos?

Hawa wachezaji wa Madrid walipotezwa kabisa game zote mbili walizocheza na Chelsea tena hawa wachezaji wa madrid wana uzoefu mkubwa sn lkn walipotezwa sn seuzi hawa kina Mahrez wasiokuwa na uzoefu wowote?
 
Mimi sikatai chelsea inaenda kubeba CL ..
 
Hapana mkuu hao kina modric ,kross,casemiro na hazard wako vizur ndio maana Madrid iliweza kumfuna man city nje ndan mwaka Jana mpaka man city ikatolewa ....

Hii Chelsea ni ya moto Sana' ndio maana imeweza kumtoa madrid ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom