Yes, depends with resources and techniques you have at the D-Day !!We may take both ladies View attachment 1775293
umeongea vema sana mkuu sisi mashabiki tuna tabia ya kutokubali unachokiona bali unakubali unachokiwaza,mimi ni shabiki wa United lakini naona Chelsea imebadilika sana hasa kwenye ukabaji ni wazi kwamba kiufundi Thomas kamuacha mbali sana Lampard.nikivyoona tu ratiba ya mechi za nusu fainali ulaya nakumbuka nilimwambia shabiki wa Chelsea kwamba naziona fainali zote mbili za UEFA na EUROPA zikikutanisha timu za England tupu.Naona unaongea kishabiki zaidi kuliko kimpira
Wakati wa lamps chelsea ilikuwa inaruhus magoal kiasi gani,
Kufungwa 5 sio sababu useme kocha hana mbinu,
Sir Alex Ferguson alifungwa 6, guardiola alifungwa 5 msimu huu utasema alikuwa hana mbinu, kufungwa katika mpira huwa kupo tu hata uwe na mbinu kiasi gani kuna mechi utafungwa tu, na mtu akifungwa sio hana mbinu kuna siku unakuta kila unachokifanya kinaenda ndivyo sivyo ila isiwe sababu ya kusema huyu kocha hafai,
Kiroho safi nimekusamehe Chifu.Sawa mkuuu nimekutaka radhi mkulungwa
Klop alikuwa na historia ipi hasa kabla hajaichukua Liverpool?Unanilisha maneno.
Sijasema hafai.
Ila nasema mnamuwazia makubwa bila kujali historia yake alipotokea
SawaTuachie uzi wetu, pilipili usioila yakuwashia nini? Arteta si yupo basi nendeni kwenye uzi wenu mkamjadili, hapa unatuletea inzi mzee.
Umewahi kuisikia ligi inaitwa Bundes liga? Borrusia? Umewahi kujua kama Klopp kafundisha Borrusia kabla ya Liva?Klop alikuwa na historia ipi hasa kabla hajaichukua Liverpool?
Usiwe na ubishi usio na maana, ni heri kujifunza kuliko kujua kila kitu.
Hatimaye umekuwa na hekima na kuweka mahaba pembeni baada ya kushindwa kwa hoja[emoji28]So you are saying anything is possible?
Foden atakutana na hao Wingbacks tu wanamtosha.phoden unampa nani?
Ulikanusha hiyo hbr nilipoiletaChelsea manager Thomas Tuchel is reportedly keen on a potential transfer deal for Paris Saint-Germain star Marquinhos this summer.
Huyo nani Kalala hapo chiniWerner anawaogopa makipa sio goli tupu
View attachment 1775188
?? Hoja gani? Basically naona ni kukubaliana na nilichokua nasemaHatimaye umekuwa na hekima na kuweka mahaba pembeni baada ya kushindwa kwa hoja[emoji28]
Walibahatisha na anayenahatisha huwa habahatishi siku zote, kama huamini nenda kabet hukoHawa watu walifika fainali ucl huku Mbape na Neymar majeruhi.
Wanaojutia ni akina Auba, Willian na LuizAtajutia tu subiri uone
Mkuu mbona hukunijibu kuhusu kunielekeza hivi vi clip unavipataje?
Walifika huku kocha Thom. Pochettino kaenda kuiharibu kabisa psgWalibahatisha na anayenahatisha huwa habahatishi siku zote, kama huamini nenda kabet huko
Mkuu habari yako?UCL final mancity vs real madrid.
Na madrid ndio anabeba ndoo.
MÊmENtO HoMO