Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je huko alipotoka historia yake ikoje? tuanzie hapo
Kama issue ni kushindwa kuchukua ucl wakat yuko psg

Mourinho alitoka inter milan kwenda madrid huku akiwa ametoka kuchukua ucl ila wakati yuko madrid hakuwahi kuchukua ucl

Pep alitoka barcelona kwenda bayern munich lakin wakat akiwa yuko munich hakuwahi kufika hata fainal ya uefa ila baada ya kuondoka bayern wakachukua ucl
So you are saying anything is possible?
 
Daah...! Mkulungwa mi ni mshabiki halisi kabisa wa timu ya Chelsea.

Nilimnukuu huyo Jamaa jana nikitaka ajione alivyoaibika baada ya ushindi wa mechi ya jana dhidi ya Real Madrid.

Umenikosea heshima uliponitukana mimi.
Hata kama usingekuwa Chelsea, matusi huwa sio sehemu ya michezo. Mi huaa hata siwajibu, namwongeza tu kwenye ignore list so sioni posts zake. Problem solved
 
Chelsea imewahi kubeba kombe la UEFA man shit bado. Man shit anaingia km underground au armature... Kwahiyo usijidanganye kuongoza ligi ukajiona ktk UEFA wewe ni mbabe. Yaani wewe ni kibonde tu ktk UEFA na ndio sbbu baada ya kitinga fainali timu lako limeweka pati ya kufa mtu wakishangilia kuingia fainali km wamebeba ndoo. Maana kwao ni vitu vigeni na ndio mara ya kwanza.


Chelsea tumeingia fainali mara tatu. Mara moja tulipoteza mara ya pili tulibeba ndoo.


Nusu fainali tumeingia sn tu yaani Mara nyingi sn. Sasa kazi kwako kujishebedua.


Jmosi nakuja Etihad ndio biashara iliyopo mbele yangu ukijitahidi sn utapata sare.. Hao kina Stone na Diaz nawakabizi Kai ma Werner na Pulisic lazima wakalale na viatu.
phoden unampa nani?
 
TT na Silva watinga UCL final mara mbili consecutively na timu mbili tofauti
Silva hatajutia kusaini Chelsea
 
1620294290436.png
 
Sikia mke wa Thiago Silva anavyoongea kwa hisia juu ya Werner kukosa goli dhidi ya Real Madrid first leg
 
2008 Chelsea iliingia fainali za UEFA kule Moscow na Mancester United wakafungwa na Man U wakabeba ndoo
Safari hii kule Instabul ni kulipiza kisasi kwa hao majirani zao
  1. Sababu ya kuapiga tunayo
  2. Uwezo wa kuwapiga tunao
  3. Nia ya kuwapiga tunayo
Kwa maana hakuna njia nyingine ni kuwapiga tu
 
Chelsea manager Thomas Tuchel is reportedly keen on a potential transfer deal for Paris Saint-Germain star Marquinhos this summer.
 
TT aeleza kwa nini amemuanzisha Havertz dhidi ya Pulisic

“Christian got a bad message for him today unfortunately, but I’m pretty sure we need more than 11 players to sneak through today.”

“It’s good to have Christian from the bench. Kai gives us a little bit of height also against the set-pieces and maybe in fast attacks can keep the ball.”

-Thomas Tuchel;
 
Match ya Chelsea Jana ni watu wanne walioipa ushindi
Silva, Rudiger, Kante na Kai
Kwa sasa chelsea wanakosa Finisher yule Timo ni kiungo zaidi kuliko mshambuliaji Jana angeanza giroud habari ingekuwa nyingine au chelsea wangekuwa na Aguero mechi ingeisha mapema tu
Mendy, je? Zile saves alizofanya zingekuwa magoli ingekuwaje:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom