Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Madrid anashinda zaidi ya goli 2 leo, Chelsea inaudhaifu mkubwa bado mkumbuke hii comment badae.
EPL mechi 15 clean sheet 11, wivu huo
Chelsea inalingana na Man city kwa clean sheets 18 kila moja kwa msimu huu wa 2021
Mendy wa pili kwa cleansheet baada ya Ederson 18 Mendy 16
Clean sheets 17 kwenye mashindano yote
 
Rio Ferdinand says Manchester City ‘would love to sidestep’ Chelsea in Champions League. Rio feels that Man City feel Chelsea are a more dangerous team to Real Madrid.
 
Plastic fans wa Man city wanadai Pep kafanya mabadiliko tisa kutoka kwenye first team kwenye nusu fainali ya FA na Chelsea ndio maana wakafungwa
Naomba watuonyeshe hayo mabadiliko tisa hapa ili tuzungumze lugha moja tafadhali
1620226534320.png
 
UCL final mancity vs real madrid.
Na madrid ndio anabeba ndoo.

MÊmENtO HoMO
 
Plastic fans wa Man city wanadai Pep kafanya mabadiliko tisa kutoka kwenye first team kwenye nusu fainali ya FA na Chelsea ndio maana wakafungwa
Naomba watuonyeshe hayo mabadiliko tisa hapa ili tuzungumze lugha moja tafadhali
View attachment 1774426
Mkuu hiki kikosi alichowawekea pep ni dhaifu kubali ...

Mendy

Sterling

Jesusu

Laporte

Cancelo

Hao sio watu wa kuamua matokeo city ..

Subili mtaona city yenyewe mkija final kama mtabahatika kufika ,..!

Kikosi cha city ni hiki

Foden

Gundo

Mahrez

Kdb

Walker

Ederson

Bernado Silva

Ridrigo

Stone

Dias

Zincheko

...........tukutane weekend hii ,haijaisha bado ......
 
Lakini mechi ya Madrid tunamuhitaji Harvetz? Kwanini isiwe;-

Pulisic - Werner - Mount/Ziyech

Harvetz atokee benchi.
Namkubali Werner awepo uwanjani, wide position Havertz bado hajatimia sana kwenye mechi kubwa japo Havertz ni bora golini kuliko Werner
 
Plastic fans wa Man city wanadai Pep kafanya mabadiliko tisa kutoka kwenye first team kwenye nusu fainali ya FA na Chelsea ndio maana wakafungwa
Naomba watuonyeshe hayo mabadiliko tisa hapa ili tuzungumze lugha moja tafadhali
View attachment 1774426
Mabadiliko ni haya

--+----Ederson

Walker. --Stone. ---Dias ---zincheko

Rodrigo --Bernardo--- gundogan

Mahrez--- kdb--- foden.

Angalia mabadiliko hayo ,tukisema tucheze bila striker full pressing kwenye game hicho ndio kikosi cha city ....

Sasa kama mnadhan mliifunga city ..

Tukutane final

Narudia tena ,kama mliifinga city njoooni final kudadeeeeeeeeki tuwaoneshe mpira wa kitabuni ambao hadi PSG walijuta kuingia uwanjan ....

Come on city
 
Mkuu hiki kikosi alichowawekea pep ni dhaifu kubali ...

Mendy

Sterling

Jesusu

Laporte

Cancelo

Hao sio watu wa kuamua matokeo city ..

Subili mtaona city yenyewe mkija final kama mtabahatika kufika ,..!

Kikosi cha city ni hiki

Foden

Gundo

Mahrez

Kdb

Walker

Ederson

Bernado Silva

Ridrigo

Stone

Dias

Zincheko

...........tukutane weekend hii ,haijaisha bado ......
Jibu swali basi na uache ngonjera nyingi
Sisi tulifanya mabadiliko ngapi, tumewawekea Kepa golini akatoka na clean sheet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom