Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea have now reached their third Champions League final and in all three seasons they have done so, they sacked their manager mid-season.

In 2007-08, Jose Mourinho left the club and was replaced by Avram Grant, who helped Chelsea to the European showpiece. The Blues fell in penalties against Manchester United that season.

The Blues also reached the 2011-12 final under a new boss, with Andre Villas-Boas sacked mid-season and replaced by Roberto Di Matteo, who led Chelsea to victory over Bayern Munich in the final.

History has now repeated itself after Tuchel took over for Frank Lampard in January. The German has led Chelsea to the FA Cup and Champions League finals and has the club on course for a top-four finish in the Premier League as well.
 
Tuchel katika maisha yake amesoma zaidi ya nyaraka 1000 zinazohusu hesabu na fizikia zilizoandikwa na watu wafuatao:-

[emoji117] Albert Einstein
[emoji117] Isaac Newton
[emoji117] Pythagoras
[emoji117] Archimedes
[emoji117] Carl Gauss

Tukutane Ataturk Olympics Stadium. Shubaaaaamit zake kipara

View attachment 1776190
Aisee, hao jamaa wote ni pasua kichwa kwenye Theories na formula zao
  1. Sir Isaac Newton - Newton's laws of motion
  2. Pythagoras of Samos - Pythagoras theorem
  3. Archimedes of Syracuse - Archimedes principles
  4. Albert Einstein - Laws of gravity and relativity
 
Siku zote ukiona mbwa anabweka sana ujue hana kitu ..

Silent killer ze cityzen ..

Tutawaonyesha mpira was kitabuni unavochezwa ..
 
Kama ulikuwa hujui nakujuza kwamba wachezaji wa Chelsea kuweka kipindoni Pound 11m zawadi kama watanyakua Makombe yote mawili - UEFA na FA Cup .

Pound 11m ni sawa na Tshs Bil 35.5.

Nini maoni yako mpenzi wa soka la kibongo? Simba nao kama watanyakua makombe yote yaani FA, Ligi na CUF - Je watalamba ngapi?

Yanga nao walimchapa Simba hapo kesho wameahidiwa ngapi ati
 
Hawana uwezo huo ,hizo pesa wataishia kuziona kwenye makaratasi tu ..
 
Line up na Chelsea inaweza ikawa hivi kwenye formation ya 3-4-2-1

Havertz

Pulisic ---------------------------------------------------- Ziyech

Alonso -----------------------Jorginho ----------------------Kante ---------------------James

Rudiger -------------------Silva ----------------------------Christensen

Mendy
 
Hamna uwepo wa kubeba uefa nyie Ni vitobo tu[emoji23][emoji23]
 
Hii team bado inabahatisha bahatisha na kukamia mechi I'll uwezo Ni mdogo mno subini msimu ujao top 4 mtaisikia kma asanane
 
Toka tuchel awe kocha hakuna mechi Cheltako imeshinda goli Zaid ya 2 au walau zifike 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mabeki wa kati watatu wapembeni wawili alafu anakuja kiaz eti tunaukuta bora sasa c mnapaki bus tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Line up na Chelsea inaweza ikawa hivi kwenye formation ya 3-4-2-1

Havertz

Pulisic ---------------------------------------------------- Ziyech

Alonso -----------------------Jorginho ----------------------Kante ---------------------James

Rudiger -------------------Silva ----------------------------Christensen

Mendy
Huna ujualo kaa kimya kiazi ww [emoji23][emoji23]
 
Kama ulikuwa hujui nakujuza kwamba wachezaji wa Chelsea kuweka kipindoni Pound 11m zawadi kama watanyakua Makombe yote mawili - UEFA na FA Cup .

Pound 11m ni sawa na Tshs Bil 35.5.

Nini maoni yako mpenzi wa soka la kibongo? Simba nao kama watanyakua makombe yote yaani FA, Ligi na CUF - Je watalamba ngapi?

Yanga nao walimchapa Simba hapo kesho wameahidiwa ngapi ati
Kaa kimya unaleta pumba zako hapa
 
Msimu uliopita tulikosa makombe mawili FA na Supercup mbele ya looserfool na wale Arse8 ..

Huu ni wakati wa kuyarudisha hayo makombe maana ilikuwa ni Khalali yetu kabisa.

Baada kutangazwa kuwa mabingwa wa UEFA ..tunategemea kubeba na Supercup, baadae Community Shield, Kisha Klabu Bingwa hehehe Mungu atupe nini Tena waungwana..huu ni wakati wetu wa kula maisha ..gooo Tuchel piga mama yeyote inayokatiza mbele yetu..

Tunategemea kubeba makombe sio chini ya matano Kama Tuchel akichanga karata zake vizuri..

Mpaka sasa tuna uhakika na FA na UEFA ..baadae kidogo tuna Supercup, Community Shield na Klabu Bingwa.

Hehehehe

This is Chelsea.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Yeah Kati ya hizo 5 naamini 4 lazima tubebe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuchel katika maisha yake amesoma zaidi ya nyaraka 1000 zinazohusu hesabu na fizikia zilizoandikwa na watu wafuatao:-

[emoji117] Albert Einstein
[emoji117] Isaac Newton
[emoji117] Pythagoras
[emoji117] Archimedes
[emoji117] Carl Gauss

Tukutane Ataturk Olympics Stadium. Shubaaaaamit zake kipara

View attachment 1776190
Ninachopendea Chelsea ni kitu kimoja tu. Anapocheza nje ya uwanja wake na ni Fainali [emoji23][emoji23][emoji23]..........kwakweli Kipara ajiandae ipasavyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom