Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea waliwaoutplay madrid kabisa.....mimi milifikiri Madrid watafurukuta japo ball possesion kipindi cha kwanza ilikuwa 66 kwa 34 ya chelsea ila kiuwanjani chelsea walikuwa ndio wametengeneza nafasi nyingi na kuwa hatari zaidi....

Tuchel anajua aiseh ukitoa post na goli la offside la Werner chelsea one on one na kipa walipata zaidi ya 3 hii inaonesha timu inatengeneza nafasi....

Fainal nakuwa chelsea sitaki city apate treble.
 
Wasahabiki wa Madrid wamuakia hazard.
Screenshot_20210506-203343.jpg
 
Nyie mtajuta kuja final ...

Tunawawashia moto mpaka mtakimbia uwanja ..

Kuna takataka zinatembelea historia ,ooh sijui 2012 tulichukua ,wakati saizi tupo 2021 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We dada kila ukisikia wanaume wanapiga story sebuleni sio lazima ujipitishe na kijora chako chekundu
 
Chelsea waliwaoutplay madrid kabisa.....mimi milifikiri Madrid watafurukuta japo ball possesion kipindi cha kwanza ilikuwa 66 kwa 34 ya chelsea ila kiuwanjani chelsea walikuwa ndio wametengeneza nafasi nyingi na kuwa hatari zaidi....

Tuchel anajua aiseh ukitoa post na goli la offside la Werner chelsea one on one na kipa walipata zaidi ya 3 hii inaonesha timu inatengeneza nafasi....

Fainal nakuwa chelsea sitaki city apate treble.
Chelsea kwa game zote mbili alozocheza na Madrid alitengeneza nafasi za hatari 9 na kufunga magoli matatu huku Madrid akiwa katengeneza nafasi 2 tu na kufunga goli 1.


Chelsea wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga na za hatari.
 
Nilichogundua kwenye mechi na Real Madrid, Tuchel yuko sawa kwa kusema kusema kuwa kuposses mpira sana ndiko kunakompa Werner asicheze vizuri
Werner anafaa sana pale timu inapofanya counter kwa sababu ya speed yake
Ukiangalia magoli yote aliyofunga au kutoa assist ni kupitia counter attack
 

'F*cked, yes, but we still have the league' - Ramos reacts to Chelsea defeat​

1620356024556.png
 
Timu ya wanawake ni kama wamekuwa mabingwa wa Women Supper League kwa sababu kwa mechi moja iliyobaki wanahitaji kuwafunga Reading ambayo kwenye mechi ya kwanza ilifungwa 5-0 na Chelsea
Kila laheri Chelsea Women Team tarehe 9 May
 
Tuchel haa now beaten Zinedine Zidane, Pep Guardiola, Jurgen Klopp, Jose Mourinho, Carlo Ancelotti and Diego Simeone (twice), all without conceding a single goal in those seven matches.a
 
Msimu uliopita tulikosa makombe mawili FA na Supercup mbele ya looserfool na wale Arse8 ..

Huu ni wakati wa kuyarudisha hayo makombe maana ilikuwa ni Khalali yetu kabisa.

Baada kutangazwa kuwa mabingwa wa UEFA ..tunategemea kubeba na Supercup, baadae Community Shield, Kisha Klabu Bingwa hehehe Mungu atupe nini Tena waungwana..huu ni wakati wetu wa kula maisha ..gooo Tuchel piga mama yeyote inayokatiza mbele yetu..

Tunategemea kubeba makombe sio chini ya matano Kama Tuchel akichanga karata zake vizuri..

Mpaka sasa tuna uhakika na FA na UEFA ..baadae kidogo tuna Supercup, Community Shield na Klabu Bingwa.

Hehehehe

This is Chelsea.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Tuchel haa now beaten Zinedine Zidane, Pep Guardiola, Jurgen Klopp, Jose Mourinho, Carlo Ancelotti and Diego Simeone (twice), all without conceding a single goal in those seven matches.a
Tuchel ni habari nyingine.
Anaondoa zama za kina Mourinho.
 
Yale na Pundits Alina Klopp na Mourihno walibeza usajili was Chelsea ..huyo Mou katimuliwa, huyo Klopp na yeye anasua sua.. This is Chelsea [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Nilidhani ni JF tuu hamuongei kuhusu Mendy, kumbe hata twitani huko hakuna maneno mengi kuhusu Mendy.

Jamani Mendy apewe heshima yake mana bila yeye ingekuwa noumaaaaaaaaaaaa
 
Watu wanazidi kuimwagia sifa Chelsea lkn hawaachi kumwagia sifa Kante wakidai kuwa ni mchezaji zaidi ya mmoja. Ukiwa na Kante basi unakua na wachezaji wawili zaidi.[emoji1787][emoji23][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji23][emoji38]


[emoji116]

The whole team were absolutely superb over both games and ended up deserved winners against a giant of European football in Real Madrid.

But there was once again another Man of the Match performance from the robot human that is N’Golo Kante. When people say it is like having two players on the pitch when he plays, that is literally a fact!

Kante was colossal for Chelsea again last night and deserved his award, but as always he stays Mr humble, and it is left for his team mates to give him the praise he deserves.



Timo Werner nae hakua nyuma kumwagia sifa Kante [emoji1787][emoji23][emoji38] yaani ukiwa na Kante unakua unacheza na watu wawili zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]


[emoji116][emoji116][emoji116]


“N’Golo is always really important for us. He’s a beast, to win the ball and fight and run all over the place. The manager tells us every time he is playing that we play with two players.

“He’s a really good guy, plays so good, and also last night how he ran next to me and created a chance and also when he ran with the ball, gave a pass to Christian at the second goal. He’s so important to us and I’m very glad we have him in our squad.”
 
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia goli la Timo huku wakimuangalia Kante alie utoa mpira kati kati ya uwanja na kumpasi Timo kisha akaupitia tena Kante na kumpasia Kai na Kai Akagonga Mwamba wa juu kisha Timo kufunga kwa rebound
IMG_20210507_103437.jpg
 
Mendy avunja rekodi ya UEFA Clean sheets na kuwezesha Chelsea kupata matokeo haya
Mechi 11
Kushinda 7
Kushindwa 1
Droo 3
Cleansheets 8

Magoli ya kufunga 18
Magoli ya kufungwa 4



Édouard Mendy has kept 8 clean sheets in 11 UEFA Champions League matches this season, the most in a single campaign by a goalkeeper for an English side in the competition's history.
1620373384559.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom