Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Papaa Gx

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
7,148
2,000
Sisi kujiamini kiasi hicho kuna kuuma nn ww? Ama unaogopa kukutana na sisi kwenye fainali
Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..

Aggregate 1-1

Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..

Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?

Aisee
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
5,112
2,000
Sisi kujiamini kiasi hicho kuna kuuma nn ww? Ama unaogopa kukutana na sisi kwenye fainali
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...

Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..

Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...

Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
 
Papaa Gx

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
7,148
2,000
Wewe toka tukutie ukuni siku ile akili yako iliyumba sana, sasa subiri Jumamosi tukutie ukuni mwingine.
Mimi level zangu ni buyern tu hapa dunian ,Huyo PSG kajileta wacha tumuwashe moto ...

Yaan tukikutana final nyie (japo najua mwisho wenu ni jumatano ),kama mkibahatika basi nitaenda kuangalia final nikiwa na suti kabisa ya kuchukua uefa ..

Kwa sababu kabla ya HT mtakuwa mmeshaogelea magoli ,huku tukisubili kukabidiwa kombe ...

Takataka kama Chelsea kusema itaweza mfunga city ni ndoto ...
 
wildfish

JF-Expert Member
May 28, 2014
962
1,000

Wewe ndiyo wale mashabiki mandazi hujui chochote kuhusu soka,naona unapuyangapuyanga tu.
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
6,558
2,000
MASON MOUNT VS FRANK LAMPARD STATS

FROM THEIR 100 GAMES DEBUT

Mount
Lampard
Games:100100
Starts:8394
Sub appearances:176
Goals:1615
Assists:137
Penalties scored:10
Minutes per goal:461.1568
Minutes per non-penalty goal: 491.8568
Minutes per goal or assist: 254.4387.2
 
Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
804
1,000
Kesho kovacic hatokuwepo
.
Game ya kesho ni ngumu sana, watu tunaichukulia rahisi ila ni game ngumu sana, tunaweza kuwa na advantage ila naona hii game bado iko 50/50

Yote kwa yote naimani tutashinda kitu kikubwa ni kuanza kuwafunga na tusikubali kutanguliwa
Kama atakuwepo ktk game yetu na Man City itakua vzr zaidi ili tuwakimbize kweli kweli.
 
Tuombe Mungu Confidence ya wachezaji iendelee, form ikishuka tutakuwa kwenye hali ngumu sana
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
6,558
2,000
Tuchel on Winning Plan against Sergio Ramos

“If we play with no striker at all and Ramos has nothing to fight then that can also be a solution. I have not made my mind up yet. It’s another challenge because he is the leader of their group and he is the guy to give a lot of solutions to any questions that we will hopefully ask them.
 
Antonio Conte

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
804
1,000
Tuombe Mungu Confidence ya wachezaji iendelee, form ikishuka tutakuwa kwenye hali ngumu sana
Naam game ni ngumu sn hii yaani ata Zidane kesho anakuja akiwa na hasira. Na watacheza open game kwa nguvu ili wapate goli na wakipata goli tu watajilinda mpk mpira uishe.
 
juan david

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
966
1,000
Naam game ni ngumu sn hii yaani ata Zidane kesho anakuja akiwa na hasira. Na watacheza open game kwa nguvu ili wapate goli na wakipata goli tu watajilinda mpk mpira uishe.
Yeah naona hata hii mechi wameipania ukiangalia hata wale wachezaj waliotoka majeruhi n waliokuwa wanaumwa wote wamejumuishwa

Kesho tunahitaji kuwa makini kwa dakika zote 90
 
Mgwebe

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
1,038
2,000
Kuna muda najiuliza hivi hawa Chelsea wanavimba kuwa wameshafuzu uefa ,unabaki unacheka tu..

Aggregate 1-1

Wanayecheza nae ,katulia tu ,real Madrid ..

Hizi takataka ni kila kona kuimba wameshafuza ,huyu Madrid akiwafunga goli moja ,tayari Hamna chenu ,sasa unabaki unajiuliza hawa kenge wanajivunia nini hasa .?

Aisee
Umeandika pumba tupu, Madrid ni utopolo tu,ilikua tuwapige nje/ndani wamshukuru werner
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom