Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Madrid wenzangu mpo?

Ramos kapona, tumempumzisha Kroos na Modric game iliyopita ili waje kuuwasha moto huku.

Benzema yupo fit.

Marcelo kaonyesha uhai left wing game ya juzi na Osasuna.

Vinicius speed yake ni hatari.

Leo tunapiga chuma tatu.

Kama walishindwa kuwasha moto kwao na wote walikwepo husitegemee jipya kutoka kwao leo
 
Madrid wenzangu mpo?

Ramos kapona, tumempumzisha Kroos na Modric game iliyopita ili waje kuuwasha moto huku.

Benzema yupo fit.

Marcelo kaonyesha uhai left wing game ya juzi na Osasuna.

Vinicius speed yake ni hatari.

Leo tunapiga chuma tatu.

Pia mpira wao ni ule ule waliocheza na liver in and out pia kwa Chelsea ni hiyo hiyo. So sioni maajabu kutoka kwao
 
Nyinyi mmeshindwa kutufunga tumecheza formation hatuijui na majeruhi 10.

Leo Ramos yupo

Ivi Ramos ni Nani?
Kipindi wanawatoa liver Romos hakwepo wala hatusikia hata jina lake leo kapoma Ramos Ramos subiri uone atakachofanywa leo
 
For tonight this line up will be the best
1620204623767.jpg
 
Yaani mliwafunga man city B ya kina sterling na jesus mnavimba ...

Kwanza tunakuja kutangaza ubingwa kwenu ,then kama tukikutana final..

itabidi muandike barua ya kujihudhuru kwenye mashindano kwan moto mtakaokutana nao ni kilio
Tulikuwekea Kepa. Usijisahaulishe.
 
Tuchel anajua ugumu uliopo
Ata Zidane anatambua ugumu uliopo sn. Tena km Zidane anakuja darajani atakuwa na approach ya kujilinda sn na kutumia counter attacks tu. Yaani atakua defensive sn. Na atategemea Moira wa kasi sn ktk kushambulia. Lkn yote hayo tunatambua lazima tuwe sold sn ktk kukakata hizi mbinu zake
 
Tukiweza kuikamata middle yao, shughuli tutakuwa tumeimaliza,

Madrid leo watategemea sana long ball za kina modric na kroos.
 
Madrid wenzangu mpo?

Ramos kapona, tumempumzisha Kroos na Modric game iliyopita ili waje kuuwasha moto huku.

Benzema yupo fit.

Marcelo kaonyesha uhai left wing game ya juzi na Osasuna.

Vinicius speed yake ni hatari.

Leo tunapiga chuma tatu.
So leo hamna kisingizio?
 
Hao watatu mbele wanakuwa wakali akicheza Werner, asipokuwepo hapo werner defence itaonekana ngumu. Bora Pulisic acheze kipindi cha pili
Nashukuru sasa wana blues wome anza kutambua umuhimu wa Warner katika kila mechi, sio lazima afunge ndo awe mazuri huyu jama ana sababisha walinzi wa timu pinzani kupagawa
 
Line up prediction for Chelsea against Real Madrid tonight

Formation ni 3-4-2-1
Sub zitakazotumika ziwe ni

  1. Pulisic for Werner
  2. Giroud for Havertz
  3. Kovacic for Jorginho kama atachoka mapema kwa sababu ya fitness
  4. Alonso for Chilwell
  5. James for Azpilicueta
1620223092663.png
 
Madrid anashinda zaidi ya goli 2 leo, Chelsea inaudhaifu mkubwa bado mkumbuke hii comment badae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom