Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Chelsea si striker tu ndiyo tatizo, hivi huoni hata kwa akili ya kawaida sana pengo la Hazard na Fabregas lipo ktk kutengeneza pasi za mwisho kushinda ili mechi?

Mara mia wacheze akina Werner watatu kuliko Giroud/Tammy mmoja.
 
Na kwa upuuzi huu wa kutafuta nafasi 10 ili tufunge moja, hatutakaa tubebe hata kikombe cha kahawa. TT nae sijui analiwa kichuli na Wener, haiwezani mtu anakosa magoli hovyo then Giroud yupo nje, angekua Giroud yupo ndani game ilikua imeshaisha.
Huyo Giroud alikuwa anatengenezewanafasi nyingi tu pale Arsenal, final assist passes 10 anaweka goli 1 na kibaya zaidi hajui kukaba na hataki hata kukaba. Akiingiaga tu huyo Giroud huwa nahesabu timu ya Chelsea inacheza pungufu/wachezaji 10 badala ya 11.
 
Mpira wa counter hauhitaji striker wa aina ya Giroud au Abraham.

Labda kama tutacheza mpira wa aina nyingine.
Kwa abraham anafaa kwani abraham vs Arsenal emirates alifungaje au wolves si kwa counter attack
 
Ila Kante kawa mtamu ni balaa. Yaani Kante kwasbbu anao uwezo wa kukimbia sn basi anamuacha Jorginho chini yeye anatembea kila mahali... Kante ni kiboko jana kawasumbua sn Madrid. Kante na Pulisic hawa watu ni hatari sn
Kuna mtangazaji mmoja akahaki na kusema Kante hii pumzi anaitoa wapi. Yeye yupo kila mahali na saa nyingine anausoma mpira mpaka maadui wanampasia yeye sio kwa kupenda ila kwa kusoma saikolojia kuwa sasa jamaa anapeleka mpira kipande hii anaenda huklo kukutaana na pasi isiyo yake
 
Mnatoka draw mnatamba nyie takataka ..

Subili next week ndio mwisho wenu ...
 
Kwa abraham anafaa kwani abraham vs Arsenal emirates alifungaje au wolves si kwa counter attack
November 2019, dakika ya 4, Mount anamtengenezea passi Jorginho ambaye naye bila kutuliza alimfanyia counter Tammy na kufunga bao zuri la ligi dhidi ya Watford. Tatizo watu wanaongea bila ya kumbukumbu.

Tena Counter ndio inawahitaji mastriker wazuri kama akina Son na Kane
 
Uza Abraham + Giroud + Batshuayi, nunua Harry Kane.

HONGERENI THE BLUES KWA MATOKEO MAZURI UGENINI.

Tuko vizuri sana.

#Pride of London.
AIsee wacha kumshushia Kane thamani
Abraham akijitahidi sana ni 30m, Batsuayi 20m Giroud bure jumla 50m
 
Werner - Kane - Pulisic

Pulisic - Kane - Mount

Werner - Kane - Mount

Hivi kweli big Boss Abromovich anashindwaje kumng'oa Kane pale Tote?

Ampige na €120M levy usoni.

Tufanye tuu huu usajili mmoja dirisha kubwa. FULL STOP
Levy ndio muhuni refer deal la modric kabla hajaenda madrid
 
Kwa mbinu za TT ni caliber kubwa sana kwa Abraham, viatu havimtoshi. Lampard alikuwa anafundisha mpira wa Academy.

Nadhani Abraham ahamie club za championship ndio caliber yake huko atafunga magoli mengi.
Huyu abraham alihisi nafasi yake ni ya kudumu akahisi hata akitoka kwenye majeruhi atarudi kikosini mara moja,inabidi apambane mazoezini wakina crouch walikuwa warefu lakini walikuwa wanastamina, yeye urefu hata kwa crouch hajaufikia lakini mlaini kama mlenda


Amuangalie mount jins anavyohustle mpk leo hii anakuwa mchezaj muhimu, kadri siku zinavyokwenda ndio mount anavyozidi kuwa mzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom