Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nani kapona wanakuja machinjioni
Madrid yenye majeruhi mmeshindwa kuipiga.

Imecheza 3 5 2 formation ngeni kwao dhidi ya timu ambayo mara zote imetumia huo mfumo. Matokeo yake ni kuzidiwa possession, mashuti jumla ni 12 kwa 9 if anything chelsea mmekaba vizuri.

Next game itakua all out war hatojali juu ya majeruhi ni 4 3 3 holding tu. West Bromwich managed to score 5 goals Madrid atawafikiria.
 
Huna jipya na Ramli zako. Kapambane kwanza na Arsenal Yako utoke nafasi ya kumi uliopo ndiyo uje uongee na wanaume hapa
 
Kuna haja ya Tuchel awe anaweza striker pale mbele kuliko kumuweka Kai havert mfano mzuri game ya Jana kuna haja gani wa kumuingiza Kai wakati una Abraham na Giroud.
 
Madrid yenye majeruhi mmeshindwa kuipiga.

Imecheza 3 5 2 formation ngeni kwao dhidi ya timu ambayo mara zote imetumia huo mfumo. Matokeo yake ni kuzidiwa possession, mashuti jumla ni 12 kwa 9 if anything chelsea mmekaba vizuri.

Next game itakua all out war hatojali juu ya majeruhi ni 4 3 3 holding tu. West Bromwich managed to score 5 goals Madrid atawafikiria.
Westbrom walitupiga 5 kwa sababu ya kadi nyekundu tulioipata first half kabla ya hiyo nyekundu sisi ndio tuliodominate mchezo
 
Mh hii sababu ni mbaya.

Kuna timu nyingi zimepata red na hazijafungwa tano.

Pia chelsea ina wachezaji ambao mmoja ni wachezaji wawili wa West Brom. Ndiyo maana mlidominate game muda wote mkazidiwa magoli
 
Ebu kuwa serious kidogo tumempata first half sio second half alafu pia west brom ni wazuri sio wabovu wamepata matokeo mazuri dhidi ya man city, Liverpool, Tottenham.
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia huko kote walipata suluhu. Kwenu wamewafunga nje ndani.

Anyway, ndiyo mpira ulivyo. Next week tuone itakavyokua.
 
Raha ya Arsenal fans sasa hivi ni kusemea timu zingine, mafanikio ya Chelsea inawatoa nyongo sio
FA tunabeba
UCL tunabeba na May 12 tutakuwa na jambo nanyi hapa hapa kwetu darajani
 
FA hambebi.

UCL mnaishia hapo mbele tu.

May 12 si ni second leg baada ya zile 3 za kwanza? Mnakufa tena
 
Madrid kipindi cha kwanza walikuwa wanacheza hovyo tu. Wakapigwa na kukoswa magoli km matatu hivi then kipindi cha pili wakaona wapaki bus wawe wanavizia counter attacks tu... Badae wakaona isiwe tabu wakaachana na mfumo wa 3+5+2 wakarudi 4+3+3.

Hakuna cha kina Modric wala Kroos.

Na jana hawa kina Kroos na Modric walipotea kabisa.
 
Chance tunazotengeneza tunapokuwa na werner huwa nyingi kulinganisha na anapokuwa giroud or tammy na hichi ndicho kinachotusumbua
Kasi ya Timo ni nzuri na ina faida kama kuna mtu kama Giroud au Tammy wa kuzamisha wavuni. Sijaelewa bado kwa nini ticha huaa anawapanga Pulisic na Werner, au Havertz na Werner. Hawa wote wazuri sana kusukuma mipira na kutia pressure ila sio kufunga. Nadhani Kai, Werner na Pulisic hawapaswi kucheza pamoja ila wachanganywe na Ziyech, Tammy au Giroud, ili mikimbio na dribbles zizae matunda.
 
Humu wengine hata dana dana tano hawezi ila macritic sana TW anafanya kazi yake vizuri
Hahahaaaa dah. Poleni sana aisee. Wengine tunakipiga japo uzee na majukumu yameshatutinga. Ingawa bado ni rahisi kukosoa kuliko kufanya mwenyewe. 🤣🤣🤣🤣
 
Madrid yenye majeruhi mmeshindwa kuipiga.

Imecheza 3 5 2 formation ngeni kwao dhidi ya timu ambayo mara zote imetumia huo mfumo. Matokeo yake ni kuzidiwa possession, mashuti jumla ni 12 kwa 9 if anything chelsea mmekaba vizuri.

Next game itakua all out war hatojali juu ya majeruhi ni 4 3 3 holding tu. West Bromwich managed to score 5 goals Madrid atawafikiria.
Ngoja niangalie kama Kovacic atakuwepo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom