Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo Giroud alikuwa anatengenezewanafasi nyingi tu pale Arsenal, final assist passes 10 anaweka goli 1 na kibaya zaidi hajui kukaba na hataki hata kukaba. Akiingiaga tu huyo Giroud huwa nahesabu timu ya Chelsea inacheza pungufu/wachezaji 10 badala ya 11.
Hapa tunaongelea Giroud wa Chelsea, achana alivyokua kwa hao wendawazimu na yeye lazima alikua mwendawazimu. Halafu kazi ya Giroud ni kufunga au kukaba? Tuseme sasa Mendy ni mchezaji mbaya kwa kuwa hafungi.
 
IMG_20210428_214424.jpg
 
Hapa tunaongelea Giroud wa Chelsea, achana alivyokua kwa hao wendawazimu na yeye lazima alikua mwendawazimu. Halafu kazi ya Giroud ni kufunga au kukaba? Tuseme sasa Mendy ni mchezaji mbaya kwa kuwa hafungi.
Leo PSG na Man City Neymar alirudi nyuma kukaba, je alikosea, au au sahihi wakati mwingine Striker kukaba ikizidiwa timu yake?
 
Pain Killer popote ulipo nakupa Ongera kubwa. Mmecheza soka kubwa mno. Mbape na Neymaa hawakuwa na Chao. Ongereni sana. Soka la uingereza linazidi kudhiirisha ubora wake katika ulimwengu wa Soka
Mkuu Mimi nilisema level zetu ni buyern tu hao PSG wamejileta wenyewe wacha tuwape kinachositahili..
 
Beki wa kati wa Chelsea Fikayo Tomori, 23, amekutana na mkurugenzi wa klabu ya AC Milan Paolo Maldini. Milan wanataka kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo ambaye sasa anaichezea klabu hiyo kwa mkopo. (Sky Sport - in Italian)
Hatutakiwi kumuuza Fikayo Tomori ata kidogo. Maana Azpilicueta na Silver hawa wameshazeeka. Mwakani watakuwa wanacheza game za FA na za EPL zilizo rahisi...
 
Hivi ikatokea kweli LUKAKU akarudi THE BLUES atashine chini ya mifumo na mbinu za TT?

Hawezi kuwa next Batshuayi?

Kwanini LUKAKU na sio KANE? View attachment 1767235
Mpira wa Conte na Tuchel haipishani sana.

Ndio maana Conte alitaka kumsajili lukaku wakati yupo chelsea. And sidhani kama Lukaku angekuwa Flop.

Hata sasa Lukaku akija chelsea anaweza kushine kwa kocha huyu.

Shida ni kama Lukaku mwenyewe atakubali kurudi au lah.
 
Mpira wa Conte na Tuchel haipishani sana.

Ndio maana Conte alitaka kumsajili lukaku wakati yupo chelsea. And sidhani kama Lukaku angekuwa Flop.

Hata sasa Lukaku akija chelsea anaweza kushine kwa kocha huyu.

Shida ni kama Lukaku mwenyewe atakubali kurudi au lah.
Yaani sisi tunamuhutaji sn Mbape kwa mpira wetu huo wa counter na wa kasi. Ni Mbape tu au strike ya Borusia Dortmund basi. Wengine hawatufai na watakuwa mizigo tu.

Tuwanunue hao wawili watatufaa kabisa. Verdy km angekua sio mzee alikuwa anatufaa.
 
Mateo Kovacic atakua fiti kuivaa Fulham next Saturday. Na atakuwa fiti pia kuivaa Madrid siku ya j5.

Patamu sn hapo maana tulikuwa tumekosa mtu wa kukokota mipira. Sasa Kante na Kovacic wakianza Madrid wataimba taarabu siku hiyo...
Ngoja tuone tuchel atapangaje ikifika hiyo siku
Joji game iliyopita alicheza vizuri
 
Dili lile walipata hasara tuu..

Kisa kutukazia chelsea..

Nakumbuka dau lilifika hadi paund 40M (madrid walimchukua kwa 29M),, ila levy alikataa kuuza mchezaji kwa chelsea. Ile rivalry nadhani ilichangia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom