Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie takataka sisi wanaume tumemfunga madrid nje ndani ,mnatoka draw mnakuja kutuvimbia sisi wanaume ...
 
Madrid yenye majeruhi mmeshindwa kuipiga.

Imecheza 3 5 2 formation ngeni kwao dhidi ya timu ambayo mara zote imetumia huo mfumo. Matokeo yake ni kuzidiwa possession, mashuti jumla ni 12 kwa 9 if anything chelsea mmekaba vizuri.

Next game itakua all out war hatojali juu ya majeruhi ni 4 3 3 holding tu. West Bromwich managed to score 5 goals Madrid atawafikiria.
Acha uzwazwa majeruhi ni nani na nani ambao wangeleta ushindi acha kua bumunda
 
Kasi ya werner inahitajika, je nani aanzie nje kati ya wale watatu
Mount,pulisic na werner
Pulisic na Werner hawapaswi kuanza pamoja kwa maoni yangu. Wana uchezaji unaofanana japo kasi zinatofautiana! Mount hana mpinzani kwa sasa!
 
Kante dhidi ya viungo wa Madrid Jana
FB_IMG_1619597153608.jpg
 
Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Mpira wa counter hauhitaji striker wa aina ya Giroud au Abraham.

Labda kama tutacheza mpira wa aina nyingine.
 
Ujue wakina tammy n giroud wanawekwa bench kwa sababu hawa ni watu wanaotaka kutafuniwa ndio maana ukiangalia mechi nying tulizocheza na giroud or tammya huwa atutengenezi nafas za kufunga sana tunakalia cross tu ni tofauti na anapokuwa werner anaweza kuwa anakosa goals ila uwepo wake unatupa advantage kwenye kutengeneza nafasi za kufunga kwa sababu ya ile speed yake
Wengi naona hawalioni hili.
 
Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Hili nakubaliana na ww. Tuna shida ya Striker.
 
Madrid kipindi cha kwanza walikuwa wanacheza hovyo tu. Wakapigwa na kukoswa magoli km matatu hivi then kipindi cha pili wakaona wapaki bus wawe wanavizia counter attacks tu... Badae wakaona isiwe tabu wakaachana na mfumo wa 3+5+2 wakarudi 4+3+3.


Hakuna cha kina Modric wala Kroos.


Na jana hawa kina Kroos na Modric walipotea kabisa.

Mkuu kwani hukumuona Ng’olo Kante Uwanjani?. Jamaa aliwavuruga kweli kweli. Namsubiri Kova arudi mambo yatakuwa fire🤪🤪
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom