Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu dogo tumepigwa...
IMG-20210428-WA0000.jpg
 
Pamoja na kukosa magoli kwa Timo Werner bado jamaa ni msumbufu sn kwa uwezo wake wa kukimbia. Mabeki leo wa Madrid wamepata tabu sn. Jamaa anakimbia sn akisaidiwa na dogo Pulisic. Hawa jamaa wanakimbia sn. Beki za Madrid zilikuwa zinatoa kamasi tu kutokana na hawa jamaa wanavyokimbia
Hakusajiliwa Chelsea Ili Akimbie kimbie.. Nawashangaa Sana wanaomtetea huyu Mpumbavu..
 
Nimeanza kuamini kweli Chelsea wako makini kutaka kubeba kombe la UEFA, naamini mechi ya marudiano tunaweza tukashinda 1-0 au tukatoka 0-0 ingawa mechi itakuwa ngumu sana kuliko ya leo.
 
Pamoja na kukosa magoli kwa Timo Werner bado jamaa ni msumbufu sn kwa uwezo wake wa kukimbia. Mabeki leo wa Madrid wamepata tabu sn. Jamaa anakimbia sn akisaidiwa na dogo Pulisic. Hawa jamaa wanakimbia sn. Beki za Madrid zilikuwa zinatoa kamasi tu kutokana na hawa jamaa wanavyokimbia
Sifa ya namba 9 ni kufunga magoli sio kukimbia na mpira watazame washambuliaji hatare walikua awana ayo mambo ya mawinga
Drogba
Van Persie
Suarez
Lewandiwsk
Aguero
Sasa uyu mfungaji gani kukimbia na mpira kazi yake ni kugusa ba kujipanga ndani ya box
 
Giroud ni mzuri wa kufunga yupo benchi. Usishangae akaingia Havertz Giroud akabaki benchi ilhali Kai hafungi. Kwangu bora Tammy kwenye kufunga kuliko Havertz. Kai ana drive timu vizuri ila sio mfungaji. Kama ndugu yake Timo tu
Chance tunazotengeneza tunapokuwa na werner huwa nyingi kulinganisha na anapokuwa giroud or tammy na hichi ndicho kinachotusumbua
 
Pamoja na kukosa magoli kwa Timo Werner bado jamaa ni msumbufu sn kwa uwezo wake wa kukimbia. Mabeki leo wa Madrid wamepata tabu sn. Jamaa anakimbia sn akisaidiwa na dogo Pulisic. Hawa jamaa wanakimbia sn. Beki za Madrid zilikuwa zinatoa kamasi tu kutokana na hawa jamaa wanavyokimbia. Na hii ndio sbbu Giroud na Tammy wanawekwa benchi maana wao hawana uwezo wa kukimbia sn
Ujue wakina tammy n giroud wanawekwa bench kwa sababu hawa ni watu wanaotaka kutafuniwa ndio maana ukiangalia mechi nying tulizocheza na giroud or tammya huwa atutengenezi nafas za kufunga sana tunakalia cross tu ni tofauti na anapokuwa werner anaweza kuwa anakosa goals ila uwepo wake unatupa advantage kwenye kutengeneza nafasi za kufunga kwa sababu ya ile speed yake
 
Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
 
Kwamweli uyu jamaa mimi nimeanza kumchoka kwa nafasi muhimu anazopoteza yaani unakosa Open Goal tetena hapo ata nafasi ya kutuliza alikua nayo View attachment 1765911
Ndio maana TT alimuambia asilazimishe kufunga,
Na akaenda mbali zaidi kwa kumshauri kuwa hawezi kumlazimisha mwanamke kwenda naye dinner
 
Yote uliyotaja hakuna Sifa hata MOJA ya Striker.. Kazi ya striker ni moja tu kutumia nafasi Kufunga magoli.. na akishindwa kufunga yeye awe ametoa pasi ya mwisho kwa mtu mwenzake kufunga..kama Werner ndo Bora kuzidi Walioko benchi basi Kubali Chelsea tuna Tatizo kubwa na hatuna striker.. sababu Werner Hafai na hana sina.. striker hawezi pata Nafasi3 za wazi akakosa Goli hata 1..
Na kwa upuuzi huu wa kutafuta nafasi 10 ili tufunge moja, hatutakaa tubebe hata kikombe cha kahawa. TT nae sijui analiwa kichuli na Wener, haiwezani mtu anakosa magoli hovyo then Giroud yupo nje, angekua Giroud yupo ndani game ilikua imeshaisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom