Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea isifanye makosa Tena kwa muuza Tammy Abraham bado namuona Tammy Abraham ni mchezaji mzuri kocha amuamini kama anavyomuamini Werner atatulipa.Kuna watu wametengeneza scenario kwamba Tammy Abraham hawezi kucheza under TT lakini wanajisahau kwamba Tammy kafunga magoal mengi ya counter attack kwa Giroud sawa yupo slow so hawezi kucheza chini ya TT lakini si kwa Abraham tatizo ni kutopewa nafasi za kucheza lakini Tammy ni mzuri kujiposition na ni clinical finisher mzuri na ana kasi na anajua kukimbia behind ya defenders
Cash Money Forever
Antonio Conte
Hazard CFC
hazard Don
lembu
Mkohoti
 
Ikiwa tutamuuza tammy basi tusisahau kuweka kipengele cha buy back, ili tukiangalia mwenendo wake huko utakuaje
Yasije kutokea ya kina lukaku,kdb
 
Pain Killer popote ulipo nakupa Ongera kubwa. Mmecheza soka kubwa mno. Mbape na Neymaa hawakuwa na Chao. Ongereni sana. Soka la uingereza linazidi kudhiirisha ubora wake katika ulimwengu wa Soka
Ni wakati wao,kumbuka pia misimu iliyopita soka la Hispania lilitawala Ulaya, so ni mambo ya kupokezana. Natumai na soka la Italy wakiendelea hivi misimu ijayo itakuwa zamu yao.
 
Chelsea isifanye makosa Tena kwa muuza Tammy Abraham bado namuona Tammy Abraham ni mchezaji mzuri kocha amuamini kama anavyomuamini Werner atatulipa.Kuna watu wametengeneza scenario kwamba Tammy Abraham hawezi kucheza under TT lakini wanajisahau kwamba Tammy kafunga magoal mengi ya counter attack kwa Giroud sawa yupo slow so hawezi kucheza chini ya TT lakini si kwa Abraham tatizo ni kutopewa nafasi za kucheza lakini Tammy ni mzuri kujiposition na ni clinical finisher mzuri na ana kasi na anajua kukimbia behind ya defenders
Cash Money Forever
Antonio Conte
Hazard CFC
hazard Don
lembu
Mkohoti
Tammy kwa sasa mi naona bado utoto mwingi, labda atolewe kw mkopo.
 
Utoto wa Tammy unaweza kuifananisha na wa werner?
?
Wener ni kutokujiamni ndio kunamsumbua, anakosa goli unaona na yeye jinsi anavyoumia kukosa, sio tammy anakosa then anacheka huku anangalia camera kistaa.
 
Wewe una chuki binafsi na Tammy ngoja kocha ampe nafasi utaanza kumuimba humu
 
Tammy ni mchezaji mzuri, anahitaji kocha mzuri tu wa kumtia moyo na kumfundisha mbinu za kuscore hasa magoli ya kichwa ili autumie urefu wake vizuri
 
Chelsea wako tayari kupokea ofa kwa Tammy 40 milioni ndio bei iliyo sokoni
Aston Villa wanaongoza foleni ya timu zinazohitaji huduma yake
 
Werner anawakasirisha wenzake
Ile pasi nzuri ya Pulisic imekuwa gumzo na sasa wengi wanadai Werner hafai tena kumtetea
Ubovu wake hauvumiliki sasa
Tumuuze Timo Werner
 
Real Madrid have handed a massive injury blow with defender Dani Carvajal set to miss the remainder of the season with a hamstring injury.
 
Werner anawakasirisha wenzake
Ile pasi nzuri ya Pulisic imekuwa gumzo na sasa wengi wanadai Werner hafai tena kumtetea
Ubovu wake hauvumiliki sasa
Tumuuze Timo Werner
Sio kirahisi hivyo
Chelsea hawawezi kumuuza werner ndani ya msim mmoja refer kwa torres,shevchenko
 
Hahahaha

Abraham taller hakuna kitu, ni mchezaji wa level ya championship huko na sio wa level ya THE BLUES chini ya TT mpira wa level ya mabingwa wa dunia.

Kumpanga Abraham uwanjani ni kuamua kucheza pungufu.
Hahahaha ........... bora na wewe umeliona hilo. Ngongoti yule kichwa box. Westham watupe tu huo mpunga tuwauzie mbuzi kwnye gunia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom