Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ubovu wa RM ni kule nyuma, nguvu ya RM iko mbele kwa akina Vinicous Junior na Benzema, wako very clinical
Chelsea itumie ubovu wa nyuma kufunga magoli mengi ili wakitufunga tuwazidi magoli. Hii ndio mpira, mpira ni magoli
 
Kwamweli uyu jamaa mimi nimeanza kumchoka kwa nafasi muhimu anazopoteza yaani unakosa Open Goal tetena hapo ata nafasi ya kutuliza alikua nayo
FB_IMG_1619553098808.jpg
 
Ubovu wa RM ni kule nyuma, nguvu ya RM iko mbele kwa akina Vinicous Junior na Benzema, wako very clinical
Chelsea itumie ubovu wa nyuma kufunga magoli mengi ili wakitufunga tuwazidi magoli. Hii ndio mpira, mpira ni magoli
Mfungaji mwenyewe yuko wapi sasa
 
Kukosa striker wa uhakika kunatucost sana chelsea hvi si tuvunje Bank tu tumlete Kane pale daahh! Hii game yetu kbisa ila tutatolewa kwa kutotumia chances vizuri
Giroud ni mzuri wa kufunga yupo benchi. Usishangae akaingia Havertz Giroud akabaki benchi ilhali Kai hafungi. Kwangu bora Tammy kwenye kufunga kuliko Havertz. Kai ana drive timu vizuri ila sio mfungaji. Kama ndugu yake Timo tu
 
Pamoja na kukosa magoli kwa Timo Werner bado jamaa ni msumbufu sn kwa uwezo wake wa kukimbia. Mabeki leo wa Madrid wamepata tabu sn. Jamaa anakimbia sn akisaidiwa na dogo Pulisic. Hawa jamaa wanakimbia sn. Beki za Madrid zilikuwa zinatoa kamasi tu kutokana na hawa jamaa wanavyokimbia. Na hii ndio sbbu Giroud na Tammy wanawekwa benchi maana wao hawana uwezo wa kukimbia sn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom