Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We acha tu mkuu yalisemwa mengi oh eti wale wazee mara oh eti chelsea haijawahi kuchukua kombe sasa yako wapi?


Watu hawawezi kuacha kusema.......Hata Man U walijua ubingwa wa 2012 ni wao ila ola...waliambulia machozi!!


Kwa kweli mwaka huu umekuwa bomba sana kwani wasiotegemewa wameibuka na kufanya maajabu!!
 
unajua hili jukwaa la michezo. Sema timu yako imekula mavi

mi mwenyewe namshangaaa....hahahahaaaa...!!!mambo ya mpira hayataki hasira. ni kupeana presha mpira ukiisha tunagonga glasi.
 
Sami Kufour anaomboleza katika studio za Supersport!!

Amekumbuka 1999!!
 
Kichwa cha habari chajieleza chelsea wanarudi palepale walipotakiwa kuwa! Bravo Blues !
 
fc-bayern-muenchen-v-chelsea-20120519-143811-949.jpg


1799624_w2.jpg


1797744_w2.jpg
 
Chelsea for Champions league.
Totenhurm for europa league.
Congrats Drogba the hero,
Congrats Chelsea the Champions,
Congrats De Mateo the Comrade,
Congrats Abramovic the King.
 
Huna lolote unalojuwa.
Ni bora tu uende jukwaa la chit chat kule kuna wenzio.
unawafananisha Chelsea na Man UTD we kweli zimo kichwani?
Huyu jamaa alianzisha hii thread tangu jana saa 8 mchana kwa mbwembwe nyingi, tunaofahamu soka ni nini tulimuelimisha kwamba Soccer is unpredictable Game, na haya ndiyo majibu niliyoambulia kutoka kwake, lakini hatimaye ni yeye mwenyewe sasa ameikimbia hii thread yake ambayo aliianzisha tangu mchana kwa mbwembwe nyingi.
 
kweli nimeamini mungu sio Invisible wala Gang Chomba jamaa wamelibeba kweli kama ipo ipo tu kona 21 kwa 1.

congrats chelski..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom