Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwahao wingbacks wenye uwezo wa kuoverlap, na wingers wenye uwezo wa kufunga cjui kupiga pasi...mngekuwa top 3 mpk sasa na msinge struggle kuwafunga kina Burnley😂......Sisi bwana tunashida ya kufunga ....Ila game yetu na nyie max tunawala goli 2....na nyie hamtopata hata shot on target
Unaongelea nyakati ambazo CAM hakuwepo.

Mna shida ya kufunga sasa Werner wa kazi gani? Unawezaje kulishwa uongo na ukaukariri utafikiri hauijui timu yako? Una Striker aliyekua anakimbizana na World Class Lewandowski, una CAM watatu, Mount, Havertz na Ziyech kisha unaaminishwa kuna shida ya ufungaji na unaamini?

Mimi nimesema nyinyi mkija kucheza na Arsenal na mkacheza 3 4 3 basi goli chache tatu.
 
Kwahyo mkuu unachotaka kusema mechi ya 1-1 Burnley CAM hakuwepo😂 aisee ....kwenye ufungaji tuna shida Sana game zilizopita tumeshinda Sana goli 1 au 2 lkn huku nyuma wapinzani kutopata on target ni kawaida ...na watu kupigwa sub mapema kama kina Suarez na Salah ni kawaida so Sisi kina Pepe cjui magazette hawatutishi 😂😂😂
 
3 4 3 hua inamalizwa kwa mid yenye nguvu, CAM mzuri na STs ambao wanaweza kufanya runs ili kuziwahi thru balls, mipira ya counter na kupatuliza katikati. Gameya juzi ya Madrid na Atalanta ni ukumbusho wa jinsi gani 3 4 3 inatepeta kwa wings zenye speed (Vinicius, Lucas) clinical finisher (Benzema) na mid ngumu (Modric na Kroos)

Cholo first leg alicheza 3 4 2 1 akachezewa mpira na kipigo, jana ameingia na 4 4 2 lakini Suarez kapata tabu sana kule mbele, Joao akawa analeta mambo ya juzi ya Vinicius. Kisha gradually Chelsea wakaonekana wamejaa uwanja mzima. Mchezaji wa Atletico akipiga pasi, inaanza kumfikia Kante, Krosi Inaanza kutua kwa Jorginho yaani ikawa hatari.

Anyway, kwa nilichoona jana naamini Arsenal tunaweza kurudia kuchapa tena tatu zingine. Maeneo ambayo Atletico siyo wazuri, kati na pembeni, Arsenal imeendelea kuyapatia ufumbuzi day by day also 3 4 3 siyo silaha ya muda mrefu ni nzuri kuitumia kwa tournaments za siku kadhaa ila siyo milele.

Arsenal tulianza na 3 4 3 baada ya Arteta kuchukua timu ikatufaa kwa muda kisha mambo yakawa si mambo formation ikafumuliwa. Tuchel anajua hili ndiyo maana alijaribu kuswitch kwenda kwenye 4 2 3 1 and the whole team trembled dhidi ya Atletico akarudia 3 4 3.

Mna tatu zetu.
Joginho hajacheza jana
 
Thomas Tuchel ana kazi kubwa sn ktk kikosi chake maana kila mchezaji ameonesha uwezo mkubwa sn... Ata sub ya dk 3 tu wachezaji wamekua wakimuonyesha uwezo wao mkubwa sn

Yaani ana mtihani Pulisic Jana katoa Assist, Ziyech kafunga. Timo katoa Assist. Emerson kafunga. Zouma alimuweka mfukoni Suarez.. Yaani ni mtihani mkubwa ktk selection...
 
Mimi sikatai mnacheza vizuri.

Lakini tuchel ataleta majanga ya tano na kupigwa na timu zisizo kwenye ligi hapo chelsea.

3 4 3 imewapa kuonekana wengi uwanjani but mnakua vulnerable kwa kaunta na thru balls. Sisi tuna fullbacks zinazooverlap, wingers wenye uwezo wa kupasi na spid na mid inayogawa na kuzuia mpira.

Kama uliangalia second leg ya Madrid na Atalanta basi vile ndiyo 3 4 3 inavyokua exposed.
Mawinger wanajikuta wamebaki na beki mmoja na kipa mara nyingi tu which reminds me psg ya tuchel ilivyokua vulnerable kwa kaunta na thru balls.

Tusiandikie mate. Goli chache tatu.

Mkuu kwani huu mfumo umeanza kutumika leo Chelsea. Mbona Conte aliitumia akabeba makombe kipindi chake? Huu mfumo umezoeleka chelsea. We tulia tutakutana
 
Unaongelea nyakati ambazo CAM hakuwepo.

Mna shida ya kufunga sasa Werner wa kazi gani? Unawezaje kulishwa uongo na ukaukariri utafikiri hauijui timu yako? Una Striker aliyekua anakimbizana na World Class Lewandowski, una CAM watatu, Mount, Havertz na Ziyech kisha unaaminishwa kuna shida ya ufungaji na unaamini?

Mimi nimesema nyinyi mkija kucheza na Arsenal na mkacheza 3 4 3 basi goli chache tatu.
Uko nafasi ya ngapi ? Unatia aibu na timu yako unayoipamba halafu kumbe ni utopolo tu.
 
Lakini kiuhalisia ukiangalia mwenendo wa timu unaona kabisa Tuchel anachokisema ni sahihi kabisa.

Hakuna rangi mtaacha kuiona nyie. Nyie
sio wa kutufunga vile ule ulikua uzembe wa Lampard. Ngoja tukutane ndio utaelewa ninachomaanisha.
Kuna wachambuzi fulani wa Superspoprt niliwasikia wakisema kocha kawajengea confidence wachezaji kiasi kwamba sasa wachezaji wa Chelsea hawaogopi kukutana na timu yeyote na kiukweli kwa uchezaji wa Chelsea kwa sasa hakuna tyimu katika hizo nane zilizosonga mbele anayecheza vizuri zaidi ya Chelsea. Ni bahati mbaya tu kwenye football timu nzuri inaweza ikaotewa ikafungwa
 
Wala hana kazi kubwa. Tunashuhudia angalau kila mchezaji anapata dakika za kucheza. Wachezaji watakuwa wanamshukuru sana TT kwa kuboresha viwango vyao na kupata nafasi ya kucheza.

Kuna wachezaji walishasahulika under Lampard, TT amekuwa mkombozi wao, cha muhimu wanapopata nafasi ya kucheza uwanjani waonyeshe kiwango bora kama wachezaji wa city, wajibu maswali kwanini TT amewaamini.

Unataka kuniambia Pep pale city anapata kazi kubwa kufanya selection? Sidhani, kila mechi ina mahitaji ya wachezaji wa aina flani, na uzuri wachezaji wetu wanalitambua hilo.

TT aendelee kuwaboresha wachezaji THE BLUES tuwe tishio kisoka ulimwenguni kote .
Na pia kuwazungusha wachezaji inawaondolea uchovu na hivyo wachezaji wengi wanacheza wakiwa fresh mentally na physically
 
Kwahyo mkuu unachotaka kusema mechi ya 1-1 Burnley CAM hakuwepo😂 aisee ....kwenye ufungaji tuna shida Sana game zilizopita tumeshinda Sana goli 1 au 2 lkn huku nyuma wapinzani kutopata on target ni kawaida ...na watu kupigwa sub mapema kama kina Suarez na Salah ni kawaida so Sisi kina Pepe cjui magazette hawatutishi 😂😂😂
Chache tatu
 
Ndiyo nini sasa? Kwani wakati tunawafunga tulikua nafasi ya ngapi
We dada hujishtukii, Arse88 wenzio wamekimbia kwenye huu uzi wameona si salama tena. Au unatafuta basha kijanja?
 
We dada hujishtukii, Arse88 wenzio wamekimbia kwenye huu uzi wameona si salama tena. Au unatafuta basha kijanja?
Ikifika siku na ukawa unaweza kupanga na kupangua hoja nitajadili na wewe mchezo wa mpira bila kinyongo.

Kwa sasa mimi nakuacha kwanza.
 
Ikifika siku na ukawa unaweza kupanga na kupangua hoja nitajadili na wewe mchezo wa mpira bila kinyongo.

Kwa sasa mimi nakuacha kwanza.
Nani anataka kujadili mpira na wewe fala ww. kama unataka kuniachia papa nipe tu bila hiyana, mana ndio unachokitafuta huku kwa wanaume. Wenzio wote wapo MMU wewe daily kukitembeza huku kama sio kuwashwa ni nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom