Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3 4 3 hua inamalizwa kwa mid yenye nguvu, CAM mzuri na STs ambao wanaweza kufanya runs ili kuziwahi thru balls, mipira ya counter na kupatuliza katikati. Gameya juzi ya Madrid na Atalanta ni ukumbusho wa jinsi gani 3 4 3 inatepeta kwa wings zenye speed (Vinicius, Lucas) clinical finisher (Benzema) na mid ngumu (Modric na Kroos)

Cholo first leg alicheza 3 4 2 1 akachezewa mpira na kipigo, jana ameingia na 4 4 2 lakini Suarez kapata tabu sana kule mbele, Joao akawa analeta mambo ya juzi ya Vinicius. Kisha gradually Chelsea wakaonekana wamejaa uwanja mzima. Mchezaji wa Atletico akipiga pasi, inaanza kumfikia Kante, Krosi Inaanza kutua kwa Jorginho yaani ikawa hatari.

Anyway, kwa nilichoona jana naamini Arsenal tunaweza kurudia kuchapa tena tatu zingine. Maeneo ambayo Atletico siyo wazuri, kati na pembeni, Arsenal imeendelea kuyapatia ufumbuzi day by day also 3 4 3 siyo silaha ya muda mrefu ni nzuri kuitumia kwa tournaments za siku kadhaa ila siyo milele.

Arsenal tulianza na 3 4 3 baada ya Arteta kuchukua timu ikatufaa kwa muda kisha mambo yakawa si mambo formation ikafumuliwa. Tuchel anajua hili ndiyo maana alijaribu kuswitch kwenda kwenye 4 2 3 1 and the whole team trembled dhidi ya Atletico akarudia 3 4 3.

Mna tatu zetu.
 
😀😀 nyie ndo mna tatu zetu mkuu...Acha porojo
 
MCHAWI JANA WA ATLETICO MADRID NI N'GOLO KANTE SIO MWINGINE
MFANO LILE GOLI LA EMERSON, ILIANZA KWA KANTE KWENDA KWA PULISIC, PULISIC WAKATI ANAAMBAA NA MPIRA NGOLO KANTE KASHAFIKA GOLINI MWA ATLETICO. NI KWAMBA PULISIC ALIOGOPA KUMPA TU KWA KUWA ANGEKUWA OFFSIDE NDIPO AKAAMUA KUMPASIA EMERSON
MAN OF THE MATCH = KANTE
 
Tukubali tusikubali wachezaji wote sasa wanaanza kuwa kwenye form nzuri kuanzi werner mwenyewe, pulisic, ziyech, havertz nk

Tuchel hatakuwa na first 11 labda aamue kuwa rigid kama Lampard. wachezaji wote tulionao wakipangwa lazima tushinde lazime tutoe cleansheet
michezo 13 goli 2 tu tumefungwa na katika hizo 2 goli moja tu kafunga mchezaji wa nje na Chelsea
 
Hakim Ziyech Game by Numbers vs Atletico Madrid.jpg
 
Yaan Suarez+ João Felix wameshindwa
Salah, mane, firmino wameshindwa
Richarlison ameshindwa
Son ameshindwa...
Ndo atufunge pepe na magazette..dah hauwez kuwa serious😁
Kwani tulivyowafunga 3 kwa 1 first leg ilikuaje?
 
Chelsea vs Atletico Madrid Player Ratings
  1. Edouard Mendy: 8/10
  2. Cesar Apilicueta: 7/10
  3. Kurt Zouma: 8/10
  4. Antonio Rudiger: 9/10
  5. Reece James: 8/10
  6. N’Golo Kante: 9/10
  7. Mateo Kovacic: 8/10
  8. Marcos Alonso: 7/10
  9. Hakim Ziyech: 8/10
  10. Kai Havertz: 8/10
  11. Timo Werner: 8/10
Substitutes Ratings
  1. Christian Pulisic: 6/10
  2. Callum Hudson-Odoi: 6/10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom