3 4 3 hua inamalizwa kwa mid yenye nguvu, CAM mzuri na STs ambao wanaweza kufanya runs ili kuziwahi thru balls, mipira ya counter na kupatuliza katikati. Gameya juzi ya Madrid na Atalanta ni ukumbusho wa jinsi gani 3 4 3 inatepeta kwa wings zenye speed (Vinicius, Lucas) clinical finisher (Benzema) na mid ngumu (Modric na Kroos)
Cholo first leg alicheza 3 4 2 1 akachezewa mpira na kipigo, jana ameingia na 4 4 2 lakini Suarez kapata tabu sana kule mbele, Joao akawa analeta mambo ya juzi ya Vinicius. Kisha gradually Chelsea wakaonekana wamejaa uwanja mzima. Mchezaji wa Atletico akipiga pasi, inaanza kumfikia Kante, Krosi Inaanza kutua kwa Jorginho yaani ikawa hatari.
Anyway, kwa nilichoona jana naamini Arsenal tunaweza kurudia kuchapa tena tatu zingine. Maeneo ambayo Atletico siyo wazuri, kati na pembeni, Arsenal imeendelea kuyapatia ufumbuzi day by day also 3 4 3 siyo silaha ya muda mrefu ni nzuri kuitumia kwa tournaments za siku kadhaa ila siyo milele.
Arsenal tulianza na 3 4 3 baada ya Arteta kuchukua timu ikatufaa kwa muda kisha mambo yakawa si mambo formation ikafumuliwa. Tuchel anajua hili ndiyo maana alijaribu kuswitch kwenda kwenye 4 2 3 1 and the whole team trembled dhidi ya Atletico akarudia 3 4 3.
Mna tatu zetu.