Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mlikuwa mnamuonea lampard Tu sasa subirini dawa yenu....😁 Aisee eti Pepe atufunge goli3
Sisi Arsenal hata tuwe wabovu vipi ila spurs, chelsea na united hua mwendo ni mpera mpera. Huyo tuchel kapigwa tano tano psg mara kibao, kwa chelsea tunafungua sisi dimba.
 
Kajifie mbele wewe.

Arsenal ata mcheze na mizukule hamuwezi kuifunga Chelsea kwa sasaivi

Chelsea ktk game 13 ilizocheza ina wastani wa passes 9 tu kupigwa na opponents kisha wanapora Mpira na kuumiliki wao tena

Wakati huo wao wanacharaza pass mpk 20 ndio wanapoteza mpira. Ndio Arsenal mje mtusumbue kweli?

Chelsea wanakabia juu ktk half ya adui kwa wachezaji 6... Yaani wakipoteza mpira popote walipo wanaanza kuusaka huko huko kiasi unajikuta timu pinzani inapasia mipira kwa Kante....

Yaani tunapiga kila timu saizi ktk EPL
We na we unatia aibu.

Hiyo highline pressing kati ya Arsenal na chelsea nani kaanza kuitumia?

Sisi hiyo ndiyo ilitupa ushindi kwa liva na kwenu yaani leo unataka kunilecture kitu ambacho nakijua na ninakiona katika timu yangu?

Na ninarudia tena, goli chache siku hiyo ni tatu
 
Mkuu siyo muda wa kucheka ngoja nitunze hiki cheko mpaka tarehe 2 mwezi ujao.

Tupo kwenye maombolezo wa kitaifa[emoji24][emoji24][emoji24]
Usiku wa leo itabidi uende jukwaa la united kucheka.
 
Mlimfunga Lampard na si Tuchel mkuu tofautisha Chelsea ya Tuchel na ya Lampard
Jamani mbona mnakua kama hamjui haya mambo. Ingizo jipya la kocha au mchezaji hubusti morali ya timu, ni kawaida.

Now once morali ikianza kushake pale ndiyo utajua kua lampard ni kocha poa kuliko tuchel kidevu.
 
Jipe moyo kk itashinda😁
Ile siku kabla ya mechi nilikua namuambia mwenzenu Southern Highland kwamba leo tunawapiga tatu. Akanitajia lampard na watu wengine wa chelsea kwamba haiwezekani.

Baada ya kipigo akawa hanijibu nikimquote yaani kaanza kunijibu baada ya kuwapiga Atletico. Jiandaeni, tunaanza na Westham, liva, sheffield halafu wengine mnafuata.

Goli chache tatu
 
Lampard ni kocha mzuri kuliko tuchel kwa maoni yangu kilichomvuruga ni kuletewa watu ambao yeye hakuwataka na hakujua kama wanakuja.

Goli chache tatu.
Hawa wachezaji anaowafundisha Tuchel sasa chelsea..Kwan ndo hao aliowataka? Tuchel kamzidi pakubwa lampard Kwa kuwatumia wachezaji ambao lampard hakuwataka kama unavyosema..lampard alikuwa young developing coach with lesser experience compared to Tuchel....lampard akifungwa mara ataswitch kwenda mfumo mwingine au kuleteana bifu na wachezaji...yaan alikuwa kama anajifunzia kupitia chelsea
 
Mourinho analeteana bifu na wachezaji na timu inapafom. Striker unakosa magoli mengi ndani ya mechi moja ubembelezwe ili iweje?

Anyway, bado tuchel pia hajajua namna nzuri ya kuupata ubora wa Werner na Havertz, bado Werner ni gari la kusukumwa, Havertz bado anashinda chini ya kivuli cha Mount. Kocha anayejielewa hawezi kumuacha nje mount akamchezesha Ziyech (natural CAM) au Havertz labda awe na majanga kama ya jana.

Kwahiyo leo au kesho au kesho kutwa mkianza kufa tano tano kama za psg mtakua mnauliza mbona mchezaji ghali hana impact? Mbona werner hivi au vile kisha tuchel atafukuzwa atakuja mwingine.
 
Jana Emerson kacheza kama mshambuliaji wa kushoto akafunga goli kwenye first touch yake, je Emerson aendelee kuchezeshwa kwenye hiyo nafasi ya mshambuliaji wa kushoto?
 
Kante anakimbia km upepo....

Niliona siku moja Tuchel alipotua darajani aliwaita hao viungo wetu watatu...yaani Kante, Kova na Jorginho

Akawaambia hivi atawatumia wote watatu na kuwapanga lkn itatengemea na opponents, na nguvu ya mpinzani na kile anachotaka siku hiyo kocha kucheza...

Kante ame qualify kila kitu. Iwe game ngumu laini ya vita mieleka Kante amepita. Labda kocha awe anaamua tu kumpumzisha lkn Kante ni unstoppable kabisa ni mfuniko kilaka spider yaani unaweza muita majina yoooote usimalize Kante anatisha na katisha sn.... Gumzo ulaya saizi
Alisema pia atamchezesha kwa uangalifu mkubwa ili asiingie kwenye majeruhi kama ilivyotokea kwa Lampard
 
Lampard ni kocha mzuri kuliko tuchel kwa maoni yangu kilichomvuruga ni kuletewa watu ambao yeye hakuwataka na hakujua kama wanakuja.

Goli chache tatu.
Frank Lampard, 19 January:

"Chelsea is not a club that's ready to compete."

Thomas Tuchel, 17 March:

“We are in the draw (for UCL Quarter Finals) and I am pretty sure no one wants to play against us."
 
Frank Lampard, 19 January:

"Chelsea is not a club that's ready to compete."

Thomas Tuchel, 17 March:

“We are in the draw (for UCL Quarter Finals) and I am pretty sure no one wants to play against us."
Tusitishiane makocha.

Emery: Liva ni klabu ninayohofia kukutana nayo.

Arteta: Tutapambana na klabu yoyote itakayokuja mbele yetu.

Liva akapigwa.
 
Tusitishiane makocha.

Emery: Liva ni klabu ninayohofia kukutana nayo.

Arteta: Tutapambana na klabu yoyote itakayokuja mbele yetu.

Liva akapigwa.
Lakini kiuhalisia ukiangalia mwenendo wa timu unaona kabisa Tuchel anachokisema ni sahihi kabisa.

Hakuna rangi mtaacha kuiona nyie. Nyie
sio wa kutufunga vile ule ulikua uzembe wa Lampard. Ngoja tukutane ndio utaelewa ninachomaanisha.
 
Mimi sikatai mnacheza vizuri.

Lakini tuchel ataleta majanga ya tano na kupigwa na timu zisizo kwenye ligi hapo chelsea.

3 4 3 imewapa kuonekana wengi uwanjani but mnakua vulnerable kwa kaunta na thru balls. Sisi tuna fullbacks zinazooverlap, wingers wenye uwezo wa kupasi na spid na mid inayogawa na kuzuia mpira.

Kama uliangalia second leg ya Madrid na Atalanta basi vile ndiyo 3 4 3 inavyokua exposed.
Mawinger wanajikuta wamebaki na beki mmoja na kipa mara nyingi tu which reminds me psg ya tuchel ilivyokua vulnerable kwa kaunta na thru balls.

Tusiandikie mate. Goli chache tatu.
 
Hiyo 3+4+3 haina uhatari wowote maana ata TT anaitumia kulingana na opponents

Mfano Man Utd ndio timu iliyoweza kutusumbua na kuufukua udhaifu wetu lkn timu ilipotulia wali control game na kurudi ktk ubora wao

Alkadharika ata ATM. Jana dk kumi za mwanzo walitusumbua lkn tulikaa sawa na kurudi ktk ubora wetu.

Hiyo 3+4+3 inahitaji viungo kz ambao ukiangalia Chelsea tayari inao viungo kz watatu... Hawa viungo ktk game 13 walizocheza hawajawahi kufunikwa yaani kuzidiwa....

Kwahiyo hakuna kabisa timu ya kuisumbua Chelsea kwa counter attacks km Liverpool ambayo nayo ilipigwa na kufunikwa
 
Kwahao wingbacks wenye uwezo wa kuoverlap, na wingers wenye uwezo wa kufunga cjui kupiga pasi...mngekuwa top 3 mpk sasa na msinge struggle kuwafunga kina Burnley😂......Sisi bwana tunashida ya kufunga ....Ila game yetu na nyie max tunawala goli 2....na nyie hamtopata hata shot on target
 
Hiyo 3+4+3 haina uhatari wowote maana ata TT anaitumia kulingana na opponents

Mfano Man Utd ndio timu iliyoweza kutusumbua na kuufukua udhaifu wetu lkn timu ilipotulia wali control game na kurudi ktk ubora wao

Alkadharika ata ATM. Jana dk kumi za mwanzo walitusumbua lkn tulikaa sawa na kurudi ktk ubora wetu.

Hiyo 3+4+3 inahitaji viungo kz ambao ukiangalia Chelsea tayari inao viungo kz watatu... Hawa viungo ktk game 13 walizocheza hawajawahi kufunikwa yaani kuzidiwa....

Kwahiyo hakuna kabisa timu ya kuisumbua Chelsea kwa counter attacks km Liverpool ambayo nayo ilipigwa na kufunikwa
Mimi sina cha kusema. Nimeongea kwa kadri ninavyojua.

Subiri show.

NB. Mkipangwa na Madrid mnakufa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom