Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mourinho analeteana bifu na wachezaji na timu inapafom. Striker unakosa magoli mengi ndani ya mechi moja ubembelezwe ili iweje?

Anyway, bado tuchel pia hajajua namna nzuri ya kuupata ubora wa Werner na Havertz, bado Werner ni gari la kusukumwa, Havertz bado anashinda chini ya kivuli cha Mount. Kocha anayejielewa hawezi kumuacha nje mount akamchezesha Ziyech (natural CAM) au Havertz labda awe na majanga kama ya jana.

Kwahiyo leo au kesho au kesho kutwa mkianza kufa tano tano kama za psg mtakua mnauliza mbona mchezaji ghali hana impact? Mbona werner hivi au vile kisha tuchel atafukuzwa atakuja mwingine.
Naomba wana Chelsea mumpuuze huyu kiumbe maana kaamua kujifariji ktk uzi wa Chelsea ilihali Arse8 hata ikishinda mechi zote za EPL ndiyo itaambulia kukaa top 10 nakati vidume Chelsea vitakaa top 4 kimsimamo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Saizi wachezaji wetu wana jiamini ni hatari. Saizi mpaka Rudiger ana kokota mpira kutoka nyuma mpaka mbele kisha anatoa pasi na kurudi nyuma kuweka ulinzi. Aisee ni hatari pasi zinapigwa hapo hapo golini na adui anaangalia tu hajui afanye nn, Mendy anafinya mtu kisha anatoa pasi mpka unahisi raha.
 
Nani anataka kujadili mpira na wewe fala ww. kama unataka kuniachia papa nipe tu bila hiyana, mana ndio unachokitafuta huku kwa wanaume. Wenzio wote wapo MMU wewe daily kukitembeza huku kama sio kuwashwa ni nn?
Huna akili. Sikutakiwa kukujibu kuanzia minute one, mtu unayewaza kuwatia dada zako ubongo una makaratasi matupu huo. Wanakufa watu wa msingi wajinga kama nyinyi mnabaki.
 
Huna akili. Sikutakiwa kukujibu kuanzia minute one, mtu unayewaza kuwatia dada zako ubongo una makaratasi matupu huo. Wanakufa watu wa msingi wajinga kama nyinyi mnabaki.
We ndio unajiona wa maana m kundu wewe. upo kwenye heat, tafuta mwanaume akukaze ili uache shobo kwnye uzi usiokuhusu, mama yako ndio hana akili mpuuz ww.
 
Unaongelea nyakati ambazo CAM hakuwepo.

Mna shida ya kufunga sasa Werner wa kazi gani? Unawezaje kulishwa uongo na ukaukariri utafikiri hauijui timu yako? Una Striker aliyekua anakimbizana na World Class Lewandowski, una CAM watatu, Mount, Havertz na Ziyech kisha unaaminishwa kuna shida ya ufungaji na unaamini?

Mimi nimesema nyinyi mkija kucheza na Arsenal na mkacheza 3 4 3 basi goli chache tatu.
Mkuu unakaza fuvu huku Olympiacos anakutoa kamasi. Sasa utauweza mziki wetu?
 
2011/12 Chelsea ilishiriki kwenye UCL ikiwa kama UNDERDOG
haikutegemewa hata kama ingefika robo fainali lakini ilifight hadi kuchukua kombe mbele ya Barcelona waliokuwa title contenders na Bayern Munich ambayo kila mtu alijua yeyey ndie angechukua hilo kombe
2020/21 Chelsea imeanza kama UNDERDOG chini ya Lampard lakini inamalizia UCL kama timu inayoogopwa na kila timu including Mancity na Bayern Munich

Timu ziliopita kwenda robo fainali ambazo Chelsea inaweza kukutana nazo ni
  1. Real Madrid
  2. Bayern Municha
  3. Man City
  4. Borussia Dortmund
  5. Porto
  6. PSG
  7. Liverpool
 
2011/12 Chelsea ilishiriki kwenye UCL ikiwa kama UNDERDOGS
haikutegemewa hata kama ingefika robo fainali lakini ilifight hadi kuchukua kombe mbele ya Barcelona waliokuwa title contenders na Bayern Munich ambayo kila mtu alijua yeyey ndie angechukua hilo kombe
2020/21 Chelsea imeanza kama UNDERDOGS chini ya Lampard lakini inamalizia UCL kama timu inayoogopwa na kila timu including Mancity na Bayern Munich

Timu ziliopita kwenda robo fainali ambazo Chelsea inaweza kukutana nazo ni
  1. Real Madrid
  2. Bayern Municha
  3. Man City
  4. Borussia Dortmund
  5. Porto
  6. PSG
  7. Liverpool
Kuna wachambuzi fulani wa Superspoprt niliwasikia wakisema kocha kawajengea confidence wachezaji kiasi kwamba sasa wachezaji wa Chelsea hawaogopi kukutana na timu yeyote na kiukweli kwa uchezaji wa Chelsea kwa sasa hakuna tyimu katika hizo nane zilizosonga mbele anayecheza vizuri zaidi ya Chelsea. Ni bahati mbaya tu kwenye football timu nzuri inaweza ikaotewa ikafungwa
Kwa sasa Chelsea wanalitaka kombe la UEFA. Yaani hiyo ndio dhamiri yao na ndio makusudi ya kocha. Hawasemi wazi na hawatangazi lkn malengo yao makubwa ni kuchukua kombe la UEFA. Na kidogo kidogo TT amekua akitoa taarifa za hayo malengo. Mfano majuzi ktk game ya ATM alisema wazi kabisa kua tuko hapo kwa ajili ya kushinda kuifunga ATM.... Na hakuna timu yoyote ile ktk hizi 8 zilizopo ktk UEFA zinataka kukutana na sisi.

Yaani kiukweli TT anaonekana km anaijemga timu na kuisaidia imalize ligi ktk top four.... Lkn ni ukweli ulio wazi TT anataka avunje record kubwa sn na wamedhamilia na huo uwezo wanao na hii ndio nafasi wanataka wachukue UEFA waiweke hapo....

Na Mimi nawaambia Leo mashabiki wenzangu wa Chelsea hapa tunakwenda kuinua ndoo ya UEFA. Hakuna timu inataka kucheza na sisi ata kidogo....

Yaani hizi ndoo mbili ya FA na UEFA tunabeba kabisa... Yaani hii comment yangu itunzeni. TT sasaivi haisaidii timu imalize ktk top four. Anataka makombe na yuko hapo kushinda makombe na fursa iko mbele yake na vijana wanachapa kz ya kufa mtu... Yaani ni shida.

Na atamaliza ligi ktk EPL bila kufungwa game ata moja. Hizi michezo ya EPL yote iliyobaki hafungwi ata mmoja. Uwe wa man city au arsenal. Hafungwi.
View attachment 1729114
 
TT
IMG_20210319_070022.jpg
 
Tukutane baadae jioni baada ya draw kupangwa tuone ni timu gani tumepangiwa nayo.

Lkn England wameingiza timu tatu ktk robo fainali kuna dalili kubwa timu mbili zikakutana ktk robo fainali kitu ambacho Mimi sikipendi kweli.

Germany wameingiza timu mbili na wao. Hawa hawawezi kukutana. Hapa yaani Madrid PSG na Porto ndio timu yatima.... Zimeimgia peke yao

Ngoja tuona tunapangiwa nani maana Liverpool hawana njia ya kuingia top four ktk EPL na kushiriki UEFA next season sasa njia yao iliyopo mezani ni kushinda hili kombe ili washiriki UEFA. Hawa watakua wabaya sn

Man City na yeye Pep anataka ashinde UEFA na EPL akimbie hapo man city yaani ana fight kweli ashinde...
 
Trippier praised Chelsea for their defensive solidity and had no arguments with the result:

“Every team in the Champions League is strong, but you have got to give a lot of credit to the manager, they are strong defensively and they have only conceded a couple of goals," he said.
“You see the squad they have got and the players they have got coming off the bench. The best team won on the night and good luck to them.”
 
Nyie kenge wa blue munaendelea vipi humu?

Naona bado muna pigania muwepo ndani ya big4!
 
Kwa jinsi tulivyo cheza na AT nakubaliana na ww. Inaonyesha ata wachezaji wanataka sana kombe la uefa kule kujituma kwao unaona kabisa kuna kitu wanataka, tizama goli la pili vile Silva alifurahia na wenzake inaonyesha kabisa wanalitaka hilo kombe.
Kwa sasa Chelsea wanalitaka kombe la UEFA. Yaani hiyo ndio dhamiri yao na ndio makusudi ya kocha. Hawasemi wazi na hawatangazi lkn malengo yao makubwa ni kuchukua kombe la UEFA. Na kidogo kidogo TT amekua akitoa taarifa za hayo malengo. Mfano majuzi ktk game ya ATM alisema wazi kabisa kua tuko hapo kwa ajili ya kushinda kuifunga ATM.... Na hakuna timu yoyote ile ktk hizi 8 zilizopo ktk UEFA zinataka kukutana na sisi.

Yaani kiukweli TT anaonekana km anaijemga timu na kuisaidia imalize ligi ktk top four.... Lkn ni ukweli ulio wazi TT anataka avunje record kubwa sn na wamedhamilia na huo uwezo wanao na hii ndio nafasi wanataka wachukue UEFA waiweke hapo....

Na Mimi nawaambia Leo mashabiki wenzangu wa Chelsea hapa tunakwenda kuinua ndoo ya UEFA. Hakuna timu inataka kucheza na sisi ata kidogo....

Yaani hizi ndoo mbili ya FA na UEFA tunabeba kabisa... Yaani hii comment yangu itunzeni. TT sasaivi haisaidii timu imalize ktk top four. Anataka makombe na yuko hapo kushinda makombe na fursa iko mbele yake na vijana wanachapa kz ya kufa mtu... Yaani ni shida.

Na atamaliza ligi ktk EPL bila kufungwa game ata moja. Hizi michezo ya EPL yote iliyobaki hafungwi ata mmoja. Uwe wa man city au arsenal. Hafungwi.
View attachment 1729114
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom