Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,362
- 77,191
Tulia weweFahamu zinaanza kukurudia taratibu.
Tulia weweFahamu zinaanza kukurudia taratibu.
Achana na epl ...hayo mengine mawili unaonajeTuchel tungempata mapema tungebeba makombe matatu msimu huu
Si unaona anajaribu mitambo yake bado haijakaa sawa..ila tuletewe porto au DortmundAchana na epl ...hayo mengine mawili unaonaje
Porto ni mgumu. Kama hukuangalia game ya Juve huwezi elewa.Si unaona anajaribu mitambo yake bado haijakaa sawa..ila tuletewe porto au Dortmund
Nyie wakata majani mnasemaje..mnaenda robo fainali?
Umetisha mzee naona ulijiamini sanaLeo ATM anakufa vizuri kabisa kama unabet bet kabisa ule mzigo
Mmeamua kubebwa au siyo
Angalia huyu takataka, sijui yupo kwenye khali gani uko[emoji23][emoji23]Mnapasuka. Sisi tumemuambia boss awaweke Joao na Luis mbele pale utaona mtu anavyoteleza, yaani mkitutibua sana hata goli hampati.
Mashabiki wenzangu wa Milan mjiandae kesho shetani linarudishwa kuzimu limezurura sana.
Ni fainali kabisa wewe nyumbuNyie wakata majani mnasemaje..mnaenda robo fainali?
Mdogo mdogo fainaliNi mwendo wa vitasa hadi final
Porto walionekana wazuri kwa sababu mwaka huu Juve ni takatakaPorto ni mgumu. Kama hukuangalia game ya Juve huwezi elewa.