rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,860
Naona Kocha mpyaa nae upepo umekataa



Chelsea bhana!
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app




Chelsea bhana!Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app




Chelsea bhana!Njaa labdaGood line up 3.4.3 tunashinda leo View attachment 1707320
Upepo umekata tumefungwa au?Naona Kocha mpyaa nae upepo umekataaChelsea bhana!
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Unadhani hawatasahau?
Mzee wa kusikia harufu za ubingwaVP sahv umepata mafua nn
Oya nyie nyie mmeulizwa hilo swali apohamulioni?Zile penat mnazoziponda mech ya pili zinawabeba mtakuwa mmejifunza kuwa na adabu sasa

Eti "nafasi ya pili ni yetu"..
Hao atletico sio big deal kihiiivyo kama unavyosema! Atletico tunawapga vizuri tu. Chelsea sio timu ya kufungika fungika kirahis. Chelsea ya sahiv ni moja ya timu ngumu sana kucheza nayo. ina mapungufu kiduchu sana. tena kwnye umaliziaji, kocha bado hajapata wachazaji sahihi ndio mana mpaka Abraham anapata nafasi y kuruka ruka tu uwanjani.Aloo hawa Atletico wako moto mno. Japo wamepoteza nyumbani kwao ila wana mentality ya upambanaji Mwa-Mwi. Tuchel ana kazi kubwa ya kufanya hiyo J4
Sijaona wa kumfunga Chelsea hapo. Labda tumsubirie City pekee ndio anaweza akashinda tena hata huyo city anaweza akapigwa vile vile. Tunza hii comment.Dear Tuchel
Honeymoon is over
Next 6 Games
Atletico (A)......
Man Utd (H).
Liverpool (A).
Everton (H).
Leeds (A).
Atletico (H).Then out of champions league