Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ah huyo jamaa Kwa kuzishinda press yupo vizuri shida kwenda mbele kwenye kuattack Ila mpe sifa zake anastahili
Kwa kweli kwenye kupress yupo vizuri,ila kama angekuwa na shabaha ya kushoot angekuwa na magoli mengi sana,maana kupunguza anaweza na mbio anazo,
 
Nahic timmo ana pressure sana kutaka kuprove kuwa ni mfungaji but ilo ndo linafanya akose utulivu mbele ya goal
Kocha amwelekeze tu anatakiwa aache papara mbele ya goal
 
haya bhana!

Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.

Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.

Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!

Hongereni sana!
Hata hivyo bado wewe utabaki kuwa mchawi wetu tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
haya bhana!

Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.

Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.

Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!

Hongereni sana!
Kwa mara ya kwanza leo unakula Like yangu. Mpira ndo unatakiwa kuwa ivyo. Kosoa panapostahili Tania panapostahili Pongeza panapostahili
 
Kwa jinsi nilivyomuona Werner ameanza kuimprove kidogo kidogo nadhani TT aendelee kumpanga match after match azidi kujiamini.

Werner ana kila sababu ya kuwa mchezaji bora KASI, NGUVU, PUMZI, RIGHT POSITION, HANDLING NZURI YA MPIRA.

Pale kwenye umaliziaji tuu apunguze mukari, haraka, atulize akili, naamini under TT atarudi kwenye ubora wake wa kupachika magoli mengi.

Tumpeni Moyo.
Kuna siku Tomas Tuchel TT aliwahi kusema kua mfumo wanaocheza Chelsea ndio sbbu inayofanya Timo Werner ashindwe kua anafunga magoli. Na alitoa sbbu kua timu wanazokutana nazo zinalazimika kucheza deep. Yaani zinakua zinajilinda na kufanya kusiwe na nafasi. Kitu ambacho kina msumbua Timo ambae yeye ni mzuri ktk nafasi za wazi.

Na ndio sbbu umeona jana Chelsea hawakutaka kuwa wanakabia juu. Waliamua wawe wanakabia ktk eneo lao na si ktk half ya adui... Walifanya hivi makusudi ili kutengeneza magepu ya nafasi na uwazi kwa adui. Na ndio sbbu jana Jorghino alianza kucheza ili apige pass ndefu kwa Werner au Meson Mount. Na ata Ziyench nae alipiga pass nyingi ndefu maana Timo ni mchezaji mwenye Kasi na nguvu na jana kutokana na huo mfumo aliwasumbua sn mabeki wa Liverpool. Maana alifika Golini kwa Liverpool Mara nyingi na kusababisha hatari za kufa mtu.

Kwahiyo Tuchel ameanza kufanyia kz swala la Chelsea kufunga magoli. Maana Chelsea inacheza vzr na inakaba vzr na kumiliki mipira vzr tatizo lao lilikua ni kufunga magoli tu. Lkn kwa jana tumeona Chelsea walitengeneza nafasi nyingi tu nzuri za kufunga.

Sema kwa huo mfumo km wa jana tulio cheza na Liverpool, ni mgumu sn maana unaruhusu kushambuliwa sn golini kwako kitu ambacho ni hatari. Maana unaweza kusababisha ata penati mkafungwa.

Ni hayo tu wakuu kwa sasa....
 
Umeongea vema, kwa mujibu wa maelezo yako je tucheze mfumo hatari wa kukabia nyuma ambao ni kitu cha hatari ili tumpe nafasi Werner kupata nafasi ya kufunga magoli au tusajili striker anayecheza Kwenye nafasi ndogo ili timu icheze comfortable?
Chelsea kwa sasa kwa wachezaji iliyo nao inaweza kucheza mfumo wowote kulingana na opponents inayokutana nao.

Mfano jana ktk kushambulia tulihitaji kuwashambulia kwa kasi na ndio sbbu Timo alianza badala ya Olivier Giroud.... Kwahiyo hiyo ilikua ni plan na approach ya jana ktk kucheza na Liverpool hasa ukiangalia aina ya wachezaji ambao Liverpool inao....

Sasa ktk game ya j3 approach na plan inatakua tofauti kulingana na Everton walivyo na uchezaji wao ulivyo. Kwa maana hiyo basi unaweza kuona Oliver Giroud akaanza hiyo j3. Na tukawa tuna press high sn na kumiliki mpira sn ili kutengeneza set passes ili watu km kina Mount na wengine waweze kufunga.

Binafsi sioni km tunahitaji kusajili striker mwingine. Hao waliopo wanatosha sn kinachotakiwa ni kuwafanya wacheze vzr na watupatie matokeo mazuri kila game. Bali tunahitaji kucheza mifumo tofauti na kuwafanya wachezaji wa improve.

Mfano mwingine ni kwamba tuangalie ata Upande wa Kushoto wa Alonso na Ben. Ktk hizi game tunaweza kuona kua hawa wachezaji wote ni wazuri ila wanatofauti kadhaa tu. Alonso hana mbio hivo kukimbizana na watu km kina Salah na Rashford hawezi na ndio sbbu ktk hizi game mbili hakupangwa. Lkn ktk game ya Everton Kuna uwezakano mkubwa sn akapangwa.

Kitu anachoshughulika nacho saizi Tuchel ni ktk eneo la kufunga magoli maana hapo ndio kunaonekana kuna shida ktk hizi game kumi tulizocheza. Lkn defensive tuko vzr na tunaendelea kua wazuri kila siku.

Na kuna uwezekano mkubwa sn kwa ratiba ya games zilizobaki Tuchel akamaliza michezo yote bila kufungwa ya EPL.

Maana hii ratiba ya games ya hivi karibuni Tuchel ndio alikua anapimwa wamuone uwezo wake.

Sasa kambakiza Everton tu na uzitoa wa wa Everton uko kwa mwalimu yaani kocha wao na si ktk uwezo wa wachezaji..... Kitu ambacho kwa quality ya wachezaji wetu na uwezo wa Tuchel lazima hawa watoto tuwafunge...

One love the Blues
 
Mason Mount ni moja ya zao bora sana la timu..mazao mengi mazuri yaliuzwa ila huyu kijana ameiva mapema sana ..hata aje kocha gani kukosa kumpanga Mount itakuwa ngumu sana.
Tutafanya vema sana na huyu kijana
#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Jana kabla ya mechi nilimuambia Mshabiki m1 wa Man City kuwa Mason Mount ni mpambanaji sana lakini bado hajawa na bahati ya kufunga magoli, pamoja na yote hayo anastahili sana pongezi na hapaswi kuwa mmje ya first 11 players kwa mechi yoyote, tuombe tu Mungu asipate majeraha.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Brother kwa sasa Tuchel anatumia vema rasilimali ya wachezaji alionao kwa sasa kupata matokeo.

Ila binafsi naamini kabisa TT anahitaji wachezaji wapya angalau wawili kwenye kikosi chake, wachezaji ambao watakuwa ubongo wa mifumo, styles na mbinu zake ili apate matokeo kwa uhakika na ukubwa anao utaka.

Huwa namwangalia TT body language yake uwanjani kuna kitu huwa anatamani kiwe kinatokea kwenye uchezaji wa kikosi chake lakini hakioni kwa sasa.

Dirisha la July tutasajili believe that bro.
OK. Lkn niulize swali kidogo. Kwa mfano ktk nafasi gani tunahitaji hao wachezaji?
 
Chelsea kwa sasa kwa wachezaji iliyo nao inaweza kucheza mfumo wowote kulingana na opponents inayokutana nao.

Mfano jana ktk kushambulia tulihitaji kuwashambulia kwa kasi na ndio sbbu Timo alianza badala ya Olivier Giroud.... Kwahiyo hiyo ilikua ni plan na approach ya jana ktk kucheza na Liverpool hasa ukiangalia aina ya wachezaji ambao Liverpool inao....

Sasa ktk game ya j3 approach na plan inatakua tofauti kulingana na Everton walivyo na uchezaji wao ulivyo. Kwa maana hiyo basi unaweza kuona Oliver Giroud akaanza hiyo j3. Na tukawa tuna press high sn na kumiliki mpira sn ili kutengeneza set passes ili watu km kina Mount na wengine waweze kufunga.

Binafsi sioni km tunahitaji kusajili striker mwingine. Hao waliopo wanatosha sn kinachotakiwa ni kuwafanya wacheze vzr na watupatie matokeo mazuri kila game. Bali tunahitaji kucheza mifumo tofauti na kuwafanya wachezaji wa improve.

Mfano mwingine ni kwamba tuangalie ata Upande wa Kushoto wa Alonso na Ben. Ktk hizi game tunaweza kuona kua hawa wachezaji wote ni wazuri ila wanatofauti kadhaa tu. Alonso hana mbio hivo kukimbizana na watu km kina Salah na Rashford hawezi na ndio sbbu ktk hizi game mbili hakupangwa. Lkn ktk game ya Everton Kuna uwezakano mkubwa sn akapangwa.

Kitu anachoshughulika nacho saizi Tuchel ni ktk eneo la kufunga magoli maana hapo ndio kunaonekana kuna shida ktk hizi game kumi tulizocheza. Lkn defensive tuko vzr na tunaendelea kua wazuri kila siku.

Na kuna uwezekano mkubwa sn kwa ratiba ya games zilizobaki Tuchel akamaliza michezo yote bila kufungwa ya EPL.

Maana hii ratiba ya games ya hivi karibuni Tuchel ndio alikua anapimwa wamuone uwezo wake.

Sasa kambakiza Everton tu na uzitoa wa wa Everton uko kwa mwalimu yaani kocha wao na si ktk uwezo wa wachezaji..... Kitu ambacho kwa quality ya wachezaji wetu na uwezo wa Tuchel lazima hawa watoto tuwafunge...

One love the Blues
Umeongea madini sana mkuuu
 
Mkuu hongera unaongea kisoka zaidi. Upo vizuri katika uchambuzi wa mpira.

Mpira ni mbinu, mpira ni mfumo anayotumia kocha katika kukabiliana na oponent anayokutananayo. Kocha mzuri ni yule anayebadilika kutoka na timu anayokutanayo kwa wakati huo na si kukariri mfumo mmoja tu
 
emoji16.png
haya bhana!

Ila nawapa hongera wana blues kwa soka tamu mlilocheza jana. Kwa kweli Tuchel kawabadilisha sana.

Naona wachezaji wana confidence ya kutosha.

Kwa kifupi siku hizi mnacheza kibingwa!

Hongereni sana

Jana marudio ya hili goli nilikuwa naangalia sura ya Mount wakati anapiga hatua ya mwisho na kuupiga mpira golini nilijikaza aisee.

Huyu mount apewe paula
Huyu mount apewe paula
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Marcos Alonso VS Ben Cilwell

Kocha kaona labda Ben Chillwell atahitajika kwa mpango wa muda mrefu katika nafasi ya LB/Wingback wa kushoto ndio maana kaamua kumtumia yeye zaidi ya Alonso amabaye anafikisha miaka 31 baadaye mwaka huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom