Everton anapiga mtu mbili kwa moja![]()
Senki yu Zebra UnitedEverton anapiga mtu mbili kwa moja![]()
Alisema anakuwa best akicheza no 9 au 10 naona Hili la no 10 umesahauTT alisema Havertz ni mzuri akicheza namba 9.5, leo nimeamini, anajiposition vizuri kwenye kufunga. Havertz hafai kucheza kiunga au hata CAM, lakini akicheza kama mshambuliaji yuko best
Kweli kabisa umenenaTT alisema Havertz ni mzuri akicheza namba 9.5, leo nimeamini, anajiposition vizuri kwenye kufunga. Havertz hafai kucheza kiunga au hata CAM, lakini akicheza kama mshambuliaji yuko best
Huyu kila siku wanasema anaimprove,sijui kutumbukiza golini nako kuna kuimprove?yani goli anazokosa huyu Timo hata sarpong wa Yanga hakukosiTimo wetuu sijui anakwama wapi jamanii daah Goal 3 za wazi kbsa
Katikati ya 9-10, sio 9 wala sio 10Alisema anakuwa best akicheza no 9 au 10 naona Hili la no 10 umesahau