Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bora Giroud angekuwa uwanjani. Werner kapangwa no. 9 lakini anacheza kushoto kwa Mount. zaidi.
 
James si wakutoka yule anakaba ndio maana ule upande Liverpool hawapiti unashindwa kuona hata kwenye Hili mzee.
Liverpool wanacheza katikati kwa Jorginho sijui kachoka ndio maana nikasema Kovacic aingie.
 
1614895959276.png
 
Huyu Timo ajengewe uwezo wa kujiamini kiasi gani? sikuhizi anakimbia utafikiwi amenyeshewe mvua.

Naona timu inaanza kuimprove nilikua nashangaa kipindi kile cha Super Frank unakuaje na kikosi kama cha Chelsea alafu kila mechi unafanya tu vibaya?

Kocha anatakiwa ajitahidi kuwaelewesha Rudiger na Timo namna ya kutuliza akili pindi wakiwa na mpira; Joghinyo nae apunguze kujiamini sana ndani ya 18 atasababisha matatizo makubwa...mpira ni nidhamu.
 
Points zetu ziko hapa chini, tunaenda kuzichukua tu

1614898786440.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom