Wala hiyo sio sababu benchill kapangwa kutokana na Aina ya mechi inahitaji Nini mfano mzuri game dhidi ya man u inajulikana wazi wanapenda kutumia counter attack Alonso yupo slow ndio maana hakupangwa the same to LiverpoolMarcos Alonso VS Ben Cilwell
Kocha kaona labda Ben Chillwell atahitajika kwa mpango wa muda mrefu katika nafasi ya LB/Wingback wa kushoto ndio maana kaamua kumtumia yeye zaidi ya Alonso amabaye anafikisha miaka 31 baadaye mwaka huu
Naam hiyo ndio sbbu kubwa.Wala hiyo sio sababu benchill kapangwa kutokana na Aina ya mechi inahitaji Nini mfano mzuri game dhidi ya man u inajulikana wazi wanapenda kutumia counter attack Alonso yupo slow ndio maana hakupangwa the same to Liverpool
Sikuona mkuu.Nilishalist huko juu, labda hukuiona hiyo list
Pamoja mkuuUmeongea madini sana mkuuu
Pamoja sn mkuu.Mkuu hongera unaongea kisoka zaidi. Upo vizuri katika uchambuzi wa mpira.
Mpira ni mbinu, mpira ni mfumo anayotumia kocha katika kukabiliana na oponent anayokutananayo. Kocha mzuri ni yule anayebadilika kutoka na timu anayokutanayo kwa wakati huo na si kukariri mfumo mmoja tu
Reason yangu ni yumkini na ya kwako ni yumkini pia, kocha ndie anayejuaWala hiyo sio sababu benchill kapangwa kutokana na Aina ya mechi inahitaji Nini mfano mzuri game dhidi ya man u inajulikana wazi wanapenda kutumia counter attack Alonso yupo slow ndio maana hakupangwa the same to Liverpool
Mbona kocha alishasema kabisa au wewe ufuatilii?Reason yangu ni yumkini na ya kwako ni yumkini pia, kocha ndie anayejua
Ila huyu jorginho naye hasemwi Sana Ila naona kaimprove Sana tangu Tuchel aje ...juzi mechi y liver alivyoingia na kova klop akaamua amtoe na alcantara maana vijana pale Kati walikuwa wamevurugwa😀....au mnaonaje mazee?Naam hiyo ndio sbbu kubwa.
Na jambo jingine ni kwamba kwa sasaivi TT anatengeneza kikosi kikubwa chenye wachezaji karibu 18 au 20 wenye uwezo sawa sawa na ndio sbbu anawapa nafasi wachezaji wote kucheza na kui improve na kuonesha ubora wao.
Kwa mfano kuanzia Golini sasaivi TT hana shida kabisa maana anajua Mendy na Keppa wako vzr na amewapa nafasi kucheza game kadhaa na akawaona wote uwezo wao na wako vzr.
Ukija ktk safu ya ulinzi nayo hana shida kabisa maana kushoto huko kwa Alonso na Ben nae yuko vzr. Ukija kwa CBs kina Rudiger, Silver, Zuma, Christiansen, Azpilicueta na Reece James hawa wako vzr sn na hana shida kabisa ya mabeki wa kati. Tunahitaji kumpa nafasi Emerson tu ktk mabeki tuone na yeye uwezo wake
Ukija ktk viungo wa kati Kante, Jorghinho, Kovacic hawa wako fiti vibaya na pia kuna Billy Gilmour nae yuko fiti vibaya na anahitaji sasa kupewa nafasi za kucheza....
Kwahiyo utaona sasa TT anayo timu tayari kubwa tu na kikosi kipana tu... Sasa anahitaji kushughulika na wachezaji wa huko mbele wafungaji na attackers tu...
Jorghinho ka improve sn kaka. Yaani Nouma sema tu hana nguvu na speed lkn akipewa mipira anaifanyia mema sn.Ila huyu jorginho naye hasemwi Sana Ila naona kaimprove Sana tangu Tuchel aje ...juzi mechi y liver alivyoingia na kova klop akaamua amtoe na alcantara maana vijana pale Kati walikuwa wamevurugwa....au mnaonaje mazee?
Kumbe referee alikuwa Antony Taylor? Lazima Manure angeshinda kwa namna yeyote
Wewe ameshakuacha kwani?Cye maamuz yetu kasema anakutaka ww
Jorghinho ka improve sn kaka. Yaani Nouma sema tu hana nguvu na speed lkn akipewa mipira anaifanyia mema sn.
Juzi alimtupia Timo Warner mi pasi kibao yaani alikua akipata tu anaangalia Timo yuko wp au Hakim Ziyench.... Ndio ukaja sasa ule mpasi ukaanzia kwa Azpilicueta, ukashushwa kwa Kante..... N Kante nae akautendea mema mpk Kwa Mason Mount.... Mara kitu
Jorghinho ni Nouma mpk Sarri anamtamani saizi mtoto wake
Alivoanza game ya Liverpool nilipata wasiwasi ila performance ilikua ya hali ya juu.