lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,481
Huko tunakokwenda naona ubashiri wa matokeo hauna maana tena. Wale wanaobet wengi wanaliwa. Kipindi hiki kila timu ni Hatari, Unaweza kuwa umebakiwa na mechi za akina Shefield, Westbrom, Fullam, Necastle ukadhani mteremko kumbe ni mlima tena mkubwa sana.
Timu za top 4 zitakazoadhirika ni zile zenye wachezaji muhimu kushuka fomu zao, wachezaji muhimu kwenda majeruhi ya kijingajinga na au migogoro ya kocha na wachezaji ya kijingajinga
Leicester city baada ya Harvie Barnes na Madison kwenda majeruhi wameanza kuachia points, utashangaa hadi wanapotea kwenye top 4
Manure naona Bruno Pendandez form yake imeshuka wameanza kupoteza points
Tumeshaona madhara hayo kwa Liverpool na mbado.
Chelsea wachezaji karibia wote wako kwenye form isipokuwa Ziyech, Zouma, Havertz na majeruhi ya Silva na Tammy Abraham, ila wachezaji muhimu wa kubeba points za kutuweka top 4 wako fit and sound
Mungu ibariki "THE BLUES"